Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya miji ya Kamerun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Douala, Mji mkubwa nchini
Bamenda
Bafoussam
Bangangté
Jumba la kifalme Bafut
Garoua
Maroua
Ziwa Bambili
Kaélé, Boboyo Ziwa la mamba
Yagoua
Utamaduni wa Wum
Yokadouma
Jumba la kifalme la Mfalme Bell, Douala

Orodha ya mjiji ya Kamerun inaonyesha miji nchini Kamerun pamoja na idadi ya wakazi wake kufuatana na makidirio ya mwaka 2021. [1]

Mji Mkoa Wakazi (2021)
Abong-Mbang Mkoa wa Mashariki 14,661
Ako Mkoa wa Kaskazini-Magharibi [1]
Akonolinga Mkoa wa Kati 17,181
Ambam Mkoa wa Kusini 8,476
Bafang Mkoa wa Magharibi 80,688
Bafia Mkoa wa Kati 69,270
Bafoussam Mkoa wa Magharibi 290,768
Bafut (ufalme) Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 120,000[2]
Bali Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 72,606
Bambili Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 5,641[3]
Bamenda Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 393,835
Batibo Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 9,163
Bandjoun Mkoa wa Magharibi 6,872
Bangem Mkoa wa Kusini-Magharibi
Banyo Mkoa wa Adamawa 40,798
Batouri Mkoa wa Mashariki 43,821
Bélabo Mkoa wa Mashariki 22,553
Bertoua Mkoa wa Mashariki 218,111
Buea Mkoa wa Kusini-Magharibi 47,300
Campo Mkoa wa Kusini
Dimako Mkoa wa Mashariki 8,476
Dizangue Mkoa wa Pwani 19,243
Djoum Mkoa wa Kusini
Douala Mkoa wa Pwani 1,338,082
Dschang Mkoa wa Magharibi 96,112
Ebolowa Mkoa wa Kusini 87,875
Edéa Mkoa wa Pwani 203,149
Fontem Mkoa wa Kusini-Magharibi 42,689
Foumban Mkoa wa Magharibi 92,673
Foumbot Mkoa wa Magharibi 84,065
Fundong Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 43,509
Garoua Mkoa wa Kaskazini 436,899
Garoua-Boulaï Mkoa wa Mashariki 46,615
Guider Mkoa wa Kaskazini 84,647
Kaélé Mkoa wa Kaskazini ya Mbali 25,199
Kousséri Mkoa wa Kaskazini ya Mbali 435,547
Kribi Mkoa wa Kusini 55,224
Kumba Mkoa wa Kusini-Magharibi 144,413
Kumbo Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 53,970
Limbé Mkoa wa Kusini-Magharibi 72,106
Loum Mkoa wa Pwani 177,429
Mamfe Mkoa wa Kusini-Magharibi 19,472
Manjo Mkoa wa Pwani 37,661
Maroua Mkoa wa Kaskazini ya Mbali 319,941
Mbalmayo Mkoa wa Kati 80,206
Mbandjock (Mbandjok) Mkoa wa Kati 26,947
Mbanga Mkoa wa Kusini-Magharibi 42,590
Mbengwi Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 9,734
Mbouda Mkoa wa Magharibi 111,320
Meiganga Mkoa wa Adamawa 80,100
Melong Mkoa wa Pwani 37,086
Muyuka Mkoa wa Kusini-Magharibi 31,384
Nkoteng Mkoa wa Kati 50,334
Mokolo Mkoa wa Kaskazini ya Mbali 275,239
Mora Mkoa wa Kaskazini ya Mbali 55,216
Mutengene Mkoa wa Kusini-Magharibi 47,478
Nanga Eboko Mkoa wa Kati 29,909
Ngaoundéré Mkoa wa Adamawa 231,357
Nkongsamba Mkoa wa Pwani 117,063
Obala Mkoa wa Kati 30,012
Penja Mkoa wa Pwani 28,406
Sa'a Mkoa wa Kati 5,727
Sangmélima Mkoa wa Kusini 54,251
Tibati Mkoa wa Adamawa 35,589
Tiko Mkoa wa Kusini-Magharibi 55,914
Wum Mkoa wa Kaskazini-Magharibi 68,836
Yaoundé (mji mkuu) Mkoa wa Kati 1,299,369
Yagoua Mkoa wa Kaskazini ya Mbali 80,235
Yokadouma Mkoa wa Mashariki 13,287
  1. 1.0 1.1 "Kamerun". GEO Names. Iliwekwa mnamo Mei 23, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Baut Kingdom". Bafutmanjongcalgary. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-23. Iliwekwa mnamo Mei 23, 2021. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Répertoire actualisé des villages du Cameroun. Troisième recensement général de la population et de l'habitat du Cameroun, Bureau central des recensements et des études de population, vol. 4, tome 7, 2005, Kigezo:P. [1] Archived 16 Desemba 2017 at the Wayback Machine.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]