Vladimir Cvijan
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Vladimir Cvijan (alizaliwa 24 Novemba 1976 na kufariki 5 Januari 2018)alikuwa wakili na mwanasiasa wa Serbia.Kuanzia mwaka 2004 hadi mwaka 2010 aliwahi kuwa mshauri wa sheria na Katibu Mkuu wa Rais wa Serbia, Boris Tadić.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Elimu na taaluma ya sheria
Cvijan alizaliwa tarehe 24 Novemba 1976 huko Belgrade.Baba yake, Mirko,alizaliwa Pec ila akakulia Bosnia na Herzegovina na alikuwa profesa na mkurugenzi wa Kitivo cha Biolojia cha Chuo Kikuu cha Belgrade, huku mama yake Zlatinka akitoka Kikinda.
Utawala na taaluma ya kisiasa
Kuanzia Oktoba, 2004 alihusika kama mshauri wa uchambuzi wa kitaalam katika uwanja wa sheria kwa mahitaji ya baraza la mawaziri la Rais Boris Tadić na kama katibu wa Baraza la Kisheria la Rais wa Serbia
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Порекло Владимира Цвијана – Порекло". www.poreklo.rs (kwa Kiserbia). 21 Septemba 2013. Iliwekwa mnamo 27 Machi 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vladimir Cvijan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |