Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 29: | Mstari 29: | ||
* Ana stahili cheo hicho.--[[User:Muddyb Blast Producer|'''Mwanaharakati''']] ([[User talk:Muddyb Blast Producer|talk]]) 12:45, 2 Februari 2008 (UTC) |
* Ana stahili cheo hicho.--[[User:Muddyb Blast Producer|'''Mwanaharakati''']] ([[User talk:Muddyb Blast Producer|talk]]) 12:45, 2 Februari 2008 (UTC) |
||
* Nakubali.--[[User:ChriKo|ChriKo]] 17:19, 3 Februari 2008 (UTC) |
* Nakubali.--[[User:ChriKo|ChriKo]] 17:19, 3 Februari 2008 (UTC) |
||
* Nakubali pia. [[User:Marcos|Marcos]] 23:13, 5 Februari 2008 (UTC) |
|||
===[[User:Muddyb Blast Producer|Muddyb Blast]]=== |
===[[User:Muddyb Blast Producer|Muddyb Blast]]=== |
||
Mstari 38: | Mstari 39: | ||
# [[User:Sj|Sj]] 06:45, 2 Februari 2008 (UTC) |
# [[User:Sj|Sj]] 06:45, 2 Februari 2008 (UTC) |
||
# Ndiyo, anaonyesha juhudi nyingi. --[[User:ChriKo|ChriKo]] 17:19, 3 Februari 2008 (UTC) |
# Ndiyo, anaonyesha juhudi nyingi. --[[User:ChriKo|ChriKo]] 17:19, 3 Februari 2008 (UTC) |
||
# Nakubali. [[User:Marcos|Marcos]] 23:13, 5 Februari 2008 (UTC) |
|||
==Wakabidhi wasioonekana== |
==Wakabidhi wasioonekana== |
Pitio la 23:13, 5 Februari 2008
Mkabidhi ni mhariri aneyeweza kutumia zana za kifundi, kwa mfano, kufuta makala kabisa, kuhifadhi makala, kuzuia waharibifu na kadhalika. Mkabidhi ni msaidizi tu. Hana hukumu maalum juu ya maandishi ya makala au sera ya kamusi elezo.
Bureaucrat (ni neno ya Kiingereza, maana ni mfanyakazi ya uendeshaji ya serikali au ushirika nyingine) ana uwezo kufanya mtu kuwa mkabidhi, kubadilisha jina la mtumiaji na kuteua akaunti ya kikaragosi ("set bot flag", kwa kiingereza).
Wakabidhi (Administrators)
Orodha hii ilisasishwa Januari 2008.
- Bureaucrat: User:Matt Crypto (; badiliko la mwisho: Januari 2007; BOTs: You can reach him here for your flag!)
- User:Kipala
- User:Malangali
- User:Marcos (badiliko la mwisho: Novemba 2005)
- User:Ndesanjo (badiliko la mwisho: )
- User:Neno (badiliko la mwisho: Jan 2005)
- User:Oliver Stegen
- User:Sj (badiliko la mwisho: Septemba 2006)
Uteuzi (Nominations)
Upige kura kukabidhi mtumiaji awe mkabidhi. Mkabidhi akiwa na kasa kura mbili ya kuunga mkono (bighairi ya kura ya mteuzi), ni lazima atateuliwa tena Wikipedia ya Kiswahili itakapokuwa imeshughulika. (Please vote below to accept the listed users as admins. Any admins created with fewer than 2 support votes (other than that of the nominator) should be renominated once sw: becomes more active.)
Bureaucrat : Oliver Stegen
Oliver, anafaa kuwa na cheo hicho cha Bureaucrat, hivyo apewe tu. --Mwanaharakati 11:28, 31 Januari 2008 (UTC)
Support
- Yes I think that Matt has been inactive for more than half a year. I think Oliver is best placed to perform that task. --User_talk:Kipala 14:14, 31 Januari 2008 (UTC)
- Ndio -- Sj 06:45, 2 Februari 2008 (UTC)
- Ana stahili cheo hicho.--Mwanaharakati (talk) 12:45, 2 Februari 2008 (UTC)
- Nakubali.--ChriKo 17:19, 3 Februari 2008 (UTC)
- Nakubali pia. Marcos 23:13, 5 Februari 2008 (UTC)
Ateuliwe kuwa mkabidhi ili aweze kulinda makala za wikipedia. Amehariri zaidi ya mara 2,440 toka ajiunge. --Mwanaharakati 12:05, 31 Januari 2008 (UTC)
Support
- Namwunga mkono. ameshapata uzoefu akionyesha bidii. --User_talk:Kipala 14:14, 31 Januari 2008 (UTC)
- --Per Angusta 08:26, 1 Februari 2008 (UTC)
- Sj 06:45, 2 Februari 2008 (UTC)
- Ndiyo, anaonyesha juhudi nyingi. --ChriKo 17:19, 3 Februari 2008 (UTC)
- Nakubali. Marcos 23:13, 5 Februari 2008 (UTC)
Wakabidhi wasioonekana
Tuna wakabidhi kadhaa ambao hawaonekani tena sana. Kwa kutazama "user contributions" napata:
Kuna wengine walioonekana mara chache tu kwa mfano
- Marcos: alionekana Desemba 2007 na kabla ya hayo alikuwa kimya tangu Juni 2007.
- Ndesanjo: hakuonekana kati ya Oktoba 2006 na Mei 2007. Tangu Mei ameonekana karibu kila mwezi.
- Matt Crypto alionekana mara ya mwisho 8 Julai 2007. Kuna tatizo la ziada kuwa yeye ni bureaucrat yetu na hajibu tena. Hapa ni sababu naunga mkono kumteua mwingine.
Hawa wote ni wanawikipedia waliojitolea sana kujenga wikipedia ya Kiswahili lakini kwa sababu zao hawakuweza au hawakupenda kuendelea jinsi ilivyokuwa awali.
Naomba tuelewane: Upande wa heshima hawastahili kupungukiwa nafasi hii ya mkabidhi. Kwa upande wa kazi mara nyingi hawako na hawawezi kusaidia kitu. Kila wikipedia ni huru kuweka utaratibu wake.
Pendekezo:
- Mkabidhi asiyeonekana kwa muda wa miezi mitatu anatazamiwa amepumzika. Jina lake litahamishwa kwa nafasi ya "Wakabidhi mapumzikoni".
- Akionekana tena atarudishwa kati ya wakabidhi baada ya kuchangia mara tatu.
- Akikaa kimya kwa muda wa mwaka mmoja atahamishwa katika orodha ya "Waliokuwa wakabidhi". Akionekana tena atarudishwa (kama juu). --User_talk:Kipala 08:56, 1 Februari 2008 (UTC)
- Sawa, lakini haitatatua shida yetu ya ukosefu wa waandishi, wakabidhi na mabureaucrat, hususa wasemao Kiswahili kwa lugha ya kwanza. ChriKo 17:19, 3 Februari 2008 (UTC)
Jalada (Archive)
Ameteuliwa na Sj 18:32, 1 Februari 2007 (UTC)
Support
- (nominator) Good work cleaning up, active for months now, fluent writer. Sj 18:32, 1 Februari 2007 (UTC)
- Matt Crypto 21:50, 1 Februari 2007 (UTC)
- Nakubali kabisa! --Oliver Stegen 23:12, 1 Februari 2007 (UTC)
- Lazima apewe cheti! Malangali 06:00, 7 Februari 2007 (UTC)
- --Mr Accountable 17:14, 18 Februari 2007 (UTC)
- Naunga mkono! ndesanjo 5 Mei 2007
- Najiteua kuwa mkabidhi, ili nisaidie kwenye utafsiri wa MediaWiki kwa sw.wikipedia. User:Malangali 13:03, 17 Desemba 2007 (UTC)
Support
- GerardM 11:12, 8 Januari 2008 (UTC)
- Arthurbuliva 12:33, 8 Januari 2008 (UTC)
- Mwanaharakati 13:05, 11 Januari 2008 (UTC)
- ChriKo 17:19, 3 Februari 2008 (UTC)
Amefanya kazi kwa bidii kuanzia Aprili 2006. Matt Crypto 21:50, 1 Februari 2007 (UTC)
Support
- Matt Crypto 21:50, 1 Februari 2007 (UTC)
- --Kipala 15:29, 2 Februari 2007 (UTC)
- Mtu mzuri kuwa na daraka hili. Malangali 06:01, 7 Februari 2007 (UTC)
- Mr Accountable 03:34, 19 Februari 2007 (UTC)
- Ndio! ndesanjo 5 Mei 2007
Ona pia
- en:Wikipedia:Administrators' how-to guide (Kiingereza)
- de:Wikipedia:Administratoren (Kijerumani)