Nenda kwa yaliyomo

Albati wa Trapani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro ukimuonyesha Mt. Albati.

Albati wa Trapani, O.Carm. (kwa Kisisili: Albertu di l’Abati; Trapani, Sicilia, Italia, 1240 hivi – Messina, Sicilia, 7 Agosti 1307) alikuwa mtawa na padri[1].

Kwa mahubiri yale alivuta Wayahudi wengi kwenye Ukristo[2] akasaidia chakula mji wa Messina uliozingirwa na maadui[3][1][4].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Papa Nikola V, Papa Sisto V na Papa Kalisti III walithibitisha heshima hiyo.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Agosti[5].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. 1.0 1.1 "Saint Albert of Sicily". Saints SQPN. 11 Agosti 2017. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/65375
  3. "St. Albert of Trapani, Priest (Feast)". Order of Carmelites. 7 Agosti 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-29. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Sant'Alberto degli Abati (from Trapani)". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.