Darasa La Tano 2020

Download as doc, pdf, or txt
Download as doc, pdf, or txt
You are on page 1of 16

MINISTRY OF EDUCATION, SCIENCE AND TECHNOLOGY

SUBJECT: ENGLISH
NAME______________________DATE __________STD V
TIME 1:30HRS
Answer all questions MsomiBora.com
SECTION A: TENSES
1. The chapter____________ closed.
(a) had been (b) has (c) have (d) had ( )
2. The boys ______________football yesterday
(a) play (b) plays (c) played (d) playing ( )
3. At present the rains is ______________ heavily
(a) rains (b) rained (c) raining (d) rain (
4. You have __________your work nicely, you deserve credits
(a) did (b) do (c) doing (d) done ( )
5. They are ______________to play football match tomorrow.
(a) go (b) going (c) goes (d) went ( )
6. I __________a lion yesterday
(a) saw (b) seen (c) see (d) will see ( )
7. If you don’t eat, you _____________hungry tomorrow
(a) will be (b) were (c) are (d) be ( )
8. Careen and Janeth are in the same height. Careen is _________tall __________Yusufu
(a) Same- as (b) different from (c) same ……like (d) as…..as ( )
9. Did you_________ to school last week?
(a) go (b) goes (c) went (d) gone ( )
10.She has ____________a letter to her friend
(a) write (b) wrote (c) written (d) writes ( )
11.It________ in April and May.
(a) rain (b) rains (c) will be raining (d) rained ( )
12.The man _________in the farm now
(a) dig (b) is digging (c) has dig (d) digs ( )
13.It always ___________milk.
(a) drink (b) drinks (c) drinking (d) drank ( )
14.We always __________our friends
(a) visits (b) visited (c) visiting (d) visits ( )
15.Can she ______________that work?
(a) do (b) does (c) did (d) done ( )
SECTION B: GRAMMAR
16.How ______________bags of salt do you have?
(a) more (b) many (c) much (d) the ( )
17.__________Maulid nor Hamis came to see me one month ago
(a) Either (b) Although (c) Neither (d) Despite ( )
18.That dog can’t hunt me__________?
(a) Can it (b) is it (c) will it (d) cant it ( )
19.No one helped me, I did it_______________
(a) Myself (b) together (c) only me (d) me as me ( )
20.Kapanya has been in the same school since ______________
(a) 10 years (b) many years (c) a week (d) 2005 ( )
21.________you work hard, you will become rich.
(a) ever (b) even if (c) so that (d) if ( )
22.That is his book. It belongs to _____________
(a) he (b) his (c)his book (d) him ( )
23.That is the colour of the dress___________ I like most
(a) which (b) that (c) whose (d) who ( )
24.There is __________in my pocket
(a) anything else (b) somebody else (c) nobody else (d) nothing else ( )
25.The cow walks ___________________
(a) slowly (b) slowing (c) slow (d) slows ( )
26.I met her ______________the way
(a) on (b) in (c) at (d) along ( )
27.He asked the girl “ How old are you?_____________
(a) eleven years (b) I am old than you (c) No I am not old (d) I am eleven years
old.
28.We were thinking __________going to grace next week
(a) for (b) about (c) of (d) with ( )
29.We usually cut oranges_________ knife
(a) with (b) and (c)by (d) for using ( )
30.Most of standard five pupils are found ____________English
(a) at (b) in (c) on (d) of ( )
SECTION C: VOCABULARY
31.Female parent is called ____________________
(a) Mother (b) Father (c) brother (d) grandfather ( )
32.The word thrice means __________________times.
(a) one (b) two (c) three (d) four ( )
33.A young cat is called _______
(a) Kid (b) cub (c) kitten (d) baby ( )
34.The opposite of the word come________________
(a) came (b) go (c)run (d) come in ( )
35.A place where milk is processed and sold is called____________
(a) a diary (b) a dairy (c)a butcher (d) a shop ( )

This section has five mixed sentences. Arrange the sentences so as to make a good
composition by giving them letters A-E.
36.She was attacked by a crocodile and died immediately.________
37.She jumped into the pool without reading the caution sign written “crocodiles inside.__
38.It was a hot sunny and what Mary wanted was some water to cool her body ___.
39.She then saw a pool of water across the road .____
40.One day.____
SECTION B: Comprehension
Read the following passage carefully and then answer the questions that follow
Once upon time, there was a boy who used to steal chicken from his neighbors. One
day he was caught stealing a very big chicken from an old woman, who lived all by herself.
The boy was badly beaten by the villagers before being taken to the police station.
One of the policemen told the thief that, he was lucky that day and if he didn’t change
his behavior and stop stealing, he might end up being burnt alive.
The boy was asked if he knew that and he answered calmly, “Yes sir, I know that but
because I am used to stealing, I can’t stop immediately. In the past I used to steal one chicken
a week. But from tomorrow I’ll steal one a month. In this way, by the next year I will have
stopped being a thief.”

QUESTIONS
41.After the boy was beaten by the villagers, where was he taken to?._____________
42.The suitable word to replace the word “change” as used in the passage can be ____
43.How many chickens did he steal per week?_______________________
44.What do we learn from the story?____________________________
45.What is title for this passage? ____________________________
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
SOMO: KISWAHILI
JINA______________________TAREHE ______DRS V SAA 1:30
Jibu maswali yote
SEHEMU A: Chagua herufi ya jibu sahihi
1. Katika muwa ________za katikati huwa tamu kuliko za nchani
a) Bua b) Kipande c) Pingili d) Mizani [ ]
2. Kutokana na ukame mahindi yalikauka kabla hayajatoa _________
a) Unga b) Mbelewele c) Masikio d) Mizizi [ ]
3. _________ ya uhatawi wake katika michezo pia ni mwerevu katika masomo yake
a) Licha b) Miongoni c) Ukizingatia d) Baina [ ]
4. __________ upate ungali maji
a) Mazao b) Mavuno c) Mifugo d) Udongo [ ]
5. Mwalimu ali ________ baada ya mwanafunzi kumzingizia kuwa ameiba
a) Shereheko b) Ghadhabika c) Stahimili d) Kingeuka [ ]
6. Ukumbuu wa babu mrefu. Kitendawili hiki jibu lake ni__________
a) Barabara kuu b) Njia panda c) Njia d) Kijito [
]
7. Kama siyo kusini mtakwenda kaskazini na kama sio magharibi mtakwenda _______
a) Kusini b) Magharibi c) Mashariki d) Juu [ ]
8. Kuna msemo usemao, maji hufuata ____________
a) Mkondo b) Korongo Mvua d) Daraja [ ]
9. Asingechelewa shule _________ adhibiwa
a) Asingeli b) Angeli c) Ange d) Asinge [ ]
10. Majambazi walidhamiria kumwua. Neno dhamiria lina maana _________
a) Amua b) Kusudia c) Dhania d) Shuhudia [ ]
11. Mwalimu alimtaka Chakununa amtajie ubini wake. Alitaka Chakununa ataje________
a) Jina lake b) Jina la baba yake c) Jina la ukoo tu d) Hakuna jibu sahihi [ ]
12. Kutokana na maendeleo ya Sayansi na teknologia, matukio mengi huonekana kwenye _____
a) Mtindio b) Mtandao c) Mtandio d) Utandawazi [ ]
13. Machupa alisimama kizimbani kujibu shitaka. Neno kizimbani lina maana ________
a) Sehemu iliyiko kituo cha polisi b) Kiwanda cha maziwa
c) Sehemu maalum ya kusimama wakati wa kujibu mashtaka mahakamani [ ]
d) Sehemu ya kuhifadhia silaha jeshini
14. Kwenda kombo maana yake ni _____________- [ ]
a) Kwenda msalani b) Kwenda vibaya c) Kwenda haja kubwa d) Kwenda kwa pupa
15. Kinyume cha neno kupwa ni ___________
a) Kuzama b) Kupaa c) Kuelea d) Kujaa [ ]
16. Kulikuwa na tafrija kidogo kwa ajili ya siku yangu ya kuzaliwa. Neno tafrija lina maana ya ____
a) Sherehe b) Friji c) Shukrani d) Zawadi [ ]
17. Haki za watoto ni pamoja na _________
a) Kupata wlimu, zawadi na kusaidia wazazi b) Chakula, kusoma na kuogelea
c) Michezo, sarakazi na kufanya usafi d) Elimu, chakula na mavazi [ ]
18. Ugonjwa wa trakoma unashambulia mtu sehemu gani ya mwili? _________
a) Kiuno b) Macho c) Ngozi d) Shehemu za siri [ ]
19. Nilipofika nyumbani kwao, nilimkuta shambani akipalilia _______________
a) Ndizi b) Mikungu ya ndizi c) Migomba d) Vichane vya ndizi [ ]

20. Karibu na nyumba yao, kuna maduka makubwa ya jumla na ____________


a) Madogo madogo b) Rejareja c) Rejea d) Vidukaduka [ ]

Toa maana za misamiati hii


21. Sababisha ___________________________________
22. Kujinasua ______________________________________
23. Tuna _________________________________________
24. Wadia _________________________________________
25. Ishara _________________________________________

Malizia methali zifuatazo

26. Ukiona vimeundwa ______________________________

27. _____________________________ mateke

28. Akunyimaye kunde ______________________________

Tegua vitendawili hivi

29. Nina watoto watatu, mmoja mvivu, mmoja mtembezi na mwingine mkali ___________________,
__________________________ na __________________________

30. Mama nieleke ___________________________________________

Andika vitenzi katika wakati unaostahili

31. Juma yuko bafuni _______________________ ( oga)

32. Makelele ________________ akiwa anacheza mpira uwanjani ( vunjika)

33. Baba yangu __________________ kila baada ya mwezi ( safari)

34. ____________________ elimu ya msingi mwakani ( maliza)

35. Jenifa ______________ mwenye huzuni leo ( onekana)


Andika sentensi zifuatazo katika kauli taarifa

36. Nitawaletea zawadi kesho _________________________________________________

37. Wamenihuzunisha sana leo _________________________________________________

38. Tembea upesi _________________________________________________

Andika maneno yanayofanana na maneno haya

39. Kuongea _____________________________

40. Matatizo _____________________________

Soma barua ifuatayo kisha ujibu maswali


S/ M Mambalimba
S. L. P 2015,
Songea
10 Machi 2019
Rafiki mpendwa Diana,

Salaamu sana.
Ni matumani yangu kuwa wewe ni mzina wa afya njema. Mimi na rafiki zangu pia hatujambo.
Lengo kubwa la kukuandikia barua hii ni kutaka kukujulisha habari za huku. Shuleni kwetu siku hizi
tumeanza mazoezi ya mpira wa netiboli kuanzia alasiri siku za Jumatatu na Ijumaa. Tutakuwa na mchezo wa
kirafiki na shule ya kisiwani wiki ijayo. Tunategemea kushinda kuendana na mazoezi tuliyonayo.

Wasalimie rafiki zako Kiwandai na Juliana. Unasalimiwa na rafiki zangu Belinda na Jeremia.

Wasaalam,
Rafiki yako Chausiku

Maswali:
41. Nani mwandikaji wa barua hapo juu? __________________________
42. Nini dhumuni ya barua hiyo? _________________________________
43. Ni lini siku za kufanya mazoezi? ______________________________
44. Nakili anwani ya mwandikaji_________________________________
45. Taja jina la mwandikiwa barua ________________________________
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
SOMO: SAYANSI NA TEKNOLOJIA
JINA______________________TAREHE ______DRS V SAA 1:30
Jibu maswali yote
SEHEMU A : CHAGUA JIBU LILILO SAHIHI.
1. ____ni kifaa kinachotumika kuangalia seli. (a) hadubini (b) kamera (c) dharubini
(d) jicho [ ]
2. _____ ni kiini cha msingi wa kiumbe hai. (a) vakuoli (b) sasitoplazimu (c) seli (d) bakteria[ ]
3. Vimelea vilivyo kwenye iliamu huitwa____(a) vidole (b) mifupa (c) vila (d) utumbo. [ ]
4. Sehemu majimaji ya damu huitwa___(a) seli nyeupe (b) plazma (c) seli nyekundu
(d) chembelele. [ ]
5. Mshipa wa ___ huingiza damu isiyo na oksijeni kwenye moyo. (a) aorta (b) ateri mapafu
(c) vena kava (d) vena mapafu. [ ]
6. Virusi vya UKIMWI hushambulia seli ____ za damu. (a) nyekundu (b) zote (c) nyeupe
(d) kijani [ ]
7. _____ ni virutubisho vya kulinda mwili .(a) fati (b) maji (c) protini (d) vitamini [ ]
8. Kundi la viumbe hai linalotengeneza chakula chake ni ____(a) wanyama (b) mimea
© bakteria (d) maji. [ ]
9. ______ ni kitu chochote kinachorahisisha kazi. (a) mkono (b) mashine (c) mbao
(d) gurudumu [ ]
10. Kipimo cha kani iliyotumika kufanya kazi ni ___(a) gramu (b) nyutoni (c) juli
(d) sentimeta [ ]
11. ______ ni njia maalumu ya mkondo wa umeme. (a) sakiti (b) kihisi umeme
(c) amita (d) seli [ ]
12. Roda pia huitwa___(a) gurudumu kapi (b) waya (c) wenzo (d) kisima [ ]
13. Umeme ni mtiririko wa ____(a) chaji (b) elektroni (c) molekyuli (d) ampea [ ]
14. Msukumo au mvuto unaofanya maada isogeee huitwa____(a) kani (b) jitihada
(c) mjongeo (d) wenzo. [ ]
15. Thamani ya A katika wenzo ifuatayo ni ____(a) sm 20 (b) sm 12 (c) sm 6 (d) sm 5. [ ]

SM6 SMA

KG Kani 90 kg kani 90

16. Katika mashine mzigo wa kilogramu kani 128 utahitaji jitihada ya kilogramu kani 32.
Manufaa ya Kimakanika ni _____(a) 4 (b) 7 (c) 12 (d) 8 [ ]
17. _______ yana vimeng’enya vinavyobadili wanga kuwa sukari (a) mate (b) maji
(c) nyongo (d) mafuta. [ ]
18. Sumaku ina uwezo wa kuvuta vitu vyenye asili ya _____(a) mbao (b) udongo
(c) chuma (d) mawe [ ]
19. Mche wa sumaku una nchi ____ (a) mbili (b) tatu (c) moja (d) tano. [ ]
20. Damu hutiwa oksijeni katika _____(a) tumbo (b) vena (c) mapafu (d) moyo [ ]
SEHEMU B: OANISHA FUNGU A NA B ILI KUPATA MAANA SAHIHI.
NA. FUNGU A MAJIBU FUNGU B
21. Kujiuliza maswali juu ya jambo A. Viumbe wenye uti wa mgongo
fulani
22. Maeneo ya jangwa huwa na B. Udadisi
23. Simba na binadamu C. Mvua kidogo
24. Kiungulia D. Kifani cha kitu
25. Taswira E. Huvunyavunja mafuta
26. Nyongo F. Kuhisi kuchomeka kwenye umio
27. Popo G. Mkondo wa umeme
28. Hutuwezesha kutambua pande za H. Ananyonyesha na kuruka
dunia

29. Amita I. Kujulisha kama umeme unapita


30. Galvanomita J. Dira

SEHEMU B : JAZA NAFASI WAZI.


31. Nini maana ya kiumbe hai ____________________________
32. Taja aina mbili za mazingira _____________________na_________________
33. Taja aina mbili za mawasiliano_____________na_____________________
34. ____________ ana miguu mirefu na shingo ndefu ili kufikia majani ya miti
35. Kizingiti mgando cha maji ni nyuzi ________________ sent
36. Hewa inayovuma inaitwa _______________________
37. Sehemu kubwa ya miili ya viumbe hai ni ________________________________
38. Taja matumizi ya redio ______________________________________
Taja sehemu kuu za redio
39.__________________________________
40__________________________________
41__________________________________
42__________________________________
43.Nini maana ya mada__________________________________________
Taja aina kuu za mada
44.__________________________________________________
45.___________________________________________________

MsomiBora.com
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
SOMO: URAI NA MAADILI
JINA______________________TAREHE ______DRS V SAA 1:30
Jibu maswali yote
SEHEMU A – CHAGUA JIBU LILILO SAHIHI
1. TAKUKURU ni chombo cha serikali chenye mamlaka ya _____ (a) kupambana na kuzuia rushwa
(b) kutetea haki za wanawake (c) kutetea haki za watoto (d) kutoa hukumu kwa
Wala rushwa. [ ]
2. Jukumu la kuwashirikisha wananchi katika suala la ulinzi na usalama wa mitaa yao ni la
____ (a) bunge (b) serikali kuu (c) TAKUKURU (d) serikali za mitaa. [ ]
3. Utamaduni ni ____ (a) kielelezo cha uhai na utashi wa jamii (b) ngoma na nyimbo
(c) lugha na mavazi (d) matambiko [ ]
4. Moja kati ya mambo yafuatayo si katika matumizi ya rasilimali maji _____ (a) usafiri
(b) kuendesha mitambo ya umeme (c) uvuvi (d) ulinzi. [ ]
5. Mratibu Elimu kata hushughulikia masuala ya elimu ya ____ (a) msingi na watu wazima
(b) msingi na sekondari (c) vyuo na sekondari (d) vyuo vikuu. [ ]
6. ___ ni namna ya kujilinda au kujikinga na maadui (a) ulinzi (b) usalama (c) mgambo [ ]
7. Madini yanayopatikana Tanzania peke yake ni _____ (a) dhahabu (b) tanzanaiti
(c) almasi (d) chokaa. [ ]
8. Kazi ya mahakama ni _____ (a) kutoa haki kwa kuzingatia sheria (b) kutetea haki za
Binadamu (c) kutenga sheria za nchi (d) kupambana na kuzuia rushwa. [ ]
9. Lugha kuu ya taifa letu ni ___ (a) kizaramo (b) kisukuma (c) Kiswahili (d) kifaransa [ ]
10. Wanyama kama simba, chui na fisi ____ (a) ni hatari kwa maisha ya watu
(b) wanapendwa na watu (c) hupendwa na watalii (d) wana rangi ya kuvutia. [ ]
11. Vita ni ____ (a) ajali (b) uhalifu (c) uvunjifu wa Amani (d) mapigano baina ya watu
Wenye mitazamo tofauti. [ ]
12. Misingi ya ulinzi na usalama ni ____ (a) kuleta usalama (b) ulinzi wa watu na mali zao
(c) kujikinga na kujilinda (d) matukio ya kiuhalifu. [ ]
13. Jambo linalomlazimu mtu kulitimiza ni ____ (a) sheria (b) wajibu (c) kanuni
(d) haki. [ ]
14. Diwani wa kata huchaguliwa kila baada ya miaka _____ (a) 10 (b) 8 (c) 3 (d) 5 [ ]
15. Hapa Tanzania kuna lugha za makabila zaidi ya ____ (a) 102 (b) 120 (c) 210
(d) 2000 [ ]
OANISHA FUNGU A NA B ILI KUPATA MAANA KAMILI
FUNGU A JIBU FUNGU B
16. UKIMWI A Kiongozi wa kuchaguliwa.
17. Mila B Jambo la kawaida linalotendwa kila siku na jamii
18. Dema C Kielelezo cha uhai na utashi wa jamii fulani
19. Rasilimali D Nyavu zenye matundu madogo zinazotumika katika
uvuvi.
20. Diwani E Mtego wa kuvulia samaki
21. Utamaduni F Huambukiza kwa kujamiana
22. Mahakama G Mambo yanayofanywa na jamii kwa muda mrefu
23. Utawala bora H Huteuliwa na manispaa au halmashauri ya wilaya
24. Ulinzi I Hazina ya nchi iletayo manufaa.
25. CHAVITA J Huusika na utoaji wa haki kwa mujibu wa sheria
K Uongozi unaofuata Misingi ya haki na sheria
L Hushughulika na masuala ya viziwi
M Kujilinda au kujikinga na maadui

ANDIKA KIREFU CHA VIFUPISHO VIFUATAVYO


26. TAKUKURU ________________________________________
27. TAMWA ___________________________________________
28. CUF _________________________________________
29. TAWLA ____________________________________________
30. UKIMWI ___________________________________________
31. C C M _____________________________________________
32. CHADEMA __________________________________________
33. T L P ______________________________________________
SEHEMU B – JAZA NAFASI ZILIZO WAZI
34. Baadhi ya nguo huvaliwa na jinsi zote kama vile _______________
35. Mtendaji mkuu wa shughuli za serikali ya kata ni _________________
36. Upendo nini? _______________________________________________
37. Lugha ni __________________________________________________
38. Umri wa mtu kuruhusiwa kupiga kura ni kuanzia miaka ____________
39. Vielelezo vya utamaduni ni _________________, __________________, na ________________
40. Bendera ya taifa ina rangi ngapi?_____________________________________
Chunguza picha hii kisha jibu maswali

41.Huyu ni anaitwa nani?___________________________


42.Alikuwa na cheo gani serikalini?_____________________
43.Alimalaiza muda wake wa uongozi mwaka gani?___________________
44.Nini maana ya upendo________________________________________
45.Ushirikiano nini?___________________________________________

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA


SOMO: MAARIFA YA JAMII
JINA______________________TAREHE ______DRS V SAA 1:30
Jibu maswali yote
SEHEMU A : CHAGUA JIBU SAHIHI
1. Taifa lililokomesha biashara ya watumwa Afrika mashariki ni _______
(a) wajerumani (b) wafaransa (c) wareno (d) waingereza [ ]
2. Soko kuu la watumwa Zanzibar lilifungwa mnamo mwaka _________
(a) 1873 (b) 1874 (c) 1875 (d) 1879 [ ]
3. Wamisionari ni watangulizi wa kikoloni wa ______ kuja Tanganyika na Zanzibar
(a) tatu (b) pili (c) kwanza (d) nne [ ]
4. Mimea inayopandwa huitwa _______ (a) uoto wa asili
(b) maji (c) uoto wa kupandwa (d) wanyama pori [ ]
5. Chanzo kikuu cha mto Naili ni _____ (a) ziwa Turkana
(b) ziwa victoria (c) ziwa nyasa (d) ziwa Albert [ ]
6. Johann Rebman ni mjerumani wa mwanzo kutembelea na kuona mlima wa Kilimanjaro
mwaka _______ (a) 1859 (b) 1858 (c) 1848 (d) 1875 [ ]
7. Dr. David Livingstone ni ______ wa mwanzo kufika ziwa Nyasa mwaka 1859
(a) mwingereza (b) mreno (c) mjerumani (d) Mmisionari [ ]
8. Wapelelezi walianza kuingia tanganyika na Zanzibar mnamo karne ya _________
(a) 14 (b) 15 (c) 16 (d) 19 [ ]
9. “Cape of Good Hope” inatokana na jina la _____
(a) mto samaki (b) ngome ya Yesu (c) mreno (d) Rasi ya tumaini jema [ ]
10. Wafanyabiashara wa mwanzo kutoka bara la Asia walitokea nchi ya ________
(a) china (b) India (c) Omani (d) Indonesia [ ]
11. Makundi ya vitangulizi vya ukoloni Tanganyika na Zanzibar yalikuwa _____________
(a) mawili (b) matatu (c) matano (d) manne [ ]
12. Familia ni watu _____ (a) wenye uhusiano wa karibu sana (b) wanaoishi mtaa mmoja
(c) wanaoishi nyumbani moja (d) watoto [ ]
13. Sultani wa kwanza kutawala Zanzibar aliitwa _____
(a) Seyyid (b) Seyyid said (c) Seyid Majid (d) Seyyid Thuman [ ]
14. Tanganyika ilitawaliwa na ____ (a) waingereza na wajerumani
(b) waarabu na wahindi (c) wachina na wazungu (d) waarabu na watu wa Pwani[ ]
15. Sultani seyyid said alifariki dunia mwaka _________
(a) 2000 (b) 2001 (c) 1990 (d) 1856 [ ]
16. Sultani seyyid said alihamishia makao yake Zanzibar mwaka ___________
(a) 1866 (b) 1888 (c) 1890 (d) 1840 [ ]
17. Tanganyika ambayo kwa sasa ni Tanzania ilipata uhuru wake mwaka _________
(a) 1965 (b) 1961 (c) 1978 (d) 1840 [ ]
18. Mkutano wa Berlin ulikuwa mwaka _______
(a) 1884 – 1885 (b) 1886 – 1890 (c) 1886 – 1888 (d) 1889 – 1891 [ ]
19. Kampuni ya kibiashara ya kiingereza Afrika Mashariki iliongozwa na _________
(a) Wiliam Macknnon (b) Harry Johnston (c) Karl Peters (d) Johnn Rebman[ ]
20. Mkutano wa bertin wa kuligawa Bara la Afrika ulifanyika mjini __________
(a) Berlin (b) London (c) Roma (d) Paris [ ]
21. Sayari iliyo kubwa kuliko zote ni __ (a) dunia (b) sambula (c) zuhura (d) utaridi[ ]
22. Sayari iliyo ndogo kushinda zote ni ______ (a) mirihi
(b) saratani (c) kausil (d) zebaki [ ]
23. Mstari wa Ikweta una nyuzi _________ (a) 3600 (b) 00 (c) 23.50 (d)1800 [ ]
24. Dunia ikijizungusha katika mhimili wake tunapata ______ (a) majira ya kiangazi
(b) usiku na mchana (c) maji kupwa na kujaa (d) masika na kipupwe [ ]
25. Mfumo wa mapato na matumizi ya watu katika tarafa, wilaya au nchi huitwa ______
(a) utamaduni (b) uchumi (c) unyonyaji (d) ubepari [ ]
26. Dunia hulizunguka jua kwa siku _______ (a) 3651/4 (b) 3601/4 [ ]
27. Msukumo wa hewa huweza kupimwa kwa urefu wa mhimili kwa kutumia ________
(a) themometa (b) barometa (c) zebaki (d) uelekeo [ ]
28. Ngongoro ni kivutio cha watalii katika mkoa wa __________
(a) Manyara (b) Mtwara (c) Arusha (d) Morogoro [ ]
29. Mazingira ni _____ (a) vitu vyote vyote vilivyomo shule (b) misitu, mawe na nyumba
(c) vitu vyote vinavyomzunguka kiumbe (d) wanyama na mimea [ ]
30. Sababu mojawapo ya uharibifu wa mazingira ni ________
(a) ukataji wa miti bila kupamba mingine (b) kutotupa takataka ovyo
(c) kutolima karibu na vyanzo vya maji (d) kuonyesha misitu na vyanzo vya maji[ ]
31. Dira ni kifaa kinachotumika kuonyesha ________ (a) msafiri anakoelekea
(b) shule iko wapi (c) jua linachomoza upande gani (d) jua linakozama [ ]
32. Sehemu ya ardhi iliyoinuka na ardhi yake ni tambarare ni ____________
(a) uwanda wa juu (b) uwanda wa chini (c) tambarare (d) mlima [ ]
33. Mwinuko, mito, maziwa, mabwawa na bahari ni vitu vinavyounda ______________
(a) sura ya nchi (b) kontua (c) bonde (d) pitio [ ]
34. Jina Tanzania limetokana na muungano wa ___________
(a) Uganda na pemba (b) pemba na Tanganyika
(c) Unguja na Tanganyika (d) Tanganyika na Zanzibar [ ]
35. Ipi ni milima ya tofali kati ya milima ifuatayo __________
(a) Kilimanjaro (b) Usambara (c) Oldonyo lengai (d) Meru [ ]
36. Mlima Elgoni upo nchini __ (a) Kenya (b) Uganda (c) Tanzania (d) Arusha [
]
37. Nchi zinazowinda Afrika mashariki ni ________ (a) Tanzania na Burundi
(b) Kenya, uganda na Tanzania
(c) Kenya, Rwanda na Uganda (d) Malawi, Kongo na Burundi [ ]
38. Pareto ni zao ambalo hutumika kutengeneza ____________ (a) manukato
(b) dawa ya meno (c) dawa ya kuulia wadudu (d) chakula cha mifugo [ ]
39. Madini ya ______ hupatikana mwadui, mkoani Shinyanga
(a) Dhahabu (b) bati (c) almasi (d) utanga [ ]
40. Mstari wa __________ mwa Ikweta upo upande wa
(a) kaskazini (b) kusini (c) uvuvi (d) magharibi [ ]
SOMA RAMANI IFUATAYO KISHA JIBU SWALI LA 41-43

B
A
41. Herufi A inaonyesha ziwa _____________________
42. Herufi B inaonyesha nchi ya ______________________
43. Herufi C inaonyesha bahari ya _____________________ TANZANI
C

MSUMBIJI

44.Taja athari mbili za biashara ya utumwa

(i) ________________________________________________

(ii) _______________________________________________

45. Taja makundi ya vitangulizi vya ukoloni

(i) _________________________________________________

(ii) _______________________________________________
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
SOMO: HISABATI
JINA______________________TAREHE ______DRS V SAA 1:30
Jibu maswali yote
SWALI KAZI JIBU
1. 6492 + 2504 =
2. 81383
+12849
_______
3. 5637 – 3434 =
4. 43 813
- 26 751
_______
5. 145 x 5 =
6. 1281
X 59
____
7. 497 ÷ 7 =
8.
30 690

9. Tafuta wastani wa 85, 25, 46


10. Tafyta kipeuo cha pili cha

81 =
11. Tafuta namba inayokosekana
18

3
12. Tafuta K.K.S cha 4 na 6
13. Vigawo vya 6 ni vipi ?
14. Namba mraba ya 18 ni ipi
15. Tafuta K.D.S cha 2 na 3
16. Andika kwa namba za kirumi 29
17. 15 + 4 + 2 =
22 22 22
18. 5 - 1 =
9 2
19. 5 x 3 =
8 8
20. 3 ÷ 3=
4
21. Badili kuwa XXXIX namba za kawaida
22. 55
+25
______
23. 99
-44
______
24. 15 x 52 =
25. 70% Badili kuwa sehemu
26. Badili 30 kuwa namba za kirumi
27. Taja majina ya kila pembe A
B
C
28. Tafuta mzingo wa umbo lifuatalo
SM33

SM33 SM33

29. Tafuta eneo la mstatili ufuatao SM9

SM15

30. Andika kwa maneno 97864


31. Tafuta thamani ya a
a + 4 =8
32. a - 12 = 16
33. 1 z = 12
3
34. 2a = 10 Tafuta thamani ya a
35. M sm mm
6 24 6
+3 12 3
_______________
36. Tafuta eneo la msambamba SM17
SM20

37. Km hm dam
9 2 8
-5 9 7
______________
38. Gramu (g) 1000 = kg?
39. tani kg g
10 400 172
+6 351 937
_________________
40. Saa dk
4 13
+3 32
____________
41. Saa dakika

2 10 20

42. Juma siku


40 3
+9 6
_____________
43. Sh st
645 30
+40 50
_________________
44. Andika wakati ulioonyeshwa katika uso wa saa
45. Saa 7 + saa 3 =

You might also like