Image Action
Image Action
Literature
Waswahili husema cha mwenzako kikinyolewa chako tia maji. Kanseli imebadili mitindo ya utahini
nasi sharti tubadili namna ya kuwaelekeza watahiniwa ili chombo kisiende mrama. Maswali ya
karne ya 21 yanadhihirisha utahini wa stadi za umahiri na umilisi wa kazi ya fasihi na si kuiga tu
kikasuku.
Mitihani ya kitaifa siku hizi inaegemea maswali yanayohitaji uwazaji wa kina, umilisi wa fasihi,
usanisi au mbinu telekezi katika nadharia ya Bloom. Maswali ya kale ya maudhui na wasifu wa
wahusika hayajitokezi kwa wingi kwani mtihani unalenga ufahamu mpana wa vitushi na msuko na
si ufahamu wa kijuu juu tu.
Nakala hii ni mwongozo adhimu na aula kwa mwanafunzi na mwalimu wa shule ya upili kwani
inaweka parauwanja maswala mbalimbali kama vile; Umuhimu wa ploti, umuhimu wa mandhari,
umuhimu wa usimulizi, mtindo na mwingiliano matini wa vipengele mbalimbali. Nasadiki na
kuamini mambo yatatengemea baada ya kupata nakala hii kwani kinolewacho hupata.
http://www.marymartin.com/web?pid=835578
-------------------------------------------------------------------------------------------
Najivunia Kuwa Mnandi / Ishamel Rono Nicodemus
Kenya: African Ink Publishers, 2021
Baada ya kuchinjwa, matumbo hukaguliwa na iwapo hakuna ishara yoyote ya ugonjwa, sherehe
hutangazwa kuwa njema. Iwapo kondoo atapatikana na ishara ya ugonjwa, hii ikiwa nadra kwa
kuwa umakinifu uliwekwa unapochaguliwa, mwingine hutakaswa na kuchinjwa tena. Rafiki zake
bwana harusi wanapopeana habari njema, wazazi na wale kina mama wa ubatizo hunyunyiza
maziwa na pombe…
http://www.marymartin.com/web?pid=835579
-------------------------------------------------------------------------------------------
Wasya Wa Syokimau / David G. Maillu
Nairobi: African Comb Books Lts, 2019
182p.
9789966130860
$ 25.00/ PB
204gm.
http://www.marymartin.com/web?pid=835580
-------------------------------------------------------------------------------------------
Kivuli cha Sakawa / Enlock Bitugi Matundura
Kenya: Nsemia Inc. Publishers, 2010
110p.
9781926906003
$ 25.00 / PB
86gm.
Kivuli cha Sakawa (Sakawa’s Ghost) , written in Kiswahili, the major lingua franca in the East
African region, is a story about one of Africa’s legendary heroes who was at the forefront in the
battle against colonialism and its evils. Legend has it that he was a seer and that many of his
predictions have come to pass.
In this this story, Sakawa finds himself at crossroads following the death of his father, a prominent
leader in his own right. Conservative elders in his community who feel threatened by this
youngster destined to be a great leader fight him tooth and nail to subdue his shinning star. Will
they succeed?
Sakawa Ng’iti indeed existed and lived among the Abagusii community in western Kenya at the
turn of 19th Century (1800). The unfolding episode in this book did indeed take place, although
probably in slightly a different way. By chronicling this episode, the author gives the story a new
lease of artistic life and offers opportunity for others to comments and/or offer versions of the story
as they understand it.
http://www.marymartin.com/web?pid=835581
-------------------------------------------------------------------------------------------
Kengeza La Jasiri / Shisia Wasilwa
Kenya: African Ink Publishers, 2022
vi, 228p.
9789914999181
$ 20.00 / PB
234gm.
Jasiri ana Kengeza. Kengeza hilo halimpi amani. Linamsumbua maishani. Hilo kengeza
linayaunganisha maisha yake ya zamani na usasa. Kalipata ujanani. Amekataa kulizika katika
“Nikumbukapo mashaka tipitipi yaliyoizonga familia yetu naamini kuwa ulimwengu umefurika
malimwengu ya kila nui ambayo hukingama mbele ya walimwengu maishani na kusababisha
pandashuka. Kama barabara ndefu ilivyo safari ya Maisha haikosi mabonde, vilima, milima,
tambarare na kona. Je. Ni gurufu gani isiyokuwa na gurufu? Kwa bahati njema mawimbi ya safari
ngumu hayadumu maishani, huisha namna Maisha yenyewe yanavyoisha.
Baadhi ya Pandashuka ni furaha na huzuni, raha karaha, vicheko na vilio, utajiri na umaskini, shibe
na njaa, amani na vita, afya njema na maradhi, upendo na chuki n ahata shwari na shari namna
wasemavyo wengine. Kimsingi, pandashuka hutusambazia ama utulivu au uchungu nzima unaozaa
jakomoyo sufufu. Je, ni nani asiyejua kuwa painamapo ndipo painukapo?”
http://www.marymartin.com/web?pid=835583
-------------------------------------------------------------------------------------------
Dau Lazama / Kulei G. Serem
Kenya: African Ink Publishers, 2021
x, 116p.
9798731585408
$ 18.00 / PB
134gm.
Dau Lazama inatoa picha halisi ya mambo yanayoendelea katika jamii hususan katika bara la
Afrika. Walalahoi katika taifa la Ngomeni wanapitia madhila yasiyo na kifani kutoka kwa walio na
mamlaka ya dola. Ni bayana kwamba uongozi katika taifa hili ni wa kiimla.
Tembo anatumia mbinu kali kuwakaandamiza wapinzani wa sera zake. Vilevile pana asasi muhimu
za jamii kama vile dini, zinazofaa kuyanyosha maadili katika jamii ila sivyo katika taifa la Ngomeni:
Mchungaji Kombo anauunga mkono ukoloni mamboleo na kushirikiana nao.
Si hayo tu, siri kubwa inayozingira maisha ya kijana Bahati kuihusu usuli na hatima yake ya maisha
inateka bakunja nadhari ya msomaji.
http://www.marymartin.com/web?pid=835584
-------------------------------------------------------------------------------------------
Adhabu Ya Maisha / Elishaphan Wachira
Kenya: African Ink Publishers, 2022
Special Edition
iv, 116p.
9789914996760
$ 15.00 / PB
128gm.
Mwaisambe alipata taarifa kwamba katika jimbo lao la Matusitusi kulikuwako na mganga
mashuhuri. Mganga huyo aliwatibu watu kwa dawa za kienyeji alizokuwa nazo daima. Basi baada
ya kusikia habari kumhusu mganga huyo, Mwaisambe aliamua kwenda kumtembelea.
Ni mzazi kindakindaki. Ameniondolea janaa ya kuitwa mwana msi baba. Sasa nayafurahia
mazingira matulivu. Yote ni kwa neema. Ile ndoa ya patashika baina ya Patashika na mama
ikanitoka kabisa. Nikawa nimepoa na kutulia katika…
Ndoa ya Patashika ni riwaya inayoangazia masuala tata yanayojitokeza katika ndoa. Aghalabu, kila
ndoa huwa na changamoto zayo na ndiye maana mwandishi ameyaweka tashtiti mambo
yanayowaudhi wahusika katika ndoa zenye hali hizo.
http://www.marymartin.com/web?pid=835586
-------------------------------------------------------------------------------------------
Bembe ya Maisha / Timothy M. Arege
Nairobi: Access Publishers Limited, 2022
iv, 76p.
9789966194534
$ 18.00 / PB
74gm.
http://www.marymartin.com/web?pid=835587
-------------------------------------------------------------------------------------------
Politics
Mikondo Ya Kiswahili : Siasa, Jamii na Utandawazi / Alamin Mazrui & Kimani Njogu
Nairobi: Twaweza Communications Ltd, 2022
xvi, 192p.
Includes Index
9789966128072
$ 25.00 / PB
236gm.
The book, Mikondo ya Kiswahili: Siasa, Jamii na Utandawazi (Trajectories in Swahili: Politics,
Society, and Globalization) is an exploration of trends--within the context of politics, society and
globalization - of this most widely spoken African language. It is divided into two parts. Part I
examines linguistic choices about the language - including translation and standardization--and the
effects these have had in society. The colonial language hierarchies which minimized the status of
Swahili vis-à-vis English, the authors argue undermined its pace of growth as a language of
intellectual pursuits and constitutionalism. This first part of the book also discusses emerging
variants of the language in Kenya. Part II discusses how Swahili is playing out within the East
African Community as a lingua franca and as a key language of Pan-Africanism with its
endorsement as a Working Language of the African Union. The book also revisits the arguments by
historian Kumi Attobrah about Afrihili – an African language he created by incorporating the