BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Israel yashambulia mji wa Damascus wakati Rais Asad wa Syria akikutana na kiongozi wa baraza la ushauri wa Iran
Shirika la habari la serikali ya Syria linasema kuwa takribani watu 15 waliuawa wakati wa mashambulizi ya anga ya Israel kwenye majengo mawili ya makazi magharibi mwa Damascus.
Ni ‘makombora’gani hayawezi kuua mara moja, yanaweza kuua baada ya muda
Ingawa wanadamu wamehusika katika vita kwa maelfu ya miaka, majadiliano juu ya athari za wanadamu kwa mazingira ya asili, hasa kutokana na vita hivi yameanza kusambaa katika miaka michache iliyopita.
Ukigundua una dalili hizi 10 nenda ukapimwe maradhi ya Kisukari
Kisukari kinapogunduliwa mapema, ndivyo inavyokuwa vema mgonjwa,Kwa kuwa ataweza kuanza matibabu ya ugonjwa huo haraka, mtindo wake wa maisha pia utadhibitiwa.
Vita vya kielektroniki': Mbinu ya kuharibu silaha ya Urusi inayoishangaza NATO
Tangu kuanza kwa vita vya Urusi na Ukraine mnamo Februari 2022, nchi hizo mbili zimefanya mashambulizi mengi zaidi ya ndege zisizo na rubani katika siku za hivi karibuni.
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 15.11.2024
Alexander-Arnold anaendelea kukataa ofa za kandarasi kutoka kwa Liverpool, West Ham wamesimama kidete kwenye kipengele cha kutolewa cha pauni milioni 85 cha Mohammed Kudus, Xabi Alonso anatarajiwa kuondoka Bayer Leverkusen msimu wa joto.
Israel ina mpango wa kutaka kuitwaa Gaza kaskazini - Gazeti la The Guardian
Makala haya yanaangazia kuhusu hofu ya Israel kunyakua ardhi ya Palestina, na kwa upande mwingine kuhusu safu ya viongozi wapya wa Trump.
'Watu hutaka kufanya ngono nami kama njia ya kunionyesha ukarimu kwa sababu mimi ni mlemavu'
"Inapokuja kwa watumiaji wa viti vya magurudumu, daima bila shaka ni karibu swali la kwanza, mtu huyo anaweza kufanya ngono?"
Kwanini Putin anatumia wanajeshi wa Korea Kaskazini na anafaidikaje nao katika vita vya Ukraine?
Kuna ushahidi unaoongezeka kwamba wanajeshi wa Korea Kaskazini wanapigana pamoja na jeshi la Urusi katika vita vyake dhidi ya Ukraine
Mkutano wa siri uliojaribu kuzuia vurugu za muziki wa kufoka
Muziki wa hip-hop (kufoka foka) ulizidi kupata umaarufu kutoka mtaani hadi kwenye majukwaa makubwa katika miaka ya 90.
Nyangumi wa Urusi alivyokimbia mafunzo ya kijeshi
Nyangumi huyo mweupe, ambaye wenyeji walimpa jina la Hvaldimir, aligonga vichwa vya habari miaka mitano iliyopita, baada ya kuwepo uvumi kwamba alikuwa ni jasusi wa Urusi.
Uchaguzi wa Marekani 2024
Uchaguzi wa Marekani 2024: Ahadi saba za Trump atakazozitekeleza kama rais
Katika hotuba yake ya ushindi, Trump aliapa "atatawala kwa kauli mbiu: Ahadi zilizotolewa, zitatekelezwa. Tutatimiza ahadi zetu."
Uchaguzi wa Marekani 2024: Kwa nini Kamala Harris ameshindwa?
Maafisa wa timu ya kampeni ya Harris walikuwa kimya siku ya Jumatano - wakati wafuasi wakionyesha mshtuko juu ya kile walichokiona.
Je, washirika wa karibu wa Trump kote duniani ni akina nani?
Kama ilivyo desturi ya kidiplomasia, pongezi zilimiminika kwa Donald Trump kutoka duniani kote baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi. Lakini je, ni akina nani marafiki na washirika wake kote duniani?
Ushindi wa Trump una maana gani kwa Iran?
Katika mojawapo ya nafasi chache za maafisa wakuu wa Iran, msemaji wa serikali alipuuza athari za matokeo ya uchaguzi wa Marekani kwa Iran.
Trump atachukuwa lini hatamu ya uongozi wa Marekani?
Donald Trump wa chama cha Republican atakuwa rais ajaye wa Marekani baada ya kujishindia muhula wa pili katika Ikulu ya White House. Open
Biashara, misaada, usalama: Ushindi wa Trump una maana gani kwa Afrika?
Pia kuna wasiwasi kwamba Trump anaweza kufunga Pepfar, mpango wa muda mrefu wa Marekani ambao umetumia pesa nyingi katika kupambana na VVU barani Afrika.
Donald Trump ashinda uchaguzi wa urais Marekani
Donald Trump atangazwa kuwa mshindi wa Uchaguzi wa Urais Marekani
Donald Trump apata ushindi wa kishindo na wa kihistoria unaomrejesha tena katika Ikulu ya White House
Donald Trump apata ushindi wa kishindo na wa kihistoria unaomrejesha tena katika Ikulu ya White House
Uchaguzi wa Marekani 2024: Ni lini tutajua nani ameshinda uchaguzi?
Matokeo ya uchaguzi wa Marekani wakati mwingine hutangazwa ndani ya saa chache baada ya vituo kufungwa. Na katika baadhi ya kinyang'anyiro cha urais mshindi alitangazwa usiku wa siku ya uchaguzi, au mapema asubuhi iliyofuata.
Uchaguzi wa Marekani 2024: Donald Trump, kutoka kuwa mfanyabiashara wa majengo hadi kuwa Rais
Jina lake na mtindo wake wa kampeni - vilimsaidia kuwashinda wanasiasa wenye uzoefu - lakini enzi iliyojaa utata ilimfanya aondolewe madarakani kwa kura baada ya muhula mmoja.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Michezo
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Sikiza / Tazama
Gumzo mitandaoni
'Kwanini mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel yamegonga mwamba?'
Katika uchambuzi wa magazeti ya leo, tunaangalia migogoro katika Mashariki ya Kati, hasa Gaza, na katika muktadha huu tunajadili msimamo wa utawala wa Biden juu ya mateso ya raia katika ukanda huo.
Kuvuja kwa video za ngono kunaweza kuwa vita ya mamlaka nchini Equatorial Guinea
Katika kipindi cha wiki mbili zilizopita, mamia ya video za ngono zinazomhusisha mtumishi wa serikali wa ngazi ya juu wa Equatorial Guinea, pamoja na wanawake tofauti zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Nani amejiunga na timu ya Trump na nani anahusishwa nayo?
Donald Trump amefanya kazi ya kwanza rasmi ya utawala wake unaoingia, akimtaja mkuu wa wafanyakazi, kushughulikia mipaka, balozi wa Umoja wa Mataifa na mkuu wa shirika la ulinzi wa mazingira.
Kisiwa cha Marekani kinachotawaliwa na nyoka wa kigeni na buibui
Guam ina buibui mara 40 zaidi ya visiwa jirani - na idadi ya nyoka vamizi waharibifu sana, waliojaa katika misitu ambayo ni makazi ya ndege.
Hezbollah yatangaza kulipua kituo cha jeshi la wanamaji la Israel na uwanja wa ndege wa kijeshi
Hezbollah imetangaza siku ya Ijumaa kuwa imerusha makombora katika kambi ya jeshi la wanamaji la Israel na uwanja wa ndege wa kijeshi karibu na mji wa Haifa
Mapacha walioibuka na lugha yao wenyewe
Ikiwa hujawahi kusikia kuhusu Umeri, kuna sababu ya hilo. Mathew na Michael ndio watu wawili pekee wanaozungumza lugha hiyo, kusoma na kuandika, baada ya kuiunda wenyewe wakiwa watoto.
Ni nini kinachosababisha wimbi la vurugu nchini Msumbiji?
"Uchaguzi ulikuwa tetemeko la kisiasa kwa Msumbiji kwa sababu umevunja muundo wa kisiasa ambao umekuwepo kwa zaidi ya miaka thelathini,"
Maandamano yazuka Israel baada ya Netanyahu kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi
Netanyahu amesema "mgogoro wa uaminifu" kati ya viongozi hao wawili ndio uliosababisha kuchukua uamuzi huo, akiongeza kuwa imani yake kwa Gallant. "imepungua" katika miezi ya hivi karibuni
Uchaguzi serikali za mitaa: Mamia ya wagombea wa upinzani Tanzania waenguliwa, waapa 'kutosusia shamba'
Chama cha ACT Wazalendo kimeripoti takribani asilimia 60 ya wagombea wake wameenguliwa kushiriki uchaguzi
'Sisi si wanajeshi - kwa nini wanatushambulia?'
Mohammed anasimulia mambo ya kutisha akiwa katandani katika hospitali ya serikali ya Nabih Berri, ambayo iko kwenye kilele cha mlima huko Nabatieh. Ni mojawapo ya miji mikubwa zaidi kusini, na kilomita 11 tu kutoka mpaka na Israel. Kabla ya vita watu wapatao 80,000 waliishia hapa.
Urusi na China zina jukumu lipi katika mzozo kati ya Israel na Iran?
Marekani imetangaza kuunga mkono Israel, lakini je Urusi na China na wanaweza kujibu vipi?
Tuyajenge
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 15 Novemba 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 15 Novemba 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 15 Novemba 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 14 Novemba 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki