Nenda kwa yaliyomo

Mohamed Saïd Amokrane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohamed Saïd Amokrane (alizaliwa 25 Januari 1957) ni mchezaji wa soka wa Algeria. Alicheza katika mechi nne katika timu ya taifa ya soka ya Algeria mwaka 1982.[1] Pia aliteuliwa katika kikosi cha Algeria kushiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika 1982.[2]

  1. "Mohamed Saïd Amokrane". National Football Teams. Iliwekwa mnamo 3 Mei 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "African Nations Cup 1982 - Match Details". RSSSF. Iliwekwa mnamo 3 Mei 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Saïd Amokrane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.