11 Julai
tarehe
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1767 - John Quincy Adams, Rais wa Marekani (1825-1829)
- 1916 - Aleksander Prokhorov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964)
- 1920 - Yul Brynner, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1939 - Beth Mugo, mwanasiasa wa kike wa Kenya
Waliofariki
- 472 - Anthemius, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi
- 1937 - George Gershwin (mtungaji wa muziki Mmarekani)
- 1974 - Par Lagerkvist (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1951)