Severini Boesyo

Seneta wa Kirumi na mwanafalsafa wa mapema karne ya 6

Severini Boesyo (jina kamili kwa Kilatini: Anicius Manlius Severinus Boëthius[1][2][3] Roma, 480Pavia, 524 BK), alikuwa seneta wa Bunge la Roma, gavana, magister officiorum, na mwanafalsafa wa mwanzo wa karne ya 6.

Boesyo akifundisha
(mchoro mdogo wa mwaka 1385 katika nakala ya Consolation of Philosophy.)
Bibi Falsafa na Boesyo kutoka Consolatio, (Ghent, 1485).

Maarufu kwa elimu na kwa maandishi yake, alimtumikia Mungu kwa uaminifu hadi kifodini chake [4].

Maisha

hariri

Aliishi na kufanya kazi chini ya utawala wa Waostrogoti walioteka Italia na kumaliza Dola la Roma miaka 4 kabla hajazaliwa.

Hatimaye mfalme Theodoriki Mkuu aliagiza auawe mwaka 524 kwa tuhuma ya kufanya njama ya kumuua.[5]

Akiwa gerezani, Boesyo aliandika kitabu chake bora, De Consolatione Philosophiae ("Faraja ya Falsafa"), ambacho ni kati ya vile vilivyoathiri zaidi Karne za Kati[6] .

Heshima baada ya kifo

hariri
 
Kaburi la Boesyo ndani ya kanisa la San Pietro in Ciel d'Oro, Pavia.

Tangu mwaka 1883 Kanisa Katoliki linamheshimu Boesyo kama mtakatifu mfiadini.[7]

Papa Benedikto XVI alifafanua umuhimu wa Boesyo kwa Wakristo wa leo kwa kuhusianisha mafundisho yake na uelewa wa Maongozi ya Mungu. [8]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Oktoba.[9]

Maandishi

hariri
Hisabati
  • De arithmetica (On Arithmetic, c. 500) adapted translation of the Introductionis Arithmeticae by Nicomachus of Gerasa (c. 160 – c. 220).
  • De musica (On Music, c. 510), based on a lost work by Nicomachus of Gerasa and on Ptolemy’s Harmonica.
  • Possibly a treatise on geometry, extant only in fragments.[10]
Mantiki
A) Tafsiri
B) Ufafanuzi
  • In Isagogen Porphyrii commenta (two commentaries, the first based on a translation by Marius Victorinus, (c. 504-5059); the second based on Boethius’ own translation (507-509).
  • In Categorias Aristotelis (c. 509-511)
  • In librum Aristotelis de interpretatione Commentaria minora (not before 513)
  • In librum Aristotelis de interpretatione Commentaria majora (c. 515–16)
  • In Aristotelis Analytica Priora (c. 520–23)
  • Commentaria in Topica Ciceronis (incomplete: the end the sixth book and the seventh are missing)
Vitabu vya pekee
  • De divisione (515–520?)
  • De syllogismo cathegorico (505–506)
  • Introductio ad syllogismos cathegoricos (c. 523)
  • De hypotheticis syllogismis (516-522)
  • De topicis differentiis (c. 522–23)
  • Opuscola Sacra (Theological Treatises)
    • De Trinitate (c. 520–21)
    • Utrum Pater et Filius et Spiritus Sanctus de divinitate substantialiter praedicentur (Whether Father and Son and Holy Spirit are Substantially Predicated of the Divinity)
    • Quomodo substantiae in eo quod sint bonae sint cum non sint substantialia bona [also known as De hebdomadibus] (How Substances are Good in that they Exist, when They are not Substantially Good)
    • De fide Catholica
    • Contra Eutychen et Nestorium (Against Eutyches and Nestorius)
  • De consolatione Philosophiae (524–525).

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. The name Anicius demonstrated his connection with a noble family of the Lower Empire, while Manlius claims lineage from the Manlii Torquati of the Republic. The name Severinus was given to him in honour of Severinus of Noricum.
  2. Hodgkin, Thomas. Italy and Her Invaders. London: Adamant Media Corporation, 2001.
  3. "Boethius" has four syllables in English, Kigezo:IPAc-en, the o and e are pronounced separately. It is hence traditionally written with a diæresis, viz. "Boëthius", a spelling which has been disappearing due to the limitations of typewriters.
  4. https://www.santiebeati.it/dettaglio/90400
  5. The Online Library of Liberty, Boethius. Internet. Available from http://oll.libertyfund.org/index.phpoption=com_content&task=view&id=215&Itemid=269; accessed November 3, 2009.
  6. Benedictine Monks of St. Augustine's Abbey, The Book of Saints, 6th ed., 1989, p. 507
  7. He was declared a saint by the Sacred Congregation of Rites in 1883
  8. http://www.vatican.va/holy_father/benedict_xvi/audiences/2008/documents/hf_ben-xvi_aud_20080312_en.html General Audience of Pope Benedict XVI, 12 March 2008
  9. Roman Martyrology
  10. Folkerts, Menso, mhr. (1970). Boethius’ Geometrie II. Ein mathematisches Lehrbuch des Mittelalters. Wiesbaden: Franz Steiner.

Marejeo

hariri
 
Dialectica, 1547

Marejeo mengine

hariri

Viungo vya nje

hariri

Maandishi

hariri
 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Maisha na umuhimu

hariri

Mantiki na falsafa yake

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.