Nenda kwa yaliyomo

Waminimi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lebo ya shirika ya Waminimi
Fransisko wa Paola, mwanzilishi wa shirika.
Kanzu ya Waminimi
Kanisa la San Francesco di Paola ai Monti mjini Roma, makao makuu ya shirika.
Patakatifu pa Fransisko wa Paola.

Waminimi (kwa Kilatini Ordo Minimorum) ni watawa wa Kanisa Katoliki wanaomfuata mkaapweke Fransisko wa Paola kutoka Italia kusini.

Mwishoni mwa mwaka 2008 shirika lilikuwa na watawa 180, kati yao mapadri 112, katika konventi 45 ambazo ziko Ulaya (Uceki, Italia, Hispania, Ukraina) na Amerika (Brazil, Colombia, Mexico, Marekani).[1]

Waminimi maarufu wa Ufaransa

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-05. Iliwekwa mnamo 2011-05-24.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waminimi kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.