Nenda kwa yaliyomo
Ugiriki : Tofauti kati ya masahihisho
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9.2
(marekebisho 10 ya kati na watumizi wengine 6 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 1: Mstari 1:
{{Infobox Country
{{Infobox Country
|native_name =  Ελληνική Δημοκρατία
''Ellinikí Dimokratía''
|native_name =  Ελληνική Δημοκρατία
''Ellinikí Dimokratía''
|conventional_long_name = Hellenic Republic
|conventional_long_name = Demokrasia ya Ugiriki
|common_name = Greecey penis
|common_name = Greece
|image_flag = Flag of Greece.svg
|image_flag = Flag of Greece.svg
|image_coat = Coat_of_arms_of_Greece.svg
|image_coat = Coat_of_arms_of_Greece.svg
Mstari 15: Mstari 15:
|government_type = [[Jamhuri]]
|government_type = [[Jamhuri]]
|leader_titles = [[Rais wa Ugiriki|Rais]]
[[Waziri Mkuu wa Ugiriki|Waziri Mkuu]]
|leader_titles = [[Rais wa Ugiriki|Rais]]
[[Waziri Mkuu wa Ugiriki|Waziri Mkuu]]
|leader_names = [[Katerina Sakellaropoulou]]
[[Kyriakos Mitsotakis]]
|leader_names = [[Katerina Sakellaropoulou]] (Κατερίνα Σακελλαροπούλου)
[[Kyriakos Mitsotakis]] (Κυριάκος Μητσοτάκης)
|accessionEUdate = [[1 Januari]] [[1981]]
|accessionEUdate = [[1 Januari]] [[1981]]
|area_rank = ya 96
|area_rank = ya 95
|area_magnitude = 1 E11
|area_magnitude = 1 E11
|area = 131,990
|area = 131,957
|percent_water = 0.8669
|percent_water = 1.51
|population_estimate = 11,244,118
|population_estimate = 10,678,632
|population_estimate_rank = ya 74
|population_estimate_rank = ya 85
|population_estimate_year = 2005
|population_estimate_year = 2021
|population_census = 10,816,286
|population_census = 10,816,286
|population_census_year = 2012
|population_census_year = 2012
Mstari 54: Mstari 54:
|footnotes = 1 Wananchi walikataza kurudi kwa ufalme tar. 8 Desemba 1974.
2 Prior to 2001: [[Drachma|Greek Drachma]].
|footnotes = 1 Wananchi walikataza kurudi kwa ufalme tar. 8 Desemba 1974.
2 Prior to 2001: [[Drachma|Greek Drachma]].
'''Ugiriki''' (pia: '''Uyunani'''; kwa [[Kigiriki]]: Ελλάδα, Ellada, au Ελλάς, Ellas) ni nchi ya [[Ulaya]] [[Kusini]]-[[Mashariki]] katika kusini ya [[rasi]] ya [[Balkani]].
'''Ugiriki''' (pia: '''Uyunani'''; kwa [[Kigiriki]] cha kisasa: Ελλάδα, Ellada, au Ελλάς, Ellas) ni nchi ya [[Ulaya]] [[Kusini]]-[[Mashariki]] iliyopo kusini mwa [[rasi]] ya [[Balkani]].
Imepakana na [[Albania]], [[Masedonia Kaskazini]], [[Bulgaria]] na [[Uturuki]].
Imepakana na [[Albania]], [[Masedonia Kaskazini]], [[Bulgaria]] na [[Uturuki]]. Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna [[pwani]] ndefu kwenye [[Bahari ya Mediteranea]].
==Jiografia==
Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna [[pwani]] ndefu kwenye [[Bahari ya Mediteranea]].
Kijiografia huwa na sehemu za Ugiriki bara, [[rasi ya Peloponesi]] upande wa kusini inayounganishwa kwa [[shingo ya nchi]] nyembamba, halafu [[Kisiwa|visiwa]] vingi upande wa [[Bahari ya Aegean]], [[Bahari ya Adria]] na kwenye [[Bahari ya Mediteranea|Mediteranea]] yenyewe. Visiwa vikubwa zaidi ni [[Kreta]], [[Euboea]], [[Lesbo]] na [[Rhodos]].
==Historia==
[[Bahari]]ni huko kuna visiwa vingi sana ambavyo ni sehemu za Ugiriki.
[[File:The Parthenon in Athens.jpg|thumb|left|[[Parthenon]], katika [[Akropoli]] ya [[Athens]], ni kielelezo cha [[Ugiriki ya Kale|Ugiriki wa Kale]].]]
Ugiriki ni nchi yenye [[historia]] ndefu na maarufu sana, hata inaitwa "nchi mama ya Ulaya" na [[kitovu]] cha [[Ustaarabu wa magharibi]], kwa sababu ndipo vilipoanza [[demokrasia]], [[falsafa]] ya magharibi, [[fasihi]] ya magharibi, [[historiografia]], [[sayansi ya siasa]], tafiti za [[sayansi]] na [[hisabati]], [[tamthilia]] na [[michezo]] ya [[Michezo ya Olimpiki|Olimpiki]].
Ugiriki ni nchi yenye [[historia]] ndefu na maarufu sana, hata inaitwa "nchi mama ya Ulaya".
Ugiriki ni nchi mwanachama wa [[Umoja wa Ulaya]] tangu [[1981]].
==Watu==
[[Lugha]] ya [[Kigiriki]] inaendelea kuandikwa kwa [[Alfabeti ya Kigiriki]] inaotumiwa tangu miaka 3000 iliyopita, lakini lugha yenyewe imebadilika. Wagiriki wa leo hawaelewi tena [[Kigiriki cha Kale]] moja kwa moja.
[[Lugha]] ya [[Kigiriki]] inaendelea kuandikwa kwa [[Alfabeti ya Kigiriki]] inayotumiwa tangu miaka 3000 iliyopita, lakini lugha yenyewe imebadilika. Wagiriki wa leo hawaelewi tena [[Kigiriki cha Kale]] moja kwa moja.
Wakazi wengi wanafuata [[dini]] ya [[Ukristo]], hasa katika [[Kanisa la Kiorthodoksi la Kigiriki]] (97%). 1.3% ni [[Waislamu]].
Wakazi wengi wanafuata [[dini]] ya [[Ukristo]] (93%), hasa katika [[Kanisa la Kiorthodoksi la Kigiriki]] (90%), halafu [[Uprotestanti|Waprotestanti]] na [[Kanisa Katoliki|Wakatoliki]]. 2% ni [[Waislamu]].
Ugiriki ni nchi mwanachama wa [[Umoja wa Ulaya]] tangu [[1981]].
==Tazama pia==
==Tazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
==Marejeo==
{{refbegin|30em}}
* "Minorities in Greece – Historical Issues and New Perspectives". ''History and Culture of South Eastern Europe''. An Annual Journal. München (Slavica) 2003.
*{{cite book | title = The Constitution of Greece | url = http://www.hellenicparliament.gr/UserFiles/f3c70a23-7696-49db-9148-f24dce6a27c8/001-156%20aggliko.pdf |access-date=21 March 2011 |year=2008 | publisher = [[Hellenic Parliament]] |location=Athens|isbn= 978-960-560-073-0| others = Paparrigopoulos, Xenophon; Vassilouni, Stavroula (translators)}}
*{{Cite book | last = Clogg | first = Richard | title = A Concise History of Greece | pages = 10–37 | publisher = Cambridge University Press | year = 1992 | edition = 1st | isbn = 978-0-521-37228-2 | url = https://books.google.com/books?id=H5pyUIY4THYC&q=richard%20clogg%20greece | access-date = 23 March 2016}}, 257 pp.
*{{Cite book | author-link = Richard Clogg| last = Clogg | first = Richard | title= A Concise History of Greece | url = https://archive.org/details/concisehistoryof00clog_0| edition = 2nd |location= Cambridge | publisher= [[Cambridge University Press]]| orig-year = 1992 | year= 2002 | isbn = 978-0-521-00479-4}}.
*{{cite book | last =Dagtoglou | first = PD | title = Constitutional Law – Individual Rights | volume = I | year = 1991 |publisher=Ant. N. Sakkoulas |location=Athens-Komotini |language=el |chapter=Protection of Individual Rights}}
*{{Cite book | first = John Van Antwerp | last = Fine | title = The Early Medieval Balkans: A Critical Survey from the Sixth to the Late Twelfth Century | publisher = University of Michigan Press | year = 1991 | isbn = 978-0-472-08149-3 | url=https://books.google.com/books?id=Y0NBxG9Id58C | access-date=23 March 2016}}, 376 pp.
* {{cite book|last=Hatzopoulos|first=Marios|title=The making of Modern Greece: Nationalism, Romanticism, and the Uses of the Past (1797–1896)|chapter=From resurrection to insurrection: 'sacred' myths, motifs, and symbols in the Greek War of Independence|year=2009|publisher=Ashgate|editor1-first=Roderick|editor1-last=Beaton|editor2-first=David|editor2-last=Ricks|pages=81–93|chapter-url=https://www.academia.edu/985519}}
*{{Cite book | last = Kalaitzidis | first = Akis | year = 2010 | title = Europe's Greece: A Giant in the Making | publisher = [[Palgrave Macmillan]]}}, 219 pp. The impact of European Union membership on Greek politics, economics, and society.
*{{cite book|last1=Koliopoulos|first1=John S.|last2=Veremis|first2=Thanos M.|title=Greece: The Modern Sequel. From 1831 to the Present|url=https://archive.org/details/greecemodernsequ0000koli_o4g4|publisher=Hurst & Co.|year=2002|location=London}}
*{{cite journal|last=Kostopoulos|first=Tasos|title=La guerre civile macédonienne de 1903-1908 et ses représentations dans l'historiographie nationale grecque|journal=Cahiers Balkaniques|volume=38-39|issue=38–39|year=2011|pages=213–226|doi=10.4000/ceb.835|doi-access=free}}
*{{cite journal|first=Vassilis|last=Kremmydas |script-title=el:Η οικονομική κρίση στον ελλαδικό χώρο στις αρχές του 19ου αιώνα και οι επιπτώσεις της στην Επανάσταση του 1821|trans-title=The economic crisis in Greek lands in the beginning of 19th century and its effects on the Revolution of 1821|language=el|journal=Μνήμων|volume=6|date=1977|pages=16–33|doi=10.12681/mnimon.171|doi-access=free}}
*{{cite journal|first=Vassilis|last=Kremmydas |script-title=el:Προεπαναστατικές πραγματικότητες. Η οικονομική κρίση και η πορεία προς το Εικοσιένα|trans-title=Pre-revolutionary realities. The economic crisis and the course to '21|language=el|journal=Μνήμων|volume=24|date=2002|issue=2 |pages=71–84|doi=10.12681/mnimon.735|doi-access=free}}
*{{cite journal|last=Livanios|first=Dimitris|title=Conquering the souls: nationalism and Greek guerrilla warfare in Ottoman Macedonia, 1904‐1908|journal=Byzantine and Modern Greek Studies|volume=23|year=1999|pages=195–221|doi=10.1179/byz.1999.23.1.195|s2cid=162410083}}
*{{cite book |last= Mavrias | first= Kostas G |title= Constitutional Law |year= 2002| publisher= Ant. N. Sakkoulas | location =Athens |language=el |isbn=978-960-15-0663-0}}
*{{cite journal|last=Mazower|first=Mark|year=1992|title=The Messiah and the Bourgeoisie: Venizelos and Politics in Greece, 1909- 1912|url=https://archive.org/details/sim_historical-journal_1992-12_35_4/page/885|journal=The Historical Journal|volume=35|issue=4|pages=885–904|doi=10.1017/S0018246X00026200}}
*{{cite journal | last =Pappas | first = Takis |date=April 2003 | title= The Transformation of the Greek Party System Since 1951 | url =https://archive.org/details/sim_west-european-politics_2003-04_26_2/page/90 |journal=[[West European Politics (WEP)|West European Politics]]| volume= 26 | issue = 2 | pages = 90–114| doi = 10.1080/01402380512331341121| s2cid = 153514846 }}
*{{Cite news | url = https://www.nytimes.com/2010/02/14/business/global/14debt.html | title = Wall St. Helped to Mask Debt Fueling Europe's Crisis | newspaper= The New York Times | first1 = Louise | last1 = Story | first2=Landon Jr |last2=Thomas |first3=Nelson D |last3=Schwartz |date= 14 February 2010 |access-date=26 March 2013}}.
*{{Cite book | last = Trudgill | first = P | contribution = Greece and European Turkey: From Religious to Linguistic Identity | editor1-first = S | editor1-last = Barbour | editor2-first = C | editor2-last = Carmichael | year = 2000 | title = Language and Nationalism in Europe | place = [[Oxford]] | publisher = [[Oxford University Press]]}}.
*{{cite book | author-link = Evangelos Venizelos| last = Venizelos | first = Evangelos | title = The "Acquis" of the Constitutional Revision | year= 2002 | publisher= Ant. N. Sakkoulas |location= Athens | language =el | isbn = 978-960-15-0617-3 |chapter=The Contribution of the Revision of 2001}}
*{{Citation |script-title=el:Ἑλλάς - Ἑλληνισμὸς |url=http://anemi.lib.uoc.gr/php/pdf_pager.php?filename=%2Fvar%2Fwww%2Fanemi-portal%2Fmetadata%2Fa%2Ff%2Fb%2Fattached-metadata-01-0002588%2F279838_10.pdf&rec=%2Fmetadata%2Fa%2Ff%2Fb%2Fmetadata-01-0002588.tkl&do=279838_10.pdf&width=662&height=963&pagestart=1&maxpage=1104&lang=en&pageno=1&pagenotop=1&pagenobottom=262 |work=Μεγάλη Ἐλληνικὴ Ἐγκυκλοπαιδεῖα |volume=10 |location=Athens |publisher=Pyrsos Co. Ltd. |date=1934 |trans-title=Greece - Hellenism |language=el |ref = {{harvid|Great Greek Encyclopedia}}|title = PDF pager}}
{{refend}}
== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
* {{en}} {{fr}} (Kigiriki) [http://www.presidency.gr/ Rais wa Ugiriki]
* {{en}} {{fr}} (Kigiriki) [http://www.presidency.gr/ Rais wa Ugiriki] {{Wayback|url=http://www.presidency.gr/ |date=20120917080929 }}
{{Umoja wa Ulaya}}
{{Umoja wa Ulaya}}
{{Ulaya}}
{{Ulaya}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
[[Jamii:Ugiriki|*]]
[[Jamii:Ugiriki|*]]
[[Jamii:Nchi za Umoja wa Ulaya]]
[[Jamii:Nchi za Umoja wa Ulaya]]
[[Jamii:Mkataba wa Schengen]]
[[Jamii:Mkataba wa Schengen]]
[[Jamii:Umoja wa Forodha wa Ulaya inaanzishwa]]
[[Jamii:Umoja wa Forodha wa Ulaya]]
[[Jamii:Nchi za Ulaya]]
[[Jamii:Nchi za Ulaya]]
[[Jamii:Balkani]]
[[Jamii:Balkani]]
Toleo la sasa la 06:02, 14 Novemba 2022
Ελληνική Δημοκρατία
Ellinikí Dimokratía
Demokrasia ya Ugiriki
Bendera ya Greece Nembo ya Greece
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Ελευθερία ή Θάνατος
(Eleftheria i thanatos - "Uhuru au mauti")
Wimbo wa taifa: Ύμνος εις την Ελευθερίαν - "Wimbo la Uhuru"
Lokeshen ya Greece
Mji mkuu Athens
38°00′ N 23°43′ E
Mji mkubwa nchini Athens
Lugha rasmi Kigiriki
Serikali Jamhuri
Katerina Sakellaropoulou (Κατερίνα Σακελλαροπούλου)
Kyriakos Mitsotakis (Κυριάκος Μητσοτάκης)
Uhuru
Ilitangazwa
Ilitambuliwa
25 Machi 1821
1829
Eneo
- Jumla
- Maji (%)
131,957 km² (ya 95)
1.51
Idadi ya watu
- 2021 kadirio
- 2012 sensa
- Msongamano wa watu
10,678,632 (ya 85)
10,816,286
77/km² (ya 120)
Fedha Euro ()2 (EUR)
Saa za eneo
- Kiangazi (DST)
EET (UTC+2)
EEST (UTC+3)
Intaneti TLD .gr 3
Kodi ya simu +30
1 Wananchi walikataza kurudi kwa ufalme tar. 8 Desemba 1974.
2 Prior to 2001: Greek Drachma.
Ugiriki (pia: Uyunani; kwa Kigiriki cha kisasa: Ελλάδα, Ellada, au Ελλάς, Ellas) ni nchi ya Ulaya Kusini-Mashariki iliyopo kusini mwa rasi ya Balkani.
Imepakana na Albania, Masedonia Kaskazini, Bulgaria na Uturuki. Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna pwani ndefu kwenye Bahari ya Mediteranea.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]
Kijiografia huwa na sehemu za Ugiriki bara, rasi ya Peloponesi upande wa kusini inayounganishwa kwa shingo ya nchi nyembamba, halafu visiwa vingi upande wa Bahari ya Aegean, Bahari ya Adria na kwenye Mediteranea yenyewe. Visiwa vikubwa zaidi ni Kreta, Euboea, Lesbo na Rhodos.
Historia
[hariri | hariri chanzo]
Parthenon, katika Akropoli ya Athens, ni kielelezo cha Ugiriki wa Kale.
Ugiriki ni nchi yenye historia ndefu na maarufu sana, hata inaitwa "nchi mama ya Ulaya" na kitovu cha Ustaarabu wa magharibi, kwa sababu ndipo vilipoanza demokrasia, falsafa ya magharibi, fasihi ya magharibi, historiografia, sayansi ya siasa, tafiti za sayansi na hisabati, tamthilia na michezo ya Olimpiki.
Ugiriki ni nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu 1981.
Lugha ya Kigiriki inaendelea kuandikwa kwa Alfabeti ya Kigiriki inayotumiwa tangu miaka 3000 iliyopita, lakini lugha yenyewe imebadilika. Wagiriki wa leo hawaelewi tena Kigiriki cha Kale moja kwa moja.
Wakazi wengi wanafuata dini ya Ukristo (93%), hasa katika Kanisa la Kiorthodoksi la Kigiriki (90%), halafu Waprotestanti na Wakatoliki. 2% ni Waislamu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
Nchi za Umoja wa Ulaya Bendera ya Umoja wa Ulaya
Austria | Bulgaria | Eire | Estonia | Hispania | Hungaria | Italia | Kroatia | Kupro | Latvia | Lituanya | Luxemburg | Malta | Polandi | Slovakia | Slovenia | Romania | Ubelgiji | Ucheki | Udeni | Ufaransa | Ufini | Ugiriki | Uholanzi | Ujerumani | Ureno | Uswidi
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ugiriki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.