Nenda kwa yaliyomo

paka

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Pitio kulingana na tarehe 09:48, 8 Juni 2024 na Hadija Mshana (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Kiswahili

[hariri]
Wikipedia ya Kiswahili ina makala kuhusu:

sw

Nomino

[hariri]

paka

Paka
  1. paka mnyama wa nyumbani ambaye hufugwa na binadamu pia hula panya

2. Kuna wanyama mwitu wengi wenye kufanana na jamii ya paka wa majumbani.

3. :Simba na tiger ni paka wakubwa. Kisawe cha neno paka 4. Neno hili linamaanisha mnyama kipenzi anayejulikana kwa manyoya laini, uwezo wa kuona vizuri usiku, na tabia ya kupenda kuzurura.

Tafsiri

[hariri]