1957
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| ►
◄◄ |
◄ |
1953 |
1954 |
1955 |
1956 |
1957
| 1958
| 1959
| 1960
| 1961
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1957 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 6 Machi - Nchi ya Ghana inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 31 Agosti - Nchi ya Malaysia inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 13 Januari - Claudia Emerson, mshairi kutoka Marekani
- 3 Machi - William Pascal Kikoti, askofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania
- 10 Machi - Osama bin Laden, mwanzilishi na kiongozi wa kundi la kigaidi la Al Qaida
- 20 Machi - Chris Wedge, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 9 Mei - Beatus Kinyaiya, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 23 Mei - Esterina Julio Kilasi, mbunge wa kike wa Tanzania
- 1 Juni - Yasuhiro Yamashita, mshindani wa Judo kutoka Japani
- 6 Agosti - John Hocking, Katibu Mkuu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa kutoka Australia
- 14 Septemba - François Asselineau, mwanasiasa kutoka Ufaransa
- 28 Oktoba - Roza Rymbayeva, mwanamuziki kutoka Kazakhstan
- 6 Novemba - Cam Clarke, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 9 Desemba - Jacob Venance Koda, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 10 Desemba - Michael Clarke Duncan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 11 Desemba - Antonio Napolioni, askofu Mkatoliki nchini Italia
- 29 Desemba - Bruce Beutler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2011
bila tarehe
- Jim Dauterive, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 10 Januari - Gabriela Mistral, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1945
- 14 Januari - Humphrey Bogart, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 22 Januari – Ralph Barton Perry, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1936
- 8 Februari - Walther Bothe, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954
- 18 Februari - Dedan Kimathi, kiongozi Mkenya wa Mau Mau; alinyongwa
- 28 Machi - Jack Butler Yeats, mchoraji kutoka Ireland
- 21 Juni - Johannes Stark, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1919
- 5 Agosti - Heinrich Otto Wieland, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1927
- 18 Agosti - Irving Langmuir, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1932
- 20 Septemba - Jean Sibelius, mtunzi wa muziki kutoka Ufini
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: