Stan Winston
Stan Winston | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Stan Winston (kulia) na Michael Jackson wakati wa Tamasha la Filamu la Cannes mnamo 1997. | |||||||
Amezaliwa | Arlington, Virginia, US | Aprili 7, 1946||||||
Amekufa | 15 Juni 2008 (umri 62) Malibu, California, US | ||||||
Kazi yake | Vionjo maalumu, msanii wa vipodozi, mwongozaji wa filamu | ||||||
Miaka ya kazi | 1972–2008 | ||||||
Ndoa | Karen Winston | ||||||
|
Stanley Winston[1] (7 Aprili 1946 – 15 Juni 2008) alikuwa mtaalamu wa vionjo maalumu, msanii wa vipodozi, na mwongozaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Alifahamika sana kwa kutengeneza mfulululizo wa filamu za Terminator, mfululizo wa filamu za Jurassic Park, Aliens, na mfululizo wa filamu za Predator, Iron Man (filamu) na Edward Scissorhands.[2][3][4] Ameshinda jumla ya tuzo nne za Academy Awards kwa kazi yake aliyokuwa akiifanya.
Winston, mara kwa mara hufanya kazi na mshirika wake-mwongozaji filamu James Cameron, anamiliki zaidi ya studio moja ya vionjo maalumu, ikiwemo na Stan Winston Digital. Kuanzishwa kwa maeneo ya utaalamu wa Winston ilikuwa masuala ya vipodozi/vionjo vya filamu, vikarogosi na vionjo fulani, lakini hivi karibuni alipanua wigo wa studio yake na kuongeza vionjo vya dijitali vilevile.
Kazi na maisha
[hariri | hariri chanzo]Stan Winston alizaliwa mnamo tar. 7 Aprili 1946, mjini Arlington, Virginia, ambapo alihitimu katika shule ya Washingon-Lee High School mnamo 1964. Alisomea masuala ya kuchora na uchongaji katika Chuo Kikuu cha Virginia huko mjini Charlottesville ambapo alimaliza mnamo mwaka wa 1968. Mwaka wa 1969, baada ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Jimbo la California, Long Beach, Winston akahamia Hollywood ili kujiendeleza na shughuli akiwa kama mwigizaji. Amehaha kutafuta kazi ya ugizaji, akabahatika kupata kazi na kuanza shughuli upodozi na uwekaji vionjo maalumu katika Studio za Walt Disney.
Miaka ya 1970
[hariri | hariri chanzo]Mnamo 1972, Winston ameanzisha kampuni yake mwenyewe, Stan Winston Studios, na imejishindia tuzo za Emmy Award kwa ajili ya kazi zake za vionjo maalumu kwa ajili ya Gargoyle. Baada ya zaidi ya miaka saba baadaye, Winston akaendelea kupokea teuzi kadhaa kutoka katika ugawaji wa tuzo za Emmy kwa kufanya kazi katika miradi mbalimbali na kushinda nyingine mnamo mwaka wa 1974 baada ya kutengeneza The Autobiography of Miss Jane Pittman. Winston pia ametengeneza desturi za Wookiee mwaka 1978 kwa ajili ya filamu ya Star Wars Holiday Special.
Miaka ya 1980
[hariri | hariri chanzo]Miaka ya 1990
[hariri | hariri chanzo]Miaka ya 2000
[hariri | hariri chanzo]Kifo chake
[hariri | hariri chanzo]Tuzo za Academy
[hariri | hariri chanzo]Filmografia
[hariri | hariri chanzo]- The Autobiography of Miss Jane Pittman (1974)
- Heartbeeps (Oscar Nomination) (1981)
- The Thing (1982)
- The Terminator (1984)
- Ghoulies (1985)
- Invaders from Mars (1986)
- Aliens (Oscar Winner) (1986)
- The Monster Squad (1987)
- Predator (Oscar Nomination) (1987)
- Pumpkinhead (1988)
- Leviathan (1989)
- Edward Scissorhands (Oscar Nomination) (1990)
- Predator 2 (1990)
- Terminator 2: Judgment Day (Oscar Winner) (1991)
- Batman Returns (Oscar Nomination) (1992)
- Jurassic Park (Oscar Winner) (1993)
- Interview with the Vampire (1994)
- Congo (1995)
- The Ghost and the Darkness (1996)
- The Island of Doctor Moreau (1996)
- T2 3-D: Battle Across Time (1996)
- The Relic (1997)
- Ghosts (1997)
- The Lost World: Jurassic Park (Oscar Nomination) (1997)
- Mouse Hunt (1997)
- Small Soldiers (1998)
- Instinct (1999)
- Lake Placid (1999)
- Inspector Gadget (1999)
- End of Days (1999)
- Galaxy Quest (1999)
- Pearl Harbor (2001)
- A.I. (Oscar Nomination) (2001)
- Jurassic Park III (2001)
- The Time Machine (2002)
- Darkness Falls (2003)
- Big Fish (2003)
- Terminator 3: Rise of the Machines (2003)
- Wrong Turn (2003)
- Constantine (2005)
- Zathura (2005)
- Doom (2005)
- The Shaggy Dog (2006)
- The Benchwarmers (2006)
- Skinwalkers (2006)
- Iron Man (2008)
- Indiana Jones and the Kingdom of the Crystal Skull (2008)
- Terminator Salvation (2009)
- Avatar (2009)
- Endhiran (Tamil film) (2010 film)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Stan Winston Biography (1946?-)
- ↑ Cohen, David S. (2008). "Effects master Stan Winston dies. Work included Jurassic Park, Terminator", Variety webpage retrieved 2008-06-16.
- ↑ Crabtree, Sheigh (2008). "Stan Winston, dead at 62; Oscar-winning visual effects artist suffered from multiple myeloma", Los Angeles Times, Entertainment industry news blog, 16 Juni Kigezo:2008; online version retrieved Kigezo:2008-06-16.
- ↑ Stan Winston Studios (2008). "Press Release" posted at Los Angeles Times Entertainment industry news blog, 16 Juni (2008); online version retrieved (2008-06-16).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stan Winston kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |