Maelezo kuhusu taarifaAuthor, Abdalla Seif DzunguNafasi, Nairobi KenyaDakika 30 zilizopita Pato la Taifa (GDP) ni kiashirio kikuu kinachotumika kupima ukubwa na uwezo wa uchumi wa nchi. Linawakilisha jumla ya thamani ya fedha ya bidhaa na huduma zote zinazozalishwa ndani ya taifa kwa muda fulani, ambao kwa kawaida ni mwaka mmoja. Makala haya yanatoa muhtasari wa kina wa nchi 30
Dakika 19 zilizopita Arsenal wako katika hatua ya juu katika mazungumzo ya kumsajili kiungo wa kati wa Real Sociedad na Uhispania Martin Zubimendi, 26, ambaye ana kipengele cha kutolewa cha euro 60m (£51.2m) katika kandarasi yake. (ESPN) Manchester United inaweza kumtoa mshambuliaji wa Denmark Rasmus Hojlund, 22, kwa Atalanta badala ya mshambuliaji wa Nigeria Ademola Lookman,
Watu wa Asili wana mbinu za asili
Maelezo kuhusu taarifaAuthor, Paul KirbyNafasi, Mhariri BBCDakika 35 zilizopita Hapo awali Vladimir Putin alikanusha kuhusika kwa njia yoyote katika unyakuzi wa eneo la Crimea mnamo Februari 2014, wakati makomando waliovalia sare za kijani kibichi walipoliteka bunge la eneo hilo na kutawala rasi hiyo. Hatua ya "wanajeshi hao" iliashiria mwanzo wa vita vya Urusi dhidi
Maelezo kuhusu taarifaAuthor, Yusuph MazimuNafasi, BBC Dar es SalaamDakika 39 zilizopita Katika hali isiyo ya kawaida, jina la Kapteni Ibrahim Traoré, kiongozi kijana wa Burkina Faso anayejitambulisha kama mpigania haki za Waafrika, limeingia katika vichwa vya habari vya dunia si kwa mapinduzi aliyoyafanya tu, bali kwa kile kinachotajwa kuwa ni shinikizo kutoka kwa Marekani
Maelezo kuhusu taarifaAuthor, Njoroge MuigaiNafasi, BBC NewsDakika 22 zilizopita Kaskazini magharibi mwa Uganda, ambapo miti ya shea nut ilistawi katika misitu minene, Mustafa Gerima anatembea vijijini, akikusanya jumuiya kulinda kile anachokiona kama hazina inayotoweka. Mustafa amekuwa ishara ya upinzani dhidi ya kutoweka polepole lakini kwa kasi kwa mti wa shea nut. Amepewa
Dakika 7 zilizopita Mazishi ya Papa Francis yatafanyika Vatican Jumamosi, Aprili 26. Makumi kwa maelfu ya watu, ikiwa ni pamoja na viongozi wengi wa dunia, wanatarajiwa kuhudhuria. Sherehe hiyo itahusisha nini hasa - na itakuwaje tofauti na mazishi ya papa wengine? Kwa kawaida, ibada ya mazishi ya papa ina sehemu tatu: tangazo la kifo na mkesha katika makao ya papa; kuuaga
Mazingira ya maisha kwa
Chanzo muhimu cha chakula
Ikiwa leo ni siku ya malaria duniani mwaka huu ikibeba maudhui ““Malaria
Mazingira ya maisha kwa wakimbizi kutoka
Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa
Tarehe 25 mwezi Aprili kila mwaka ni siku ya kimataifa ya wajumbe wanaowakilisha nchi zao kwenye Umoja