Nenda kwa yaliyomo

Tisini na nane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tisini na nane ni namba inayoandikwa 98 kwa tarakimu za kawaida na XCVIII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 97 na kutangulia 99.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 7 x 7.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tisini na nane kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.