Nenda kwa yaliyomo

Skrinikugusa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 23:54, 24 Desemba 2020 na UmojaWetu (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Katika utarakilishi, '''skrinikugusa''' ((pia: '''skrini ya kugusa'''; kwa Kiingereza: ''touchscreen'' au ''touch screen'') ni viwambo vinavyoweza kuwa...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Katika utarakilishi, skrinikugusa ((pia: skrini ya kugusa; kwa Kiingereza: touchscreen au touch screen) ni viwambo vinavyoweza kuwa kitumi cha kiingizio au kitumi cha kitoleo vinawekwa juu ya kitumi cha kielektroniki kama kompyuta bapa au simujanja. Kwa kawaida, uonyesho wa srinikugusa ni LCD au OLED.


Tanbihi

Marejeo

  • Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.