Melanesia : Tofauti kati ya masahihisho
d marekebisho ya kisarufi |
No edit summary |
||
Mstari 2: | Mstari 2: | ||
[[Picha:Feuerreiben.gif|thumb|right|Mwenyeji wa Vanuatu awafundisha watoto kutengeneza moto]] |
[[Picha:Feuerreiben.gif|thumb|right|Mwenyeji wa Vanuatu awafundisha watoto kutengeneza moto]] |
||
'''Melanesia''' ni eneo la [[Bahari ya Pasifiki]] kaskazini |
'''Melanesia''' ni eneo la [[Bahari ya Pasifiki]] lililoko [[kaskazini]] kwa [[Australia]]. Ni mojawapo kati ya makundi makubwa matatu ya [[visiwa]] vya Pasifiki pamoja na [[Mikronesia]] na [[Polynesia]]. |
||
Jina lake limeundwa na maneno ya [[Kigiriki]] |
[[Jina]] lake limeundwa na [[maneno]] ya [[Kigiriki]] μέλας ''cheusi'' na νῆσος ''kisiwa'' yaani "visiwa vyeusi" au zaidi "Visiwa vya Weusi". [[Nahodha]] [[Mfaransa]] [[Jules Dumont d'Urville]] alitunga jina hilo [[mwaka]] [[1832]] akitaka kutaja wazawa waliokuwa na [[rangi]] [[nyeusi]]-nyeusi. |
||
== Watu na utamaduni == |
== Watu na utamaduni == |
||
D'Urville alijumlisha wakazi wa visiwa |
D'Urville alijumlisha wakazi wa visiwa hivyo pamoja kutokana na rangi yao. Lakini hali halisi ni watu wa aina mbalimbali. Wengine ni [[Waaustronesia]], wengine [[Wapapua]] na wengine wametokana na mchanganyiko wa vikundi hivyo viwili. |
||
== Nchi za Melanesia == |
== Nchi za Melanesia == |
||
Mstari 13: | Mstari 13: | ||
== Visiwa vya Melanesia == |
== Visiwa vya Melanesia == |
||
Visiwa na funguvisiwa |
Visiwa na ma[[funguvisiwa]] vifuatavyo vinahesabiwa katika Melanesia: |
||
* [[Funguvisiwa |
* [[Funguvisiwa la Bismarck]] |
||
* [[Fiji]] |
* [[Fiji]] |
||
* [[Kaledonia Mpya]] |
* [[Kaledonia Mpya]] |
Toleo la sasa la 09:16, 13 Machi 2021
Melanesia ni eneo la Bahari ya Pasifiki lililoko kaskazini kwa Australia. Ni mojawapo kati ya makundi makubwa matatu ya visiwa vya Pasifiki pamoja na Mikronesia na Polynesia.
Jina lake limeundwa na maneno ya Kigiriki μέλας cheusi na νῆσος kisiwa yaani "visiwa vyeusi" au zaidi "Visiwa vya Weusi". Nahodha Mfaransa Jules Dumont d'Urville alitunga jina hilo mwaka 1832 akitaka kutaja wazawa waliokuwa na rangi nyeusi-nyeusi.
Watu na utamaduni
[hariri | hariri chanzo]D'Urville alijumlisha wakazi wa visiwa hivyo pamoja kutokana na rangi yao. Lakini hali halisi ni watu wa aina mbalimbali. Wengine ni Waaustronesia, wengine Wapapua na wengine wametokana na mchanganyiko wa vikundi hivyo viwili.
Nchi za Melanesia
[hariri | hariri chanzo]Fiji, Papua Guinea Mpya, Visiwa vya Solomon, Vanuatu na Kaledonia Mpya (chini ya Ufaransa) zinajihesabu kuwa sehemu za Melanesia. Kuhusu visiwa vingine mawazo hutofautiana.
Visiwa vya Melanesia
[hariri | hariri chanzo]Visiwa na mafunguvisiwa vifuatavyo vinahesabiwa katika Melanesia:
- Funguvisiwa la Bismarck
- Fiji
- Kaledonia Mpya
- Guinea Mpya (Papua Guinea Mpya pamoja na jimbo la Papua la Indonesia).
- Visiwa vya Maluku
- Visiwa vya Solomon
- Visiwa vya Torres Strait
- Vanuatu
- Palau
Visiwa vilivyoko katika eneo hili lakini wakazi hawajitazami kuwa Wamelanesia:
Wakati mwingine hata visiwa upande wa Guinea Mpya vinahesabiwa humo ingawa wakazi hawajitazami hivyo: Halmahera, Alor na Pantar.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|