Nenda kwa yaliyomo

Mdororo Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza rue:Велика депресія
d nimehariri neno ikiitwa kuwa inaitwa.
 
(marekebisho 11 ya kati na watumizi wengine 10 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Unemployed marching to see Mitchell, 1931.jpg|thumb|right|250px|Watu wengi walikosa kazi wakati wa kipindi cha Mdororo Mkuu]]
[[Picha:Unemployed marching to see Mitchell, 1931.jpg|thumb|right|250px|[[Picha]] ya [[maandamano]] ya [[mwaka]] [[1931]] yaliyofanyika kutokana na watu wengi kukosa kazi wakati wa Mdororo Mkuu.]]
'''Mdororo Mkuu''' ulikuwa kipindi ambacho [[uchumi]] wa [[Marekani]] na sehemu nyingine za [[dunia]] ulikuwa mbaya sana. Ulianza na [[Kuanguka kwa Soko la Hisa la Marekani 1929]]. [[Bei]] za [[Soko|masoko]] katika [[Soko la Hisa la Marekani]] zilianguka kuanzia [[tarehe]] [[24 Oktoba]] hadi [[29 Oktoba]] [[1929]]. [[Watu]] wengi sana walipoteza [[kazi]] zao. Watu wengi wakawa [[maskini]] na kutokuwa na makazi. Hii ilimaliza [[utajiri]] wa [[Roaring Twenties]]. Ile [[siku]] ambayo imesemwa kuwa mwanzo wa Mdororo Mkuu inaitwa "Black Tuesday."


Wakati Mdororo Mkuu umeanza, [[Herbert Hoover]] ndiye aliyekuwa [[rais]] wa Marekani. Watu walipiga [[kura]] kwa ajili ya rais mpya hapo [[1932]]. [[Jina]] lake lilikuwa [[Franklin D. Roosevelt]]. Roosevelt alivyopata [[serikali]] akapata kupitisha [[sheria]] mpya na mipango ya kusaidia watu ambao walipata kuumizwa na Mdororo Mkuu. Hiyo mipango ilikuwa inaitwa [[New Deal]].
'''Mdororo Mkuu''' kilikuwa kipindi ambacho uchumi wa Marekani na sehemu zingine za dunia ulikuwa mbaya sana. Ilianza na [[Kuanguka kwa Soko la Hisa la Marekani 1929]]. Bei za masoko katika [[Soko la Hisa la Marekani]] zilianguka kuanzia tar. [[24 Oktoba]] hadi hapo tar. [[29 Oktoba]], [[1929]]. Watu wengi sana walipoteza kazi zao. Watu wengi wakawa hawana makazi na maskini. Hii ilimaliza utajiri wa [[Roaring Twenties]]. Ile siku ambayo imesemwa kuanzia kwa Mdororo Mkuu inaitwa "Black Tuesday."


Wakati Mdororo Mkuu umeanza, [[Herbert Hoover]] ndiye alikuwa [[rais]] wa Marekani. Watu walipiga kura kwa ajili ya rais mpya hapo 1932. Jina lake lilikuwa [[Franklin D. Roosevelt]]. Roosevelt alivyopata serikali akapata kupitisha sheria mpya na mipangpo ya kusaidia watu ambao walipata kuumizwa na Mdororo Mkuu. Hiyo mipango ilikuwa ikiitwa [[New Deal]]. Mdororo Mkuu ulikuwa mbaya sana, lakini kwa msaada wa kila mmoja, imepata kuwa afadhali. Na kila kitu kikaja kuwa sawa. Kati ya [[1939]] na [[1944]], watu wengi wakapata kazi tena kwa sababu ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]], na huo Mdororo Mkuu ukawa unaelekea ukingoni na maisha yakawa kawaida na si kama hapo awali.
Mdororo Mkuu ulikuwa mbaya sana, lakini kwa msaada wa kila mmoja, kukawa na afadhali, na kila [[kitu]] kikaja kuwa sawa. Kati ya miaka [[1939]] na [[1944]] watu wengi wakapata kazi tena kwa sababu ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]], na huo Mdororo Mkuu ukawa unaelekea ukingoni na [[maisha]] yakawa kawaida na si kama hapo awali.


{| class="wikitable"
{{mbegu-historia}}
|+Kupungua kwa [[uzalishaji]] katika [[tasnia]] kwenye kilele cha Mdodoro Mkuu
{{mbegu-uchumi}}
|- class="hintergrundfarbe5"
! Nchi
! Kiasi cha kupungukiwa
|-
|align="left"|[[Marekani|Marekani]]
|align="left"|− 46,8 %
|-
|align="left"|[[Poland]]
|align="left"|− 46,6 %
|-
|align="left"|[[Kanada]]
|align="left"|− 42,4 %
|-
|align="left"|[[Ujerumani]]
|align="left"|− 41,8 %
|-
|align="left"|[[Chekoslovakia]]
|align="left"|− 40,4 %
|-
|align="left"|[[Uholanzi]]
|align="left"|− 37,4 %
|-
|align="left"|[[Italia]]
|align="left"|− 33,0 %
|-
|align="left"|[[Ufaransa]]
|align="left"|− 31,3 %
|-
|align="left"|[[Ubelgiji]]
|align="left"|− 30,6 %
|-
|align="left"|[[Argentina]]
|align="left"|− 17,0 %
|-
|align="left"|[[Denmark]]
|align="left"|− 16,5 %
|-
|align="left"|[[Ufalme wa Maungano|Ufalme wa Maungano (Uingereza)]]
|align="left"|− 16,2 %
|-
|align="left"|[[Uswidi]]
|align="left"|− 10,3 %
|-
|align="left"|[[Japani]]
|align="left"|− 8,5 %
|-
|align="left"|[[Brazil]]
|align="left"|− 7,0 %
|}


{{Mbegu-historia}}
[[Jamii:Historia ya Marekani]]
{{Mbegu-uchumi}}


[[Jamii:Historia ya Marekani]]
[[af:Groot Depressie]]
[[Jamii:Historia]]
[[an:Gran Depresión]]
[[Jamii:Uchumi]]
[[ar:الكساد الكبير]]
[[Jamii:1929]]
[[ba:Бөйөк депрессия]]
[[bat-smg:Dėdliuojė akuonuomėnė krėzė]]
[[be:Вялікая дэпрэсія]]
[[be-x-old:Вялікая дэпрэсія]]
[[bg:Голямата депресия]]
[[bs:Velika depresija]]
[[ca:Gran depressió]]
[[cs:Velká hospodářská krize]]
[[cy:Dirwasgiad Mawr]]
[[da:Depressionen]]
[[de:Weltwirtschaftskrise]]
[[el:Παγκόσμια οικονομική ύφεση 1929]]
[[en:Great Depression]]
[[eo:Granda depresio]]
[[es:Gran Depresión]]
[[et:Suur depressioon]]
[[eu:Depresio Handia]]
[[fa:رکود بزرگ]]
[[fi:1930-luvun lama]]
[[fiu-vro:Suur majanduspitsüs]]
[[fr:Grande Dépression]]
[[fy:Grutte Depresje]]
[[ga:An Spealadh Mór]]
[[gl:Gran Depresión]]
[[he:השפל הגדול]]
[[hi:महामन्दी]]
[[hif:Great Depression]]
[[hr:Velika gospodarska kriza]]
[[hu:Nagy gazdasági világválság]]
[[hy:Մեծ Ճգնաժամ]]
[[id:Depresi Besar]]
[[is:Kreppan mikla]]
[[it:Grande depressione]]
[[ja:世界恐慌]]
[[ka:დიდი დეპრესია]]
[[ko:대공황]]
[[la:Depressio oeconomica magna]]
[[lt:Didžioji ekonominė krizė]]
[[lv:Lielā depresija]]
[[mk:Големата криза]]
[[ml:മഹാസാമ്പത്തികമാന്ദ്യം]]
[[ms:Zaman Meleset]]
[[mwl:Grande Depresson]]
[[my:ကမ္ဘာ့စီးပွားပျက်ကပ်ကြီး]]
[[new:तधंगु मन्दी]]
[[nl:Grote Depressie]]
[[nn:Den store depresjonen]]
[[no:Den store depresjonen]]
[[oc:Crisi economica de 1929]]
[[os:Стыр Депресси]]
[[pl:Wielki kryzys]]
[[pnb:گریٹ ڈیپریشن]]
[[pt:Grande Depressão]]
[[ro:Marea criză economică]]
[[ru:Великая депрессия]]
[[rue:Велика депресія]]
[[sah:Улуу кэхтии]]
[[sh:Velika ekonomska kriza]]
[[simple:Great Depression]]
[[sk:Veľká hospodárska kríza (30. roky 20. storočia)]]
[[sl:Velika gospodarska kriza]]
[[sr:Велика криза]]
[[sv:Den stora depressionen]]
[[ta:பெரும் பொருளியல் வீழ்ச்சி]]
[[th:ภาวะเศรษฐกิจตกต่ำครั้งใหญ่]]
[[tl:Dakilang Depresyon]]
[[tr:1929 Dünya Ekonomik Bunalımı]]
[[uk:Велика депресія]]
[[ur:کساد عظیم]]
[[vi:Đại khủng hoảng]]
[[war:Hilarom nga Kabidoan]]
[[yi:וועלט ווירטשאפט קריזיס]]
[[zh:大萧条]]
[[zh-yue:大蕭條]]

Toleo la sasa la 13:58, 10 Februari 2023

Picha ya maandamano ya mwaka 1931 yaliyofanyika kutokana na watu wengi kukosa kazi wakati wa Mdororo Mkuu.

Mdororo Mkuu ulikuwa kipindi ambacho uchumi wa Marekani na sehemu nyingine za dunia ulikuwa mbaya sana. Ulianza na Kuanguka kwa Soko la Hisa la Marekani 1929. Bei za masoko katika Soko la Hisa la Marekani zilianguka kuanzia tarehe 24 Oktoba hadi 29 Oktoba 1929. Watu wengi sana walipoteza kazi zao. Watu wengi wakawa maskini na kutokuwa na makazi. Hii ilimaliza utajiri wa Roaring Twenties. Ile siku ambayo imesemwa kuwa mwanzo wa Mdororo Mkuu inaitwa "Black Tuesday."

Wakati Mdororo Mkuu umeanza, Herbert Hoover ndiye aliyekuwa rais wa Marekani. Watu walipiga kura kwa ajili ya rais mpya hapo 1932. Jina lake lilikuwa Franklin D. Roosevelt. Roosevelt alivyopata serikali akapata kupitisha sheria mpya na mipango ya kusaidia watu ambao walipata kuumizwa na Mdororo Mkuu. Hiyo mipango ilikuwa inaitwa New Deal.

Mdororo Mkuu ulikuwa mbaya sana, lakini kwa msaada wa kila mmoja, kukawa na afadhali, na kila kitu kikaja kuwa sawa. Kati ya miaka 1939 na 1944 watu wengi wakapata kazi tena kwa sababu ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, na huo Mdororo Mkuu ukawa unaelekea ukingoni na maisha yakawa kawaida na si kama hapo awali.

Kupungua kwa uzalishaji katika tasnia kwenye kilele cha Mdodoro Mkuu
Nchi Kiasi cha kupungukiwa
Marekani − 46,8 %
Poland − 46,6 %
Kanada − 42,4 %
Ujerumani − 41,8 %
Chekoslovakia − 40,4 %
Uholanzi − 37,4 %
Italia − 33,0 %
Ufaransa − 31,3 %
Ubelgiji − 30,6 %
Argentina − 17,0 %
Denmark − 16,5 %
Ufalme wa Maungano (Uingereza) − 16,2 %
Uswidi − 10,3 %
Japani − 8,5 %
Brazil − 7,0 %
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdororo Mkuu kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdororo Mkuu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.