Mkoa wa Valladolid
Valladolid ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania.
Mkoa wa Valladolid | |||
Mahali pa Mkoa wa Valladolid katika Hispania | |||
| |||
Nchi | Hispania | ||
---|---|---|---|
Eneo | Castilla na León | ||
Mji mkuu | Valladolid | ||
Eneo | |||
- Jumla | 8,110 km² | ||
Tovuti: http://www.diputaciondevalladolid.es/ |
Idadi ya wakazi wake ni takriban 532,575. Mji mkuu wake ni Valladolid.
Tazama pia
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Valladolid kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |