Miss Independent
Mandhari
“Miss Independent” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Ne-Yo kutoka katika albamu ya Year of the Gentleman | |||||
Imetolewa | Agosti 11, 2008 | (U.S.)||||
Muundo | CD single, muziki wa kupakua | ||||
Imerekodiwa | 2008 | ||||
Aina | Pop, R&B | ||||
Urefu | 3:53 | ||||
Studio | Def Jam | ||||
Mtunzi | M.S. Eriksen, T.E. Hermansen, S. Smith, Daniel Nguyen | ||||
Mtayarishaji | Stargate | ||||
Mwenendo wa single za Ne-Yo | |||||
|
"Miss Independent" ni wimbo wa mwimbaji na mtunzi wa muziki wa R&B-pop wa Kimarekani - Ne-Yo. Ni wimbo wa pili kutoka katika albamu yake ya Year of the Gentleman na wimbo ulitayarishwa na Stargate.[1] Hii ni sampuli kutoka katika wimbo wa "Forget About Me" wa Little Bit (aka Lil' Bit).[2] Wimbo ulitungwa na Ne-Yo kwa ushirikiano wa Stargate. Ulitolewa ukiwa kama muziki wa kupakua mkondoni mnamo tar. 26 Agosti 2008 na kutolewa kikawaida kunako mwezi Septemba, 2008.
Muziki wa video
[hariri | hariri chanzo]Ne-Yo amefanya muziki wa video wa "Miss Independent" na mwongozaji Chris Robinson mnamo Jumatatu ya tar. 11 Agosti 2008 mjini Santa Monica, California. Video imeuzisha sura baadhi ya wasanii kama vile Keri Hilson, Gabrielle Union, Lauren London na Trey Songz.
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australian Singles Chart[3] | 40 |
Canadian Hot 100[4] | 21 |
Dutch Top 40 | 9 |
Eurochart Hot 100 Singles[5] | 33 |
Irish Singles Chart[4] | 9 |
Italian Singles Chart[4] | 15 |
Japan Hot 100[6] | 6 |
New Zealand Singles Chart[4] | 4 |
Swedish Singles Chart[4] | 56 |
Turkey Top 20 Chart[7] | 5 |
U.S. Billboard Hot 100[8] | 7 |
U.S. Billboard Pop 100[9] | 11 |
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[10] | 1 |
U.S. Billboard Rhythmic Top 40[11] | 3 |
UK Singles Chart[4] | 6 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "New Ne-Yo Music - "Miss Independent"". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-08-28. Iliwekwa mnamo 2009-01-06.
- ↑ Ne-Yo Shows Growth in new CD Archived 18 Desemba 2008 at the Wayback Machine. The Spectator. Accessed 29 Oktoba 2008.
- ↑ Top 50 Singles Chart - Australian Recording Industry Association. ARIA. Accessed 16 Novemba 2008.
- ↑ 4.0 4.1 4.2 4.3 4.4 4.5 Ne-Yo - Miss Independent - Music Charts αCharts. Accessed 15 Septemba 2008.
- ↑ European Hot 100 Singles - Miss Independent - Ne-Yo Billboard. Accessed 13 Oktoba 2008.
- ↑ Japan Hot 100 Singles - Miss Independent - Ne-Yo Billboard. Accessed 13 Oktoba 2008.
- ↑ Turkey Top 20 Chart Archived 20 Aprili 2008 at the Wayback Machine. Retrieved on 2008-11-03
- ↑ The Billboard Hot 100 - Miss Independent - Ne-Yo Billboard. Accessed 2 Oktoba 2008.
- ↑ Pop 100 - Miss Independent - Ne-Yo Billboard. Accessed 2 Oktoba 2008.
- ↑ Hot R&B/Hip-Hop Songs - Miss Independent - Ne-Yo Billboard. Accessed 15 Septemba 2008.
- ↑ Rhythmic Top 40 - Miss Independent - Ne-Yo Billboard. Accessed 13 Oktoba 2008.