Chandrajit Bajaj
Mandhari
Chandrajit Bajaj (amezaliwa Calcutta, India, mwaka 1958)[1] ni mtaalamu wa kompyuta wa Marekani. Ni profesa wa sayansi za kompyuta katika chuo kikuu cha Texas, Austin ni mwenyekiti na mkurugenzi wa kituo cha Computational Visualization[2] kwenye taasisi ya Uhandisi wa kuchakata mahesabu na sayansi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Chandrajit Bajaj". scholar.google.com. Iliwekwa mnamo 2022-09-09.
- ↑ "Chandrajit Bajaj". www.cs.utexas.edu. Iliwekwa mnamo 2022-09-09.