Nenda kwa yaliyomo

Monique Wittig

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Monique Wittig alizaliwa 13 Julai 19353 Januari 2003) alikuwa mwandishi, mwanafalsafa, na mwana nadharia wa kike kutoka Ufaransa, ambaye aliandika kuhusu kufutwa kwa mfumo wa madaraja ya kijinsia na kuunda msemo “mkataba wa heteroseksuali.” [1]Kazi yake bunifu inayojulikana sana ni The Straight Mind and Other Essays. Alichapisha riwaya yake ya kwanza, L'Opoponax, mwaka 1964. Riwaya yake ya pili, Les Guérillères (1969), ilikuwa ya kihistoria katika harakati za ushawishi wa kimapenzi ya jinsia moja kwa wanawake.[2]

  1. Monique Wittig, 67, Feminist Writer, Dies, by Douglas Martin, January 12, 2003, New York Times
  2. Benewick, Robert (1998). The Routledge Dictionary of Twentieth-Century Political Thinkers. London: Routledge. ku. 332–333. ISBN 978-0-203-20946-2. Iliwekwa mnamo Mei 25, 2012.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Monique Wittig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.