Nyuzilandi
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: -- | |||||
Wimbo wa taifa: God Defend New Zealand (Mungu Ilinde New Zealand) God Save the King | |||||
Mji mkuu | Wellington | ||||
Mji mkubwa nchini | Auckland | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza (95.9%) Kimaori (4.2%) | ||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba Charles III wa Uingereza Cindy Kiro Chris Hipkins | ||||
Uhuru Dominion (kujitawala) |
26 Septemba 1907 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
268,680 km² (ya 75) 2.1 | ||||
Idadi ya watu - October 2021 kadirio - 2018 sensa - Msongamano wa watu |
5,132,870 (ya 123) 4,699,755 19.1/km² (ya 167) | ||||
Fedha | New Zealand dollar (NZD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
NZST9 (UTC+12) NZDT (UTC+13) | ||||
Intaneti TLD | .nz10 | ||||
Kodi ya simu | +64
- |
Nyuzilandi (kwa Kiingereza: New Zealand; kwa Kimaori: Aotearoa) ni nchi ya visiwani katika Pasifiki takriban km 1,500 upande wa mashariki-kusini wa Australia.
Eneo lake linaundwa na visiwa viwili vikubwa: Kisiwa cha Kaskazini (North Island au Te Ika-a-Māui) na Kisiwa cha Kusini (South Island au Te Waipounamu) na vingine 600 vidogo.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Miji
[hariri | hariri chanzo]- Wellington ni mji mkuu wa Nyuzilandi.
- Auckland ndio mji mkubwa visiwani.
Miji mingine ni:
- Christchurch
- Hamilton
- Dunedin
- Tauranga
- Lower Hutt
- Palmerston North
- Napier
- Nelson
- Rotorua
- Invercargill
- New Plymouth
- Porirua
- Upper Hutt
- Whanganui
- Gisborne
Watu
[hariri | hariri chanzo]Idadi ya wakazi ni 4,690,000. Wengi wao (74%) bado wana asili ya Ulaya, ingawa asilimia yao inazidi kupungua. Wakazi asilia ni Wamaori waliotokea Polinesia na kuhamia visiwa hivyo kati ya miaka 1250-1300 BK; kwa sasa ni 14.9% ya wakazi wote. Wengine wana asili ya Asia (11.8%) na ya visiwa vya Pasifiki (7.4%).
Lugha rasmi ni Kiingereza, Kimaori na Lugha ya Ishara ya Nyuzilandi (kwa Kiingereza: New Zealand Sign Language au NZSL).
Upande wa dini, 49% ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali, kuanzia Kanisa Katoliki (12.6%), Anglikana (11.8%) na Wapresbiteri (8.5%). Idadi ya wasio na dini inazidi kupanda na imeshafikia 38.55%, mbali ya 12.27% wasiojibu swali kuhusu hilo. Kuna Mabanyani (2.1%), Wabuddha (1.5%), Waislamu (1.2%), Singasinga (0.5%)
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Tovuti rasmi Archived 13 Agosti 2007 at the Wayback Machine.
Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki |
Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | Nyuzilandi | Niue | Pitcairn | Polinesia ya Kifaransa | Palau | Papua Guinea Mpya | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna |
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|