Nenda kwa yaliyomo

Samora Machel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Samora Machel


Muda wa Utawala
25 Juni 1975 – 19 Oktoba 1986
aliyemfuata Joaquim Chissano

Mwenyekiti wa FRELIMO
Muda wa Utawala
1970 – 19 Oktoba 1986
mtangulizi Eduardo Mondlane
aliyemfuata Joaquim Chissano

tarehe ya kuzaliwa (1933-09-29)Septemba 29, 1933
Mkoa wa Gaza, Msumbiji wa Kireno
tarehe ya kufa 19 Oktoba 1986 (umri 53)
Mbuzini, Milima ya Lebombo , Afrika Kusini
jina ya kuzaliwa Samora Moisés Machel
utaifa Msumbiji
chama FRELIMO
ndoa Josina Mutemba
Graça Simbine (1975–1986)

Samora Moisés Machel (29 Septemba 193319 Oktoba 1986) alikuwa mwanamapinduzi, kiongozi wa kijeshi na mwanasiasa wa Msumbiji. Baada ya miaka ya vita ya kupigania uhuru wa nchi kutoka Ureno, alihudumu kama Rais wa kwanza wa Msumbiji kutoka uhuru wa nchi hiyo mnamo 1975.

Machel alikufa madarakani mnamo 1986 wakati ndege yake ilianguka karibu na mpaka wa Msumbiji - Afrika Kusini.

Tovuti nyingine

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samora Machel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.