Papa Gregori V
Mandhari
Papa Gregori V (takriban 972 – Februari/Machi 999) alikuwa Papa kuanzia tarehe 3 Mei 996 hadi kifo chake[1]. Alitokea Saksonia, Ujerumani[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bruno wa Carinthia.
Alimfuata Papa Yohane XV akafuatwa na Papa Silvester II.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |