0% found this document useful (0 votes)
57 views3 pages

B.O.Q Sample

This document provides a bill of quantities for construction materials needed to build a three bedroom house made of concrete blocks and a corrugated iron roof. It includes estimates for materials for the foundation, walls, beams, slabs, roof structure, roof covering, windows, doors and other items.

Uploaded by

kalebichisaye2
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd
0% found this document useful (0 votes)
57 views3 pages

B.O.Q Sample

This document provides a bill of quantities for construction materials needed to build a three bedroom house made of concrete blocks and a corrugated iron roof. It includes estimates for materials for the foundation, walls, beams, slabs, roof structure, roof covering, windows, doors and other items.

Uploaded by

kalebichisaye2
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd
You are on page 1/ 3

PREPARED BY: ENG.

MAC/0001/01/2024

MAKADIRIO YA VIFAA VYA UJENZI


Imeandaliwa na: Eng. Mac, Namba ya Simu: 0693-227-551,
Jina la Mteja: ……………………………………………… Namba ya Simu: ………………………………..
Date: 26/04/2023,

Aina ya Nyumba: NYUMBA YA BATI LA KUFICHA YA VYUMBA VITATU

Na. Maelezo Kizio Idadi Gharama Jumla kuu


1.0 HATUA YA MSINGI
1.1 Kitako cha Msingi (Foundation Base) = 50thick [1:5:10] >> 2.46m³

Sementi 50kg (42.5N) Mifuko 5 -

Mchanga (4.5m³ ) Tripu 0.25 -

Kokoto (4.5m³) Tripu 0.5 -

Jumla ndogo - 1.1 Tshs. -

1.2 Kuta ya Msingi (Foundation Wall) = 230mm [1:8] >>119.87m²

Sementi 50kg (42.5N) Mifuko 22 -

Mchanga (4.5m³ ) Tripu 1.5 -


Tofali za inch 6 Vipande 1440 -

Jumla Ndogo - 1.2 Tshs. -

1.3 Mkanda wa Msingi (Plinth Beam) = 230x150mm [1:2:4] -3Bar >> 17.14m²

Sementi 50kg (42.5N) Mifuko 20 -

Mchanga (4.5m³ ) Tripu 0.25 -

Kokoto (4.5m³) Trips 0.5 -

Nondo Y12 Pcs 0 -

Nondo Y10 Pcs 30 -

Nondo Y6 Pcs 30 -

Binding Wire Kg 8 -

Jumla ndogo - 1.3 Tshs. -

1.5 Jamvi la Msingi (Oversite Concrete) = 50mm thick [1:3:6] >> 123.26m²

Sementi 50kg (42.5N) Mifuko 20 -

Mchanga (4.5m³ ) Tripu 0.5 -

Kokoto (4.5m³) Trips 1 -

Wire Mesh Pcs 45 -

DPM Mita 65 -

Jumla Ndogo - 1.4 Tshs. -

GHARAMA KUU UJENZI WA MSINGI Tshs. -

2.0 HATUA YA BOMA


2.1 Kuta ya Jengo (Block wall) = = 150mm thick [1:8] >> 119.87m²
DPC Mita 20 0

Sementi 50kg (42.5N) Mifuko 35 -

Mchanga (4.5m³ ) Tripu 2 -


Tofali za inch 5 Vipande 3030 -

Jumla Ndogo-2.1 Tshs. -


2.2 Mkanda wa Juu (Ring Beam) = 150x230mm [1:2:4] >> 30.99m²

Sementi 50kg (42.5N) Mifuko 20 -

Mchanga (4.5m³ ) Tripu 0.5 -

Kokoto (4.5m³) Trips 1 -

Nondo Y12 Pcs 0 -

Nondo Y10 Pcs 43 -

Nondo Y6 Pcs 55 -

Binding Wire Kg 12 -
Jumla ndogo - 2.2 Tshs. -

GHARAMA KUU UJENZI WA BOMA Tshs. -

Don't Copy 1
PREPARED BY: ENG. MAC/0001/01/2024

3.0 UPAUAJI WA PAA

2.2 RC Slab of Roof = 250x150mm [1:1.5:3] >> 12.82m²

Cement (Sementi) 50kg - 42.5N Mifuko 16 -

Sand (Mchanga) - 4.5m³ Tripu 0.25 -

Aggregate (Kokoto) [3/4] - 4.5m³ Trips 0.5 -

Steel Bar (Nondo) Y10 Pcs 24 -

Binding Wire Kg 2 -

Downpipes Pcs 8 -

WaterProof Powder - 25Kg Pcs 2 -

Jumla ndogo - 2.2 Tshs. -

3.1 Uwekaji wa Kenchi (Roofing Structure) - Mbao zilizotibiwa.

Mbao (2"x4")Rafter,Kingpost & Tie Beam = 5.2m Long Pcs 50 -

Mbao (2"x3")-Struts & Wall Plates = 5.2m Long Pcs 20 -

Mbao (2"x2") - Purlin = 5.2m Long Pcs 46 -

Mbao (2"x10") - Facial Boards = 5.2m Long Pcs 0 -

Wire Kenchi(R4) Pcs 5 -

Misumari (4", 3" & 5") Kgs 15 -

Jumla ndogo - 3.1 Tshs. -

3.2 Uwekaji wa Bati (Roof Covering) = 306.38m²

Bati za Msauzi (28Gauge) Pcs 40 -

Misumari ya Bati (100pcs/Kg) Kg 12 -

Kofia (Ridge Cap) Pcs 0 -

Jumla ndogo - 3.2 Tshs. -

GHARAMA KUU YA UPAUAJI WA PAA Tshs. -

4.0 UWEKAJI WA MADIRISHA & MILANGO


4.1 Uwekaji Madirisha ya Grill

1,800x2,000mm Namba 4 -
1,500x1,750mm Namba 1 -
2,900x2,250mm Namba 1 -
2,200x2,250mm Namba 1 -
800x1,000mm Namba 4 -

Jumla Ndogo Tshs. -

4.2 Uwekaji Fremu za Milango

1,200x2,500mm Namba 1 -
900x2,500mm Namba 3 -
800x2,400mm Namba 3 -

Jumla Ndogo Tshs. -

4.3 Uwekaji wa Madirisha ya Aluminum

1,800x2,000mm Namba 4 -
1,500x1,750mm Namba 1 -
2,900x2,250mm Namba 1 -
2,200x2,250mm Namba 1 -
800x1,000mm Namba 4 -

Jumla Ndogo Tshs. -


4.4 Uwekaji Shutter za Milango

1,200x2,500mm Idadi 1 -
900x2,500mm Idadi 3 -
800x2,400mm Idadi 3 -
800x2,400mm (Milango ya Aluminum) Idadi 3 -
Jumla Ndogo Tshs. -

GHARAMA KUU YA UWEKAJI WA MILANGO Tshs. -

Don't Copy 2
PREPARED BY: ENG. MAC/0001/01/2024

5.0 HATUA YA UKAMILISHAJI


5.1 Upigaji wa Plasta (Plaster) - 1:4 = 678m² >> 15mm thick

Sementi 50kg (42.5N) Mifuko 68 -

Mchanga (4.5m³ ) Tripu 2 -

Jumla Ndogo Tshs. -

5.2 Skimming (2Coats) = 678m²

WallPutty (Ndani na Nje) Mifuko 67 -

Jumla Ndogo Tshs. -

5.3 Vigae Vya Sakafu (Flooring Tiles) - [1:2] = 165.57m²

Vigae (400x400mm) Boksi 72 -

Sementi 50kg (42.5N) Mifuko 24 -

Mchanga (4.5m³ ) Tripu 0.5 -


Grout - 25Kg Mifuko 3 -

Jumla Ndogo Tshs. -

5.4 Vigae Vya Kuta (Chooni na Bafuni) - [1:2] = 93.74m²

Vigae (400x250mm) Boksi 77 -

Sementi 50kg (42.5N) Mifuko 18 -

Mchanga (4.5m³ ) Tripu 0.25 -


Grout - 25Kg Mifuko 5 -

Jumla Ndogo Tshs. -

5.5 Vigae Vya Kulinda Kuta (Skirting tiles)-100m

Vigae (600x150mm) Boksi 7 -

Sementi 50kg (42.5N) Mifuko 5 -

Mchanga (4.5m³ ) Tripu 0 -


Grout Kgs 25 -

Jumla Ndogo Tshs. -

5.6 Upakaji wa Rangi = 322.8m² + 355.45m² >>2 Coats

Rangi ya Weatherguard (20Litres) Bucket 4 -

Rangi ya Silk (20Litres) Bucket 2 -

Gloss Paint (4Litres) Gallon 4 -

Brush 2" Pcs 6 -

Brush 3" Pcs 8 -

Roller Pcs 2 -

Masking Tape - 90m Pcs 3 -

Jumla Ndogo Tshs. -

5.7 Ceiling Board >> 194.52m² ^^^ 240m


Uwekaji wa Mbao za Ceiling Board

Mbao (2"x2") Pcs 95 -

Mbao (2"x3") Pcs 10 -

Misumari (2.5" & 3") Kg 12 -

Jumla Ndogo Tshs. -

5.8 Uwekaji wa Ceiling Board >> 123.26m² ^^^ 240m


Ceiling Board (1200x2400mm) Pcs 45 -

Screw (500pcs/Boksi) Boksi 3 -

Gypsum Powder - 25Kgs Mifuko 12 -

Mkanda wa Ceiling board (Plain Cornice) - 2.4m Long Pcs 12 -

Jumla Ndogo Tshs. -

GHARAMA YA HATUA YA UKAMILISHAJI WA NYUMBA Tshs. -

JUMLA KUU YA UJENZI WA JENGO Tshs -

Don't Copy 3

You might also like