Kiswahili s.1 Notes 2020

Download as pdf or txt
Download as pdf or txt
You are on page 1of 28

LUGHA YA KISWAHILI.

S.1 REVISION WORK

1. Ni nini maana ya KISWAHILI?


KISWAHILI ni Lugha ya kiafrika iliyotokea kutokana na mchanganyiko wa
maneno hususa ya kibantu na kiarabu.

2. SABABU ZA KUJIFUNZA KISWAHILI NCHINI UGANDA.

• Kiswahili ni lugha ya kitaifa iliyopendekezwa na katiba hapa nchini Uganda.


• Kiswahili ni lugha ya kimataifa.
• Kurahisisha mawasiliano nchini Uganda.
• Kiswahili ni lugha ya tano duniani kwa kuwa na wazungumzaji wengi.
• Kiswahili ni somo muhimu sana katika mitaala ya elimu katika viwango kadha.
• Kiswahili kinatumika kwenye viombo vya habari kitaifa na kimataifa.
• Kiswahili ni lugha pekee ya kiafrika isiyo ya kikabila.
• Kiswahili ni lugha ya rasmi ya nchi za Jumuiya Afrika Mashariki.
• Kiswahili ni kazi kwa watu kama vile walimu.
• Kiswahili ni kitega uchumi kwa wawekezaji k.m; waandishi wa vitabu,magazeti.
• Kiswahili ni somo muhimu sana kwenye silabasi.
• Kiswahili ni lugha ya biashara na inatumika sana mijini.
• Kiswahili ni lugha ya amani na patanishi katika jamii.
• Kiswahili kinaongeza bahati za mtu kupata kazi ndani na nje ya Afrika mashariki.
• Kiswahili ni kichocheo cha umoja na ushirikiano baina ya nchi za Afrika mashariki.
• Kiswahili ni lugha rasmi ya pili hapa nchini Uganda.

ALFABETI YA KISWAHILI
The Kiswahili alphabet is almost like that one of English. Kiswahili has five vowels
(vokali) namely

A E I O U

Their pronunciations are neither very short nor long e.g.

1
➢ Dada – Sister
➢ Wewe – You
➢ Mimi – I
➢ Mtoto - A child
➢ Sumu - poison

More so in Kiswahili there are double vowels which in pronunciation comes out as long
vowels e.g
➢ Aa –Maana – (meaning)
➢ Ee –Neema –Grace
➢ Ii – bidii – Effort
➢ oo- choo – Toilet
➢ uu-mguu- Leg

KONSONANTI /CONSONANTS
In Kiswahili consonants are called konsonanti. There are 25 consonants as follows
B CH D DH F
G GH H J K
L M N NG’ NY
P R S SH T
TH V W Y Z

These consonants can be combined with vowels


B Ba Be Bi Bo bu
Ch Cha Che Chi Cho chu
D Da De Di Do Du
Dh Dha Dhe Dhi Dho Dhu
F Fa Fe Fi Fo fu
G Ga Ge Gi Go gu
Gh Gha Ghe Ghi Gho ghu
H Ha He Hi Ho hu
J Ja Je Ji Jo ju

2
K Ka Ke Ki Ko ku
L La Le Li Lo lu
M Ma Me Mi Mo Mu
N Na Ne Ni No nu
Ny Nya Nye Nyi Nyo Nyu
Ng’ Ng’a Ng’e Ng’i Ng’o Ng’u
P Pa Pe Pi Po Pu
R Ra Re Ri Ro Ru
S Sa Se Si So Su
Sh Sha She Shi Sho Shu
T Ta Te Ti To Tu
Th Tha The Thi Tho Thu
V Va Ve Vi Vo Vu
W Wa We Wi Wo Wu
Y Ya Ye Yi Yo Yu
Z Za Ze Zi Zo zu

UUNDAJI WA MANENO/FORMATION OF WORDS


i Baba- Father
ii Chache – Few
iii Lala- Sleep
iv Cheka – Laugh
v Lia- Cry
vi Nyanya – Grand Mother/ Tomato
vii Kaka- Brother
viii Nyumba – House
ix Fisi- Hyena

SALAMU/GREETINGS
Kiswahli has several types of greetings

ii Jambo (hi, hello) –jambo (Hi, hello)


iii Hujambo (are you fine?)- sijambo (I am fine)

3
iiii Hamjambo (How are you all) -Hatujambo (we are fine)
ivi Habari (how are you) –nzuri , njema ( I am fine )
vi Vipi (how is it?) –sawa (ok)
vii Shikamoo!(I am humbled before you)marahaba. (Thank you for the nice
greetings)

The greeting of shikamoo!Is used to show respect e.g. shikomoo–mwalimu, baba, mama,
mjomba, nk

The ‘Habari greeting’ is the commonest form of Kiswahili greetings. The Habari
greetings begin with the word ‘Habari’ which means ‘News’ in English.

i Habari za asubuhi? What is the news of the morning? (Good morning?)


ii Habari za mchana? What is the news of the afternoon? (Good afternoon?)
iii Habari za jioni? What is the news of the evening? (Good evening?)
iv Habari za usiku? What is the news of the night? (How is the night?)
v Habari za siku nyingi? What is the news of the many days?
vi Habari za shule? How is school?
vii Habari za nyumbani? How is home?
viii Habari za Maisha? How is life?
ix Habari za safari? How the journey/How was is the journey?
x Habari za watoto? How are the children?
xi Habari za masomo? How are the studies?
xii Habari za kazi? How is work?

MANENO YA ADABU (WORDS OF COURTESY / ETIQUETTE)


i Asante – Thank you
ii Karibu – Welcome
iii Ninaomba – I beg you/I request
iv Nisaidie – Help me
v Subiri – Wait
4
vi Nisamehe – Forgive me
vii Kwaheri – Goodbye
viii Kwa heri ya kuonana – goodbye till we meet again
ix Usiku mwema – Good night
x Safari njema – Safe journey
xi Pole – Sorry
xii Tafadhali - Please
xiii Samahani – Excuse Me
xiv Hongera/Pongezi – Congratulations

Matumizi (Use)

1. Musa kwaheri tutaonana kesho (Goodbye Musa let us meet tomorrow)


2. Asante mwalimu kwa kutufundisha (thank you teacher for teaching us)
3. Hongera kwa kupita mtihani ( congratulations for passing exams)

KUHESABU AU TARAKIMU/COUNTING NUMBERS


Nambari Kwa Maneno
0 Sufuri
1 Moja
2 Mbili
3 Tatu
4 Nne
5 Tano
6 Sita
7 Saba

5
8 Nane
9 Tisa
10 Kumi
11 Kumi na moja
12 Kumi na mbili
20 Ishirini
22 Ishirini na mbili
30 Thelathini
31 Thelathini na moja
40 Arobaini
43 Arobaini na tatu
50 Hamsini
55 Hamsini na tano
60 Sitini
66 Sitini na sita
70 Sabini
77 Sabini na saba
80 Themanini
84 Themanini na nne
90 Tisini
99 Tisini na tisa
100 Mia moja
500 Mia tano
1,000 Elfu moja
10,000 Elfu kumi
100,000 Laki moja
500,000 Laki tano
1,000,000 Milioni moja

6
Matumizi(Use)
Nina watoto wawili (I have two children)
Nina wanafunzi wanne (I have four students)
Nina shilingi elfu tano
Nina kalamu kumi
Nina miaka ishirini

ASILIMIA/PERCENTAGE
0.5% Asilimia sufuri nukta tano
10% Asilimia kumi
50% Asilimia hamsini
70% Asilimia sabini
Matumizi(Use)
Asilimia kumi ya wanafunzi ni wapole
Asilimia sabini ya wanafunzi walifaulu masomo

AKISAMI (FRACTIONS)
1⁄ Nusu
2
1⁄ Theluthi
3
1⁄ Robo
4
1⁄ Khumusi/humusi
5
1⁄ Sudusi
6
1⁄ Subui
7
1⁄ Thumuni
8
1⁄ Tusui
9
1⁄ Ushuri
10
7
NUKTA/DECIMALS
0.2 Sufuri nukta mbili
0.22 Sufuri nukta mbili mbili
1.01 Moja nukta sufuri moja
100.006 Mia moja nukta sufuri sufuri sita
5.1111 Tano nukta moja moja moja moja

ALAMA/SIGHNS
+ Jumulisha Addition
⎯ Ondoa Subtraction
X Zidisha Multiplication
= Ni sawa na Equals
 Gawanya Divide
( ) Mabano Brackets

SAA/TIME
In Kiswahili we ask “sasa ni saa ngapi?” or “sasa saa ngapi?” meaning,“What is the
time?”
The answer will be “Hivi sasani saa_____” or sasa ni saa _______” then you mention the
time

7:00am Saa moja kamili asubuhi


7:10 am Saa moja na dakika kumi asubuhi
7: 15am Saa moja na dakika kumi na tano or (AU) saa moja na robo asubuhi
8:05am Saa mbili na dakika tano asubuhi
8: 30 am Saa mbili na nusu asubuhi AU (OR) saa mbili na dakika thelathini
asubuhi
9:20am Saa tatu na dakika ishirini asubuhi
10:27am Saa nne na dakika ishirini na saba asubuhi
11: 01am Saa tano na dakika moja asubuhi
11:33am Saa sita kasoro dakika ishirini na saba asubuhi
12:00pm Saa sita kamili adhuhuri

8
12:17pm Saa sita na dakika kumi na saba mchana
1:25pm Saa saba na dakika ishirini na tano mchana
1:45pm Saa nane kasoro dakika kumi na tano mchana AU (OR) saa nane
kasorobo mchana.
2:00pm Saa nane kamili mchana / alasiri
3:30 pm Saa tisa na dakika thelathini mchana AU (OR) Saa tisa na nusu alasiri
4:10pm Saa kumi na dakika kumi mchana
5:00pm Saa kumi na moja kamili jioni
12: 00am Saa sita kamili usiku /
Saa sita kamili usiku wa manane
1:15am Saa saba na robo usiku
Au : Saa saba na dakika kumi na tano usiku
Matumzi/Use

i Nitaenda nyumbani saa kum na mbili na dakika telathini jioni/ nusu


I will go home at 6:00pm
ii Alienda shuleni saa mbili kasorobo asubuhi
He /she went to school at 7: 45am
iii Tulikula chakula saa nane ne dakika ishirini na tano mchana/alasiri
We ate food at 2:25pm.

SIKU ZA WIKI/DAYS OF THE WEEK


KISWAHILI ENGILISH
Jumamosi Saturday
Jumapili Sunday
Jumatatu Monday
Jumanne Tuesday
Jumatano Wednesday
Alhamisi Thursday
Ijumaa Friday

Some words used in reference to the days of week

9
Juzi Previous day
Jana Yesterday
Leo Today
Kesho Tomorrow
Kesho kutwa The following day but one

Matumizi/Use

i Leo ni jumapili.
Today is Sunday
ii Juma ataenda nyumbani leo
Juma will go home today
iii Tutaenda kumuona nyanya yetu jumapili
We shall go t visit / see our grandmother on Sunday
iv Watoto wanapenda kucheza mpira wa kandanda kila jumamosi
The children like playing football every Saturday
v Alice ataenda sokoni kesho
Alice will go to the market tomorrow
vi Bosco aliwasili/fika jana kutoka safarini
Bosco arrived yesterday from the journey

MIEZI YA MWAKA/MONTHS OF THE YEAR


KISWAHILI AU(OR) ENGLISH
Januari Mwezi wa kwanza January
Februari Mwezi wa pili February
Machi Mwezi wa tatu March
Aprili Mwezi wa nne April
Mei Mwezi wa tano May
Juni Mwezi wa sita June

10
Julai Mwezi wa saba July
Agosti Mwezi wa nane August
Septemba Mwezi wa tisa September
Oktoba Mwezi wa kumi October
Novemba Mwezi wa kumi na moja November
Disemba Mwezi wa kumi na mbili December

Matumizi/Use

➢ Shule itafunguliwa mwezi wa septemba


The school will be opened in September
➢ Mama yangu atarudi mwezi wa April
My mother will come back in April
➢ Tom alizaliwa mwezi wa Agosti
Tom was born in August

SEHEMU ZA MWILI/PARTS OF THE BODY


Kiswahili English
Jicho Eye
Kichwa Head
Pua Nose
Mdomo Mouth
Shingo Neck
Sikio Ear
Bega Shoulder
Titi Breast
Mgongo Back
Kidole Finger

11
Mkono Hand/arm
Tumbo Stomach
Kiganja Palm
Mguu Leg
Kisigino Heel
Uso Face
Magoti Knees
Jino Tooth
Ulimi Tongue
Nywele Hair
Upara Bold head
Kidevu Chin
Ndevu Beards
Paja Thigh
Moyo Heart
Kitovu Navel
Mkunyanzi Ringles
Shavu Cheek
Kifua Chest
Kwapa Armpit
Kiwiko Elbow
Kiuno Waist
Kifundo cha mguu Ankle
Kucha Nail
Ufizi Gum of jaw
Paji Fore head
Koo Throat
Nyonga Hip

12
Matako / makalio Buttocks
Kiganja Palm
Ubongo Brain
Ini Liver
Figo Kidney
Kibofu Bladder
Sehemu za siri Private parts
Mboni Iris
Nyusi Eye brows
Kisogo Back of the head
Ngozi Skin

Matumuzi/Use
1. Huyu msichana ana macho mazuri. (This girl has nice eyes)
2. Hasana ana masikio makubwa ( Hasan has big ears)
3. Omar anakifua kikubwa ( Omar has a big chest)

KUJITAMBULISHA/INTRODUCTION
i Jina langu ni Victoria Kosemo
My name is Victoria Kosemo
ii Mimi ni msichana
I am a girl
iii Nina miaka kumi na tano
I am fifteen years old
iv Mimi ni mwanafunzi
I am a student
v Ninaishi katika kijiji cha Salama
I live in Salama village
vi Ninasoma katika kidato cha tatu
13
I am in form three
vii Nchi yangu ni Kenya / Uganda / Tanzania
My country is Kenya / Uganda / Tanzania
viii Willaya yangu ni Mbarara
My district is Mbarara
ix Mimi ni Msoga/ Mganda
I am a Msoga/ Mganda
x Mimi ni mkristo
I am a Christian
xi Ninapenda kusikiliza nyimbo
I love listening to music

UHUSIANO/VOCABULARY OF KINSHIP
JAMAA
KISWAHILI ENGLISH KISWAHILI ENGLISH
Mama Mother Bin Son
Baba Father Binti Daughter
Nyanya / bibi Granda mother Kifungua mimba First born
Babu Grandfather Kifunga mimba Last born
Dada Sister Mzee old person
Kaka Brother Ndungu Comrade/ relative
Mjomba Maternal Uncle Yatima Orphan
Shangazi Paternal Aunt Mjane Widow / widower
Binamu Cousin Kiume Male
Wifi Sister-in-law Kike Female
Mama wa kambo Step mother Ukoo Clan
Baba wa kambo Step father Kabila Tribe
Mtoto wa kambo Step child Mwanaharamu Bustard
kitukuu Great grand child Mwanahalali Bona-fide child

14
Mpwa Nece / nephew Mzazi Parent
Mke Wife Nasaba Lineage
Mume husband Mrithi Heir
Mkwe Son/daughter-in law Mseja/ kapera Bachelor
Shemeji Bother -in -law Mama mlezi Foster –mother
Mjukuu Grand son/daughter Baba mlezi Foster-father
Ajuza /bikizee Very old woman Mume wa Somebody’s husband
Bikra/mwanamwali Virgin Bibi /Mke wa Somebody’s wife

Matumizi/Use
1. Mama yangu ameenda sokoni kininunulia nguo mpya
My mother has gone to the market to buy for me a new cloth
2. Babu yake Musa ni mgonjwa
Musa’s grandfather is sick
3. Dada yangu anaenda mjini leo
My sister is going to town today

MSAMIATI WA NYUMBANI/HOME VOCABULARY


KISWAHILI ENGLISH
Familia Family
Nyumba House
Fagio /ufugio Broom
Chujio Filter
Kikombe Cup
Mlango Door
Meza Table
Kiti Chair

15
Suka Bed sheet
Chumba Room
Sebule Sitting room
Chumba cha wageni Visitor’s room
Kitanda Bed
Godoro Mattress
Blanketi Blanket
Mkeka Mat
Kioo Mirror
Dirisha Window
Chungu Pot
Kikapu Basket
Ndoo Bucket
Choo Toilet
Kijiko Spoon
Sahani Plate
Uma Fork
Kisu Knife
Sinia Tray
Mtungi Jerrycane
Sufuria Saucepan
Chakula Food
Kinywaji Drink
Kabati Cupboard
Gari Car
Maua Flowers

Matumizi/Use

16
i. Mama yangu amenunua kioo kipya My mother has bought a new
mirror.
ii. Nyumba yetu ni kubwa Our house is big
iii. Baba yangu alinunua kisu kikali My father bought a sharp
knife

MSAMIATI WA MASOMO/EDUCATION VOCABULARY


Kiswahili English
1. Masomo/Elimu Education
2. Shule ya chekechea Nursery school
3. Shule ya msingi primary school
4. Shule ya upili / sekondari- Secondary School
5. Chuo kikuu University
6. Taasisi Institute
7. Chuo college
8. Shahada Degree
9. Stasahada Diploma
10. Cheti Certificate
11. Muhala Term
12. Likizo Holiday
13. Darasa Class
Shule
14. Shule ya bweni Boarding school
15. Shule ya kutwa Day school
16. Kidato Form / senior
17. Kiranja Prefect
18. Bweni Dormitory
19. Mtihani Exam
20. Kiingereza English

17
21. Kifaransa French
22. Kilimo Agriculture
23. Fizikia Physics
24. Kemia Chemistry
25. Jiografia Geography
26. Hisibati / hesabu Maths
27. Sayansi Science
28. Somo la dini Religious studies
29. Somo la biashara Commerce/Entreprenureship
30. Somo la tarakilishi Computer
31. Historia History
30 Mwalimu mkuu Head teacher
31 Mkurugenzi Director
32 Walimu Teachers
33 Wanafunzi Students
34 Msarifu / Mtunza fedha Bursar
35 Bweni Dormitory
36 Darasa Class –room
37 Maktaba Library
38 Vitabu Books
39 Viranja / Viongozi wa wanafunzi Prefects
40 Kiranja mkuu Head prefect
41 Ubao Black board
42 Kamusi Dictionary
43 Ofisi /Afisi Office
44 Kipindi Lesson
45 Kengele Bell
46 Dawati Desk

18
47 Masomo Studies

Matumzi/Use
i. Shuleni wanafunzi hukalia madawati
At school students sit on desks.
ii. Mwalimu ameleta kamusi leo
The teacher has brought the dictionary today
iii. Kengele ilipolia, wanafunzi wote walitoka nje
When the bell rung, all the students went outside.
iv. Mwalimu mkuu anaenda kwenye mkutano
The head teacher is going for a meeting
MSAMIATI SIASA (POLITICS)
Kiswahili English
Nchi/taifa Country / nation.
Raia / wananchi Citizens
Bunge Parliament
Katiba Constitution
Rais / kiongozi wa nchi President
Waziri Minister
Wizara Ministry
Mbunge Member of parliament
Sheria Laws
Waziri mkuu Prime minister
Chama cha kisiasa Political party
Kura Vote/Votes
Kupiga kura To vote
Uchaguzi Elections
Uchumi Economy
Wilaya District

19
Jimbo Constituency
Jeshi Army
Mkuu wa sheria Attorney general

Matumizi (Use)
i. Rais wetu ni mpole
Our president is humble
ii. Tulipiga kura mwaka jana
We voted last year
iii. Mbunge wetu ni mkarimu.
Our MP is a generous
NATIONALITY (URAIA)
COUNTRY NCHI URAIA
Kenya Kenya Mkenya
Tanzania Tanzania Mtanzania
Uganda Uganda Mwanauganda
Rwanda Rwanda Mnyarwanda
America Marekani Mmarikani
France Ufaransa Mfaransa
Russia Urusi Mrusi
Africa Afrika Mwafrika
Britain Uingereza Mwingereza
German Ujerumani Mjerumani

Matumizi (Use)
i. Baba yangu ni mkenya
My father is a Kenyan
ii. Rafiki ya baba yangu ni mmarikani

20
My father’s friend is an American
iii. Mtalii mfaransa amepata ajali
A French tourist has got an accident
iv. Mchumba wa kaka yangu ni mnyarwanda
My brother’sFience / lover is from Rwanda.

MSAMIATI WA BIASHARA /BUSINESS VOCABULARY


Kiswahili English
Rasilimali Natural resources
Soko Market
Faida Profit
Deni Debt
Dazini Dozen
Mteja Customer
Maelewano Agreement
Kiwanda Factory
Mapato Income
Risiti Receipt
Pesa za kigeni Foreign currency
Uhaba Scarcity
Ubepari Capitalism
Matumizi Expenditure
Mtaji Capital
Mwenyeduka Shopkeeper
Hasara Loss
Lipa polepole To pay in installment
Duka Shop
Ghala Store

21
Leseni License
Nunua Buy
Uza Sell
Bidhaa Goods
Pesa Money

Matumizi/Use
i. Mama yangu anaenda sokoni
My mother is going to the market
ii. Baba yangu anamuuzia mteja mayai
My Father is selling eggs to the customer
iii. Kaka alipakua bidhaa kutoka kwenye gari
My brother off loaded goods from the car
iv. Dada yangu ameenda kumuona mwenye duka
My sister has gone to see the shopkeeper

AINA YA VYAKULA /TYPES OF FOOD


Kiswahili English
Chakula Food
Ugali Posho
Mkate Bread
Nyama Meat
Ndizi Banana
Wali Cooked Rice
Mchele Uncooked rice
Njugu Groundnuts
Mhogo Cassava
Maharagwe Beans

22
Viazi ulaya Potatoes (irish)
Viazi vitamu Sweet potatoes
Uji Porridge
Nyanya Tomatoes
Nanasi Pineapple
Papai Pawpaw
Mahindi Maize
Ngano Wheat
Mtama/ Wimbi Millet
Tikitiki maji Water melon
Mawele Sorgum
Nazi Coconut
Kunde Cow –peas
Vitunguu Onions
Kiazi kikuu Yam
Zabibu Grapes
Stroberi Strew berry
Kabichi Cabbage
Karoti Carrot
Limau Lemon
Tufaha Apple
Dengu Indian lentils
Karakara Passion fruit
Chakula Food
Sukuma wiki Kales
Embe A mango
Machungwa Oranges

23
Matumizi/Use
i. Alice ametumwa kwa duka kununua mkate
Alice has been sent to the shop to buy bread
ii. Margret anapika wali
Margret is cooking rice
iii. Baba yangu anapenda kula ugali
My father likes eating posho
iv. Emmanuel atanunua ndizi
Emmanuel will buy bananas
v. Victoria anapenda kula viazi vikuu
Victoria likes eating yams

AINA YA WANYAMA/TYPES OF ANIMALS/INSECTS/BIRDS


Kiswahili English
Wanyama wa pori Wild animals
Ng’ombe Cattle/ Cow
Mbuzi Goat
Kondoo Sheep
Nguruwe Pig
Paka Cat
Mbwa Dog
Chui Leopard
Panya Rat
Nyati Buffalo
Nyoka Snake
Ndama Calf
Ngamia Camel
Punda Donkey

24
Farasi Horse
Kuku Hen
Bata mzinga Turkey
Jogoo Cock
Kobe Tortoise
Fisi Hyena
Sungura Hare
Kinyonga /lumbwi Chameleon
Chura Frog
Nyoka Snake
Nzi Fly
Nyuki Bee
Buibui Spider
Mende Cocroach
Panzi Grasshopper
Simba Lion
Siafu Brown ants
Pundamilia Zebra
Tumbili Monkey
Ndovu / tembo Elephant
Popo Bat
Tausi Peacock
Samaki Fish
Papa Sark
Nyangumi Whale
Twiga Giraffe
Kiboko Hipopotamus
Chatu Python

25
Mbuga za wanyama Game parks / reserves
Nyani Baboon
Sokwe Gorilla
Sokwe mtu Chimpanzee

Matumizi/Use
1. Baba yangu amenunua ng’ombe
My father has bought a cow
2. Niliona nyoka mkubwa
I saw a big snake
3. Simba ni mnyama mkali sana
The lion is a fierce animal
4. Ninakula samaki
I am eating fish.
Matumizi (Use)

i Paparu amevalia shati nyeupe


Paparu is wearing a white shirt
ii Gloria anapenda viatu yyeupe
Gloria loves /likes red schools
iii Mama amenunua kitambaa cha manjano
Mother has bought a yellow handkerchief/piece of clothe

DIRA (COMPASS DIRECTION)


(N)
A
HERUFI KISWAHILI ENGLISH
(w) D
(LETTER) DIRECTION DIRECTION
c (E) A N Kaskazini North
B S Kusini South
C E Mashariki East
D W Magharibi West
E Kati Central
26
B
(S)

Matumizi(Use)
1. Jua huchomoza kutoka mashariki
The sun rises from the East
2. Gari lilitokea kusini
The car came from the Southern direction
3. Babu yangu anaishi Afrika magharibi
My grand father lives in western Africa

A. Mazungumzo kati ya mvulana na msichana


Mvulana: Habari gani?
Msichana: Nzuri
Mvulana: Jina lako ni nani?
Msichana: Jina langu ni Barbi
Mvulana: Jina langu ni Bobi
Msichana: Unaishi wapi?
Mvulani: Ninaishi Kampala
Misichana: Ninaishi Nakaseke
Mvulana: Unasoma?
Msichana: Ndio
Mvulana: Wapi?
Msichana: Shule ya upili ya Mengo
Mvulani: Unaenda wapi?
Msichana: Nyumbani
Mvulana: Sawa,kwaheri
Msichanan: Kwaheri ya kuonana

27
Maswali (questions)
i Jina la msichana ni nani?

ii Jina la mvulana ni nani?

iii Mvulana anaishi wapi?

iv Taja jina la shule ya msichana?

v Msichana anaenda wapi?

28

You might also like