Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya nchi kufuatana na wakazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni orodha ya nchi huru zote, maeneo ya kujitegemea na maeneo mengine yanayotambuliwa na UM na pia Taiwan kufuatana na idadi ya wakazi.

Namba zinazotajwa zimenakiliwa kutoka (en:wikipedia List of countries by population (United Nations)) mnamo Oktoba 2017 bila kuhakikisha kama takwimu ni sawa.

Orodha ya nchi na maeneo kufuatana na idadi ya wakazi

[hariri | hariri chanzo]
Cheo Nchi / Eneo Wakazi Marejeo
Dunia 7,550,262,101 [1]
1
Jamhuri ya Watu wa China (Bara)
1,409,517,397 [1]
2
Uhindi
1,339,180,127
3
Marekani
324,459,463
4
Indonesia
263,991,379
5
Brazil
209,288,278
6
Pakistani
197,015,955
7
Naijeria
190,886,311
8
Bangladesh
164,669,751
9
Urusi
143,989,754
10
Meksiko
129,163,276
11
Ujapani
127,484,450
12
Uhabeshi
104,957,438
13
Ufilipino
104,918,090
14
Misri
97,553,151
15
Vietnam
95,540,800
16
Ujerumani
82,114,224
17
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
81,339,988
18
Uajemi
81,162,788
19
Uturuki
80,745,020
20
Uthai
69,037,513
21
Ufalme wa Muungano (Uingereza)
66,181,585
22
Ufaransa
64,979,548 [2]
23
Italia
59,359,900
24
Tanzania
57,310,019 [3]
25
Afrika Kusini
56,717,156
26
Myanmar
53,370,609
27
Korea ya Kusini
50,982,212
28
Kenya
49,699,862
29
Kolumbia
49,065,615
30
Uhispania
46,354,321 [4]
31
Ajentina
44,271,041
32
Ukraine
44,222,947 [5]
33
Uganda
42,862,958
34
Algeria
41,318,142
35
Sudan
40,533,330
36
Iraki
38,274,618
37
Poland
38,170,712
38
Kanada
36,624,199
39
Moroko
35,739,580
40
Afghanistan
35,530,081
41
Saudia
32,938,213
42
Peru
32,165,485
43
Venezuela
31,977,065
44
Uzbekistan
31,910,641
45
Malaysia
31,624,264 [6]
46
Angola
31,624,264
47
Msumbiji
29,668,834
48
Nepal
29,304,998
49
Ghana
28,833,629
50
Yemeni
28,250,420
51
Madagaska
25,570,895
52
Korea ya Kaskazini
25,490,965
53
Australia
24,450,561 [7]
54
Kodivo
24,294,750
55
Kamerun
24,053,727
56
Jamhuri ya China (Taiwan)
23,626,456
57
Niger
21,477,348
58
Sri Lanka
20,876,917
59
Romania
19,679,306
60
Burkina Faso
19,193,382
61
Malawi
18,622,104
62
Mali
18,541,980
63
Shamu
18,269,868
64
Kazakhstan
18,204,499
65
Chile
18,054,726
66
Zambia
17,094,130
67
Uholanzi
17,035,938
68
Guatemala
16,913,503
69
Ekuador
16,624,858
70
Zimbabwe
16,529,904
71
Kambodia
16,005,373
72
Senegal
15,850,567
73
Chad
14,899,994
74
Somalia
14,742,523
75
Guinea
12,717,176
76
Sudan Kusini
12,575,714
77
Rwanda
12,208,407
78
Tunisia
11,532,127
79
Kuba
11,484,636
80
Ubelgiji
11,429,336
81
Benin
11,175,692
82
Ugiriki
11,120,000
83
Bolivia
11,051,600
84
Haiti
10,981,229
85
Burundi
10,864,245
86
Jamhuri ya Dominika
10,766,998
87
Uceki
10,618,303
88
Ureno
10,329,506
89
Uswidi
9,910,701 [8]
90
Azerbaijan
9,827,589 [9]
91
Hungaria
9,721,559
92
Yordani
9,702,353
93
Belarus
9,468,338
94
Falme za Kiarabu
9,400,145
95
Honduras
9,265,067
96
Tajikistan
8,921,343
97
Serbia
8,790,574 [10]
98
Austria
8,735,453
99
Uswisi
8,476,005
100
Israel
8,321,570
101
Papua Guinea Mpya
8,251,162
102
Togo
7,797,694
103
Sierra Leone
7,557,212
104
Hong Kong (China)
7,364,883
105
Bulgaria
7,084,571
106
Laos
6,858,160
107
Paraguay
6,811,297
108
El Salvador
6,377,853
109
Libya
6,374,616
110
Nikaragua
6,217,581
111
Lebanon
6,082,357
112
Kirgizia
6,045,117
113
Turkmenistan
5,758,075
114
Denmark
5,431,000
115
Singapur
5,708,844
116
Ufini
5,523,231 [11]
117
Slovakia
5,447,662
118
Norwei
5,305,383 [12]
119
Jamhuri ya Kongo
5,260,750
120
Eritrea
5,068,831
121
Palestina
4,920,724 [13]
122
Costa Rica
4,905,769
123
Eire
4,761,657
124
Liberia
4,731,906
125
New Zealand
4,705,818
126
Jamhuri ya Afrika ya Kati
4,659,080
127
Oman
4,636,262
128
Mauritania
4,420,184
129
Kroatia
4,189,353
130
Kuwait
4,136,528
131
Panama
4,098,587
132
Moldova
4,051,212 [14]
133
Georgia
3,912,061 [15]
134
Puerto Rico (eneo la Marekani)
3,663,131
135
Bosnia na Herzegovina
3,507,017
136
Uruguay
3,456,750
137
Mongolia
3,075,647
138
Armenia
2,930,450
139
Albania
2,930,187
140
Jamaica
2,890,299
141
Lithuania
2,890,297
142
Qatar
2,639,211
143
Namibia
2,533,794
144
Botswana
2,291,661
145
Lesotho
2,233,339
146
Gambia
2,100,568
147
Masedonia Kaskazini
2,083,160
148
Slovenia
2,079,976
149
Gabon
2,025,137
150
Latvia
1,949,670
151
Guinea-Bisau
1,861,283
152
Bahrain
1,492,584
153
Trinidad na Tobago
1,369,125
154
Eswatini
1,367,254
155
Estonia
1,309,632
156
Timor ya Mashariki
1,296,311
157
Guinea ya Ikweta
1,267,689
158
Morisi
1,265,138 [16]
159
Kupro
1,179,551 [17]
160
Jibuti
956,985
161
Fiji
905,502
162
Réunion (eneo la ng'ambo la Ufaransa)
876,562
163
Komori
813,912
164
Bhutan
807,610
165
Guyana
777,859
166
Montenegro
628,960
167
Macau (Uchina)
622,567
168
Visiwa vya Solomon
611,343
169
Luxemburg
583,455
170
Surinam
563,402
171
Sahara ya Magharibi
552,628
172
Cabo Verde
546,388
173
Guadeloupe (eneo la ng'ambo la Ufaransa)
449,568 [18]
174
Maldivi
436,330
175
Malta
430,835
176
Brunei
428,697
177
Bahama
395,361
178
Martinique (eneo la ng'ambo la Ufaransa)
384,896
179
Belize
374,681
180
Iceland
335,025
181
Barbados
285,719
182
Polynesia ya kifaransa (eneo la ng'ambo la Ufaransa)
283,007
183
Guyana ya Kifaransa (eneo la ng'ambo la Ufaransa)
282,731
184
Kaledonia Mpya (eneo la ng'ambo la Ufaransa)
276,255
185
Vanuatu
276,244
186
Mayotte (eneo la ng'ambo la Ufaransa)
253,045
187
São Tomé na Príncipe
204,327
188
Samoa
196,440
189
Saint Lucia
178,844
190

Visiwa vya mfereji wa Kiingereza (Eneo chini ya taji la Uingereza)
165,314 [19]
191
Guam (eneo la ng'ambo la Marekani)
164,229
192
Curaçao (Uholanzi)
160,539
193
Kiribati
116,398
194
Saint Vincent na visiwa vya Grenadini
109,897
195
Tonga
108,020
196
Grenada
107,825
197
Shirikisho la Mikronesia
105,544
198
Aruba (Uholanzi)
105,264
199
Visiwa vya Virgin vya Marekani (eneo la ng'ambo la Marekani)
104,901
200
Antigua na Barbuda
102,012
201
Shelisheli
94,737
202
Isle of Man (Eneo chini ya taji la Uingereza)
84,287
203
Andorra
76,965
204
Dominika
73,925
205 Cayman (Eneo la ng’ambo la Uingereza) 61,559
206
Bermuda (Eneo la ng'ambo la Uingereza)
61,349
207
Greenland (Denmark)
56,480
208
Samoa ya Marekani (eneo la ng'ambo la Marekani)
55,641
209
Saint Kitts na Nevis
55,345
210
Visiwa vya Mariana ya Kaskazini (eneo la ng'ambo la Marekani)
55,144
211
Visiwa vya Marshall
53,127
212
Faroe (Denmark)
49,290
213
Sint Maarten (Uholanzi)
40,120
214
Monako
38,695
215
Liechtenstein
37,922
216
Visiwa vya Turks na Caicos (Eneo la ng’ambo la Uingereza)
35,446
217
Gibraltar (Eneo la ng’ambo la Uingereza)
34,571
218
San Marino
33,400
219
Visiwa vya Virgin vya Uingereza (Eneo la ng’ambo la Uingereza)
31,196
220
Antili za Kiholanzi (Uholanzi)
25,398
221
Palau
21,729
222
Visiwa vya Cook (NZ)
17,380
223
Anguilla (Eneo la ng’ambo la Uingereza)
14,909
224
Wallis na Futuna (Ufaransa)
11,773
225
Nauru
11,359
226
Tuvalu
11,192
227
Saint-Pierre na Miquelon (Ufaransa)
6,320
228
Montserrat (Eneo la ng’ambo la Uingereza)
5,177
229
Saint Helena (Eneo la ng’ambo la Uingereza)
4,049 [20]
230
Visiwa vya Falkland (Eneo la ng’ambo la Uingereza)
2,910
231
Niue (NZ)
1,618
232
Tokelau (NZ)
1,300
233
Vatikano
792
  1. Isipokuwa Taiwan, Hong Kong na Macau.
  2. Ufaransa bara tu
  3. Pamoja na Zanzibar
  4. Pamoja na Kanari, Ceuta na Melilla
  5. Pamoja na Krim
  6. Pamoja na Sabah na Sarawak
  7. Pamoja na visiwa vya Christmas Island, Cocos (Keeling) Islands na Norfolk Island
  8. Pamoja na visiwa vya Aland
  9. Pamoja na Nagorno-Karabakh
  10. Pamoja na Kosovo.
  11. Pamoja na Åland Islands
  12. Pamoja na visiwa vya Svalbard na Jan Mayen Island
  13. Pamoja na Yerusalemu Mashariki
  14. Pamoja na Transnistria
  15. Pamoja na Abkhazia na Ossetia Kusini
  16. Pamoja na visiwa vya Agalega, Rodrigues na Cargados Carajos
  17. Pamoja na Kupro Kaskazini
  18. Pamoja na visiwa vya St. Barthélemy na Saint Martin
  19. Guernsey na Jersey
  20. Pamoja na visiwa vya Ascension na Tristan da Cunha

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]