Nenda kwa yaliyomo

Bianca Buitendag

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bianca Buitendag kwenye shindano la mawimbi huko Oceanside, CA mwaka 2013.
Bianca Buitendag kwenye shindano la mawimbi huko Oceanside, CA mwaka 2013.

Bianca Buitendag (alizaliwa huko George, Western Cape, Afrika Kusini, 9 Novemba 1993) ni mtaalamu wa kuteleza wa kwenye maji wa Afrika Kusini. Ameiwakilisha nchi kwenye Olimpiki ya majira ya joto 2020. Alishinda medali ya fedha kwenye women's shortboard competition.[1]

Buitendag alikulia karibu na ufukwe wa False Bay nje ya Cape town. Akitiwa moyo na baba yakealijifunza kuteleza kwenye maji akiwa na umri wa miaka nane akiwa na kaka zake wawili. Akiwa na miaka kumi na mbili, familia yake ilihamia mkoa wa southern cape wa Afrika kusini. Bianca aliweza kuongea kiafrikana pekee alipoenda shule kwa mara ya kwanza, hivyo wazazi wake wakaamua wampeleke kwenye shule ya kiingereza

Mwaka 2015 baba yake, Collin Buitendag, alifariki. Lakini bado aliweza kumaliza katika ubora wake kwenye nafasi ya 4 duniani.[2] Mwaka unaofuata alikuwa wa 12 duniani.

  1. "Strukturwandel und Arbeitsplätze". Logistik für Unternehmen. 35 (05–06): 26–27. 2021. doi:10.37544/0930-7834-2021-05-06-26. ISSN 0930-7834.
  2. "Act II Scene 4", Snow in August, The Chinese University of Hong Kong Press, ku. 49–58, 2003-08-15, iliwekwa mnamo 2021-12-13