Majadiliano ya mtumiaji:Kipala
Karibu kuongeza chako chini!
Kumbukumbu ya Hifadhi ya Nyaraka
Majadiliano ya awali yamehamishwa kwenye kurasa za Hifadhi ya Nyaraka:
- Hifadhi ya Nyaraka 1: 2006/2007
- Hifadhi ya Nyaraka 2: Novemba 2006 - Februari 2008
- Hifadhi ya Nyaraka 3: Februari - Aprili 2008
- Hifadhi ya Nyaraka 4: Mei - Julai 2008
- Hifadhi ya Nyaraka 5: Julai - 15 Disemba 2008
- Hifadhi ya Nyaraka 6: 15 Disemba 2008 - 20 Machi 2009
[[
Commonwealth
You can delete it if you wish. I was trying to explain that there are four states that are called "commonwealths" instead of "states", and that by definition there really is no difference. It was a poor attempt on my part. Jhendin (majadiliano) 23:43, 21 Machi 2009 (UTC)
Kipala, salam. Eti, unaweza kunidokezea kidogo kuhusiana na hii "heroin?" Ni madawa ya kulevya ama kitu gani? Itakuwa bora zaidi endapo kama utaindikia makala ili faida wapate watu wote! Lakini kabla hujaandikia makala (au hata ukiona uandike moja kwa moja ni sawa tu). Shida yangu ni kujua hiyo heroin ni kitu gani! Kazi njema.--Mwanaharakati (Longa) 10:07, 24 Machi 2009 (UTC)
- Basi umepata afyuni na heroini --Kipala (majadiliano) 09:12, 25 Machi 2009 (UTC)
- MENO NJE! Kabla sijaanza kutia neno lolote lile kwanza ninatoa shukrani zangu kwako! Najisikia vibaya kwa mtu mzima kama wewe kukuomba makala hii. Haya, tatizo lililoko huku kwetu kwa sasa ni namna ya kuita madawa au dawa? Eti walikuwa wanadai ya kwamba hakuna madawa, bali kuna dawa! Lakini bado haileti maana kwa sababu hutoweza kutofautisha wingi wake kama hutoita madawa! Watajua wenyewe. Madawa ya kulevya umeadindika sahihi kabisa. Huwezi kutaja wingi wake bila kusema madawa ya kulevya, never. Hivyo upo sahihi mzee wangu. Au labda utumie dawa za kulevya?--Mwanaharakati (Longa) 10:06, 25 Machi 2009 (UTC)
- Salaaam! Naomba nisaidie maana ya "Job queue lenth". Nitakuwa mwenye kushukuru endapo utanisaidia hili!--Mwanaharakati (Longa) 06:50, 26 Machi 2009 (UTC)
- Sina uhakika. --Kipala (majadiliano) 08:55, 26 Machi 2009 (UTC)
Je, nikikupa kiungo husika na maelezo utanisaidia?--Mwanaharakati (Longa) 11:18, 26 Machi 2009 (UTC)
- Nisipokosei niliwahi kuiangalia lakini sijaelewa. Nimekata tamaa nikaiacha. Je huwezi kuona raha bila kuielewa? --Kipala (majadiliano) 16:48, 26 Machi 2009 (UTC)
- Mmhhh. Haswaaaa, sijikii raha bila kuilewa! Pia, lengo litakuwa halijatimia!! Basi nenda hapa. Ukifika utaona maelezo yaliyotajwa hapo juu!--Mwanaharakati (Longa) 16:53, 26 Machi 2009 (UTC)
Miji, kata, wilaya, na mikoa ya Kenya
Kipala, salam. Nimeona umeshaanza kuandika au kuandaa baadhi ya mikoa wilaya na... ya Kenya. Je, muundo wa majedwali yao yamekaa kirahisi? Ninauliza kwa sababu ningependa kuchangia tena! Kama inawezekana. Ni mimi kijana wako,--Mwanaharakati (Longa) 06:53, 27 Machi 2009 (UTC)
- Asante - nitaanzisha ukurasa wa pekee kwa kazi hii. Nimeanza kutafuta ufafanuzi zaidi kutoka arthurbuliva yuko tayari kushauri pia. Mara naona mwanga juu ya utaratibu wa Kenya tuanze nitafurahi tukiendelea kushirikiana! --Kipala (majadiliano) 13:05, 27 Machi 2009 (UTC)
- Basi tutashirikiana!--Mwanaharakati (Longa) 14:28, 27 Machi 2009 (UTC)
- Mzee wangu, salaaam! Natumai ya kwamba unamwona huyo babu HBR namna anavyoanzisha makala zake bila maelezo. Akianzisha makala, basi ataweka picha tu bila elezo lolote lile. Hivi karibuni katunga makala tatu (ambazo zote zina picha tu bila maelezo!) Haivutii na wala sio vizuri! Nimeona ukijadiliana naye kwa kutumia Kijerumani - akheri uongee naye kwa Kijerumani, labda atakufahamu! Ni hilo tu, mzee wangu. Ni mimi kijana wako mpendwa,--Mwanaharakati (Longa) 06:05, 3 Aprili 2009 (UTC)
- Asante kwa kunidokeza kuna tatizo. umeona nilikuwa kimya maana niko safarini. Kesho kutwa narudi nyumbani nitafuatilia jambo hili. --Kipala (majadiliano) 19:38, 3 Aprili 2009 (UTC)
Basi samahani kwa kukupa taarifa ukiwa safarini! Nitasubiri hadi hapo utakapofika nyumbani. Safari njema!--Mwanaharakati (Longa) 06:21, 4 Aprili 2009 (UTC)
- Kipala, salam. A) Pole kwa kazi ya ku-undo maandiko ya waharibifu wa Wikipedia! BE) Naona ushaanza kuanzisha makala za Kenya. CHE) Ningependa kuchangia, lakini ninataka nipewe mwangaza! Kila la kheri.--Mwanaharakati (Longa) 07:44, 8 Aprili 2009 (UTC)
11,000
Mzee wangu, salaaaaam! Wikipedia yetu imefikisha makala 11,000! Ni furaha iliyoje? Basi tu, niseme tujitahidi kuendeleza na kushauriana kwa kila jambo litakalosaidia Wikipedia yetu kuwa juu! Kila la kheri.--Mwanaharakati (Longa) 15:50, 9 Aprili 2009 (UTC)
- Basi ni maendeleo kwelikweli. Je unaonaje kama tutaona ngazi inayofuata ambayo ni lakhi? Nimeweka kumbukumbu ukurasa wa matukio ya hivi karibuni. Kuhusu Kenya nahangaika bado kidogo sijui tuanzishe vigezo vya kata kiwilaya au kimkoa? Kata ni chache Kenya kuliko TZ tena wameanzisha wilaya nyingi na sina takwimu ni kata gani iliyokwenda wilaya gani. --Kipala (majadiliano) 17:33, 9 Aprili 2009 (UTC)
- Salam, Kipala. Kuhusu Kenya bado sina mwangaza unaonipa matumaini bila juhudi zako! Ukiona umepata sehemu yenye kurahisha habari, basi nionyeshe, nami nitatekeleza maramoja! Na hata kuhusu kuwekea vigezo - ni sawa! Basi endelea kutafuta njia mbadala itakayorahisisha kuandika makala hizo za Kenya! Ni mimi kijana wako mpendwa,--Mwanaharakati (Longa) 05:42, 11 Aprili 2009 (UTC)
Subdivisions of Tanzania
Kipala, salam! Mzee wangu, naomba nisaidie kutafsiri hilo neno la hapo juu. Maana yake, nimeshindwa kabisa kulileta kwenye Kiswahili! Jioni njema.--Mwanaharakati (Longa) 14:46, 16 Aprili 2009 (UTC)
- Je siyo vitengo vya kiutawala vya TZ? --Kipala (majadiliano) 18:03, 16 Aprili 2009 (UTC)
- Kwa mujibu wa Wikipedia ya Kiingereza:
- Tanzania has country subdivision as follows:
- 26 regions of Tanzania (mkoa).
- regions are subdivided into 98 districts of Tanzania (wilaya).
- district are divided into wards.
Si unadhani itakuwa mwangaza?--Mwanaharakati (Longa) 06:12, 17 Aprili 2009 (UTC)
- Nadhani tafsiri ni hivi: Vitengo vikuu vya utawala nchini Tanzania ni mikoa 26. Kila mkoa una wilaya ndani yake, kwa jumla kuna wilaya 98. Wilaya hugawiwa kwa tarafa na kata (je tarafa bado ziko? Nilisikia ya kwamba serikali inataka kuzifuta). --Kipala (majadiliano) 20:23, 17 Aprili 2009 (UTC)
Wikipedia ya Kiswahili
Hallo Kipala. Im Dezember 2003 habe ich mir die damalige Suaheli-Wikipedia angeschaut, und dabei bemerkt, dass dort noch gar kein enzyklopädisches Material vorhanden war. Es gab eigentlich nur zwei-drei "Artikel", die Text von woanders kopiert hatten, sowie einige weitere "Artikel", die nur die englische Übersetzung des Titels genannt haben. Am Anfang habe ich die Wikipedia nicht eingeloggt bearbeitet, so dass es schwierig ist, meine ersten Beiträge zu finden. Unter meinen IP-Adressen waren auf jeden Fall die Adressen, die mit "163.1.209" anfangen und mit ".239" bis ".245" aufhören. Der älteste Beitrag, den ich eindeutig mir zuordnen kann, ist die Erstellung des Artikels Kiesperanto am 7. Dezember 2003. Am 5. Februar 2004 wurde ich dann aktiver: Erst habe ich die drei Artikel Lugha iliyotengenezwa, Lugha asilia und Lugha saada ya kimataifa geschaffen, und dann die erste Erklärung zum Wikipedia-Projekt auf die Hauptseite gestellt:
- "Wikipedia ni mradi wa lugha nyingi wa kutengeneza kamusi elezo kamili na sahihi ya maandishi huru. Ilianzishwa kwa Kiingereza mwezi wa kwanza mwaka 2001, na mwaka 2003 imeanzishwa kamusi hii kwa Kiswahili. Kusema kwamba ni maandishi huru maana yake ni kwamba kila mtu anaweza kuikuza na kuibadilisha, hata usipofahamu mambo ya kompyuta. Uweke "Edit this page" tu, halafu badilisha au ongeza maandiko."
Dabei hatte ich mir den Ausdruck "kamusi elezo" selber ausgedacht. Das Kamusi Project hat damals nur "kamusi" als Übersetzung von "encyclopedia" angegeben, und mein Deutsch-Suaheli-Wörterbuch hatte keine Übersetzung von "Enzyklopädie". Ich wollte einer Verwechslung von Wörterbuch und Enzyklopädie entgegenarbeiten (diese Verwechslung hatte ja schon dazu geführt, dass einige Artikel einfach aus der englischen Übersetzung des Wortes bestanden), und habe dafür den Begriff "kamusi elezo" geschaffen.
Am 19. Februar habe ich das erste Mal eingeloggt gearbeitet, und dabei die Artikel Hisabati und Hesabu erstellt bzw. enzyklopädisch gemacht. In der darauf folgenden Zeit habe ich mich bemüht herauszufinden, wie ich das Interface ins Suaheli übersetzen kann. Am 31. Mai 2004 war ich dann schon Administrator geworden, und konnte die MediaWiki-Texte übersetzen. Im Juni 2004 habe ich dann noch weiter Artikel wie Historia, Jumuia und Uislamu erstellt bzw. enzyklopädisch gemacht. Im Januar 2005 hat Neno (interessanterweise auch ein Esperantist) angefangen, zur Wikipedia beizutragen (sehr stark mit MediaWiki-Übersetzung), im September 2005 Ndesanjo und im Dezember 2005 du. Seit Ende 2005 kann man das Projekt als (eingeschränkt) aktiv bezeichnen. Bis Muddy im August 2007 aktiv wurde haben im Projekt allerdings eindeutig die Nicht-Muttersprachler überwogen (mit Ndesanjo als einziger Ausnahme). Auch jetzt kommen noch ca. die Hälfte der Beiträge von Nicht-Muttersprachlern.
Wenn du noch weitere Fragen hast, beantworte ich diese gerne. Marcos (majadiliano) 13:52, 25 Mei 2009 (UTC)
- Je, huu mjadala unahusu masuala ya Wikipedia kwa Kiswahili? Ikiwa unahusu Wikipedia hii, wengine hatutofaidika na nia ya mjadala huu kwa kufuatia kutojua lugha ya Kijerumani! Huruma ni kwamba Kipala siku hizi hapatikani.. Tafakari..--Mwanaharakati (Longa) 14:20, 25 Mei 2009 (UTC)
- Kipala aliniandikia kwenye Wikipedia ya Kijerumani na suala yake kuhusu historia ya Wikipedia ya Kiswahili. Nilianza kuandiku jibu katika ukarasa wake katika Wikipedia ya Kijerumani, na kwa hiyo nilitumia Kijerumani. Baadaye niliona kwamba alitaka nijibu kwenye ukarasa wake katika Wikipedia ya Kiswahili. Ili wengine waweze kuelewa niliandika nini, nitaitafsiri sasa:
- Mwezi wa 12 mwaka 2003 niliangalia Wikipedia ya Kiswahili. Nikatambua kwamba yaliyomo hayakuwa habari za kamusi elezo. Kwa kweli kulikuwa na "makala" mbili au tatu tu, zilizokuwa na habari kutoka tovuti nyingine; aidha kulikuwa na "makala" chache zilizokuwa na tafsiri ya Kiingereza ya neno moja tu. Mwanzoni nilihariri bila kuingia. Kwa hiyo ni kigumu kupata hariri zangu za kwanza. Anuani za IP nilizozitumia kwa uhakika zilikuwa anuani zinazoanza na "163.1.209" na zinazokamili na ".239" hadi ".245". Hariri ya zamani zaidi ambayo ninajua kwamba ni yangu ni uundaji wa makala Kiesperanto tarehe 7 mwezi wa 12 mwaka 2003. Tarehe 5 mwezi wa pili mwaka 2004 nilianza kufanya kazi nyingi zaidi: Kwanza niliunda makala tatu Lugha iliyotengenezwa, Lugha asilia na Lugha saada ya kimataifa, baadaye nikaweka uelezaji wa kwanza kuhusu Wikipedia kwenye Ukarasa wa Mwanzo:
- "Wikipedia ni mradi wa lugha nyingi wa kutengeneza kamusi elezo kamili na sahihi ya maandishi huru. Ilianzishwa kwa Kiingereza mwezi wa kwanza mwaka 2001, na mwaka 2003 imeanzishwa kamusi hii kwa Kiswahili. Kusema kwamba ni maandishi huru maana yake ni kwamba kila mtu anaweza kuikuza na kuibadilisha, hata usipofahamu mambo ya kompyuta. Uweke "Edit this page" tu, halafu badilisha au ongeza maandiko."
- Msemo "kamusi elezo" niliubuni mwenyewe. Siku zile Kamusi Project ilikuwa na tafsiri "kamusi" tu kwa "encyclopedia", na kamusi yangu ya Kijerumani-Kiswahili haikuwa na tafsiri kwa "Enzyklopädie". Nilitaka kuzuia ukorogo kati ya kamusi (yaani kitabu chenye tafsiri za maneno) na kamusi elezo (yaani kitabu chenye maelezo kuhusu mambo mbalimbali; ukorogo huu tayari ilisababisha kwamba kulikuwa na makala zenye tafsiri za maneno kwa Kiingereza tu), kwa hiyo nilibuni msemo "kamusi elezo".
- Tarehe 19 mwezi wa pilli nilihariri kwa mara ya kwanza kwa kutumia akaunti yangu: Nilibuni makala Hisabati na nilifanya makala Hesbu iwe na habari za kielezo. Baadaye nilijaribu kung'amua jinsi ya kutafsiri kusano (yaani "interface") kwa Kiswahili. Tarehe 31 mwezi wa 5 mwaka 2004 tayari nilikuwa mkabidhi na niliweza kutafsiri ujumbe za mfumo. Mwezi wa sita mwaka 2004 niliendelea kubuni makala au kufanya makala ziwe na habari za kielezo, kwa mfano Historia, [[[Jumuia]] na Uislamu. Mwezi wa kwanza mwaka 2005 Neno (ambaye pia ni Mwesperanto) alishirikiana na Wikipedia ya Kiswahili (hasa alitafsiri ujumbe za mfumo), mwezi wa tisa mwaka 2005 Ndesanjo akaja, na mwezi wa 12 mwaka 2005 Kipala. Tangu mwisho wa mwaka 2005 mradi unaweza kuitwa mradi wenye uhai. Mpaka Muddy alishirikiana mwezi wa 8 mwaka 2007 wageni (yaani watu wasioongea Kiswahili kama lugha ya mama) walifanya sehemu kubwa ya kazi. Bado sasa karibu nusu ya hariri zinatoka kwa wageni. Marcos (majadiliano) 23:26, 26 Mei 2009 (UTC)