3 Aprili
tarehe
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 3 Aprili ni siku ya 93 ya mwaka (ya 94 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 272.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1913 - Per Borten, mwanasiasa wa Norwei
- 1924 - Marlon Brando, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1930 - Helmut Kohl, Waziri Mkuu wa Ujerumani (1982-1998)
- 1961 - Eddie Murphy, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1961 - Mwinchoum Abdulrahman Msomi, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
hariri- 1253 - Mtakatifu Richard wa Chichester, askofu
- 1287 - Papa Honorius IV
- 1682 - Bartolomé Esteban Murillo, mchoraji kutoka Hispania
- 1868 - Franz Berwald, mtunzi wa muziki kutoka Uswidi
- 1897 - Johannes Brahms, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1966 - Russel Crouse, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Sisto I, Kresto na Papo, Ulpiani wa Turo, Yohane wa Napoli, Niseta wa Medikion, Yosefu Mtungatenzi, Richard wa Chichester, Luigi Scrosoppi n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |