2 Julai
tarehe
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 2 Julai ni siku ya 183 ya mwaka (ya 184 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 182.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 419 - Valentinian III, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi (425-455)
- 1862 - William Henry Bragg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915
- 1877 - Hermann Hesse, mwandishi Mjerumani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1946
- 1906 - Hans Bethe, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1967)
- 1923 - Wislawa Szymborska, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1996
- 1925 - Patrice Lumumba, Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 1946 - Richard Axel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2004
- 1954 - Omar Shabani Kwaangw', mwanasiasa wa Tanzania
- 1958 - Mwenye heri Zbigniew Strzałkowski, padri wa Ndugu Wadogo Wakonventuali kutoka Poland aliyefia dini nchini Peru
Waliofariki
hariri- 1616 - Mtakatifu Bernardino Realino, S.J., padri wa Italia
- 1778 - Jean-Jacques Rousseau, mwanafalsafa kutoka Ufaransa
- 1961 - Ernest Hemingway, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1954
- 1977 - Vladimir Nabokov, mwandishi wa Urusi na wa Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Prosesi na Martiniani, Liberati, Bonifasi na wenzao, Monegunda, Swithun wa Winchester, Lidano, Bernardino Realino n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |