14 Aprili
tarehe
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 14 Aprili ni siku ya 104 ya mwaka (ya 105 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 261.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1629 - Christiaan Huygens, mwanasayansi kutoka Uholanzi
- 1741 - Momozono, Mfalme Mkuu wa 116 wa Japani (1747-1762)
- 1927 - Alan MacDiarmid, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2000
- 1963 - Shinz Stanz, mwanamuziki kutoka Kenya
Waliofariki
hariri- 911 - Papa Sergio III
- 1759 - Georg Friedrich Händel, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1848 - Khachatur Abovyan, mwandishi kutoka Armenia
- 1950 - Frances Ford Seymour, mke wa pili wa Henry Fonda, alijiua
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Tibursi, Valeriani na Masimo, Bernika, Prosdoka na Domnina, Frontoni abati, Tasak, Tomais wa Aleksandria, Lamberti wa Lyon, Yohane wa Montemarano, Bernardo wa Tiron, Benedikto wa Avignon, Lidwina n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-16 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 14 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |