Titicaca (ziwa)
Mandhari
Ziwa Titicaca iko kwenye Altiplano ya Andes kati ya Peru na Bolivia.
Ni ziwa kubwa la pili katika Amerika Kusini lenye eneo la kilomita za mraba 8,372. Liko kwa kimo cha mita 3,809 juu ya UB. Maji yake ina kina cha 105 m. Hivyo ni ziwa la juu duniani penye usafiri kwa meli ndogo kuna pia manowari ya jeshi la maji.
Mito 25 inaingia ziwani. Kuna visiwa vingi.
Picha za Titicaca
-
Sherehe kwenye kisiwa cha Taquile
-
Watoto wa kisiwa cha Taquile
-
Meli ya mizigo na abiria ziwani.jpg
-
Mashua ya wenyeji asilia wa Titicaca
-
Kisiwa cha Taquile
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Titicaca (ziwa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |