Napenda Irabu I Love Vowels LEVEL1.01
Napenda Irabu I Love Vowels LEVEL1.01
Napenda Irabu I Love Vowels LEVEL1.01
a e i o u
I love vowels
Hatua ya kwanza -Level 1
Aa Aa
asali andazi
Amani anapenda kula Aa, Aa, Aa, asali. Anna anapenda kula andazi.
irabu irabu
Imani anapenda irabu Ii. Issa anapenda irabu zote.
ugali uyoga
Urasa anapenda Uu,Uu,Uu Ugali. Umi anapenda uyoga.
Napenda Irabu-1 ni kitabu kifupi cha I love Vowels-1 is a short bilingual book
lugha mbili kinachompa mtoto msingi provides your child with a strong foundation
bora katika kujifunza na kinamsaidia in learning and helps him/her love to read.
kupenda kusoma. Maneno na picha The words and the pictures corresponding
yaliyoambatana na Irabu ni njia rahisi with swahili vowels is a simple way to
ya kumpa mwanao motisha katika motivate your child to learn swahili.
kujifunza kiswahili.