Mel Gibson
Mel Gibson | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Mel Columcille Gerard Gibson |
Alizaliwa | 3 Januari 1956 Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji Mwongozaji Mtaarishaji |
Miaka ya kazi | 1976 - hadi leo |
Ndoa | Robyn Moore Gibson (1980–2011) |
Watoto | Hannah (b. 1980)[1] Edward (b.1982) |
Wazazi | Hutton Gibson Anne Patricia |
Mel Columcille Gerard Gibson (amezaliwa tar. 3 Januari 1956) ni mzaliwa wa Marekani-mwigizaji wa filamu, mwongozaji na pia mtayarishaji. Gibson alihamia Australia akiwa na umri wa miaka 12 na baadaye alisomea maswala ya uigizaji katika Taasisi ya Sanaa na Maigizo ya Taifa (kwa Kiing.: National Institute of Dramatic Art) iliyopo mjini Sydney, Australia.
Gibson baada ya kujiimarisha mwenyewe kama jina la mwenye kijiji katika mfululizo wa filamu ya Mad Max na Lethal Weapon. Gibson vile vile alikwenda kushiriki katika ugawaji wa tuzo ya Oscars na akabahatika kuwa mshindi wa tuzo hiyo kama mwigizaji na mwongozaji bora wa filamu (filamu ilikuwa: Braveheart).
Kuongoza kwake filamu ya Braveheart kume mfanya awe nyota wa sita wa filamu aliegeuka kuwa mtengenezaji wa filamu kwa kupokea tuzo ya Oscar kama mwongozaji bora. Mnamo mwaka 2004, aliongoza na kuitaarisha filamu ya The Passion of the Christ, filamu yenye mafanikio makubwa, iliyoonyesha saa na maisha ya mwisho ya Yesu. Gibson ni Ofisa mwamrishi wa Australia na vile vile alipewa cheo na gazeti la Forbes (Forbes magazine) kwa kuwa kama mmoja wa watu mashuhuri wenye nguvu duniani mnamo mwaka 2004.
Filamu alizoigiza/Kuongoza na kutunga
[hariri | hariri chanzo]- Mad Max (1979)
- Mad Max 2 (1981)
- Gallipoli (1981 film)Gallipoli (1981)
- The Year of Living Dangerously (1982)
- The Bounty (1984)
- Mrs. Soffel (1984)
- Mad Max Beyond Thunderdome (1985)
- Lethal Weapon (1987)
- Tequila Sunrise (film)Tequila Sunrise (1988)
- Lethal Weapon 2 (1989)
- Hamlet (1990 film)Hamlet (1990)
- Air America (film)Air America (1990)
- Bird on a Wire (film)Bird on a Wire (1990)
- Forever Young (1991)
- Lethal Weapon 3 (1992)
- Maverick (film)Maverick (1994)
- Ransom (film)Ransom (1996)
- Conspiracy Theory (1997)
- Lethal Weapon 4 (1998)
- Payback (film)Payback (1999)
- Chicken Run (2000)
- The Patriot (2000 film)The Patriot (2000)
- What Women Want (2000)
- We Were Soldiers (2002)
- Signs (film)Signs (2002)
Kama mwigizaji/ mwongozaji
[hariri | hariri chanzo]- The Man Without a Face (1993)
- Braveheart (1995)
Kama mwongozaji na mtunzi-mshiriki
[hariri | hariri chanzo]- The Passion of the Christ (2004)
- Apocalypto (2006)
Kama nyota mwalikwa
[hariri | hariri chanzo]- The Simpsons (1999)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mel Gibson Welcomes Third Grandchild", US Weekly, 14 Machi 2011. Retrieved 7 Oktoba 2012. Excerpt: "Gibson's daughter Hannah, 30, gave birth to a baby boy..."
- ↑ "Mel Gibson names new daughter Lucia", ABC News Online, 3 Novemba 2009. Retrieved 9 Oktoba 2012.
- http://www.filmsite.org/aa95.html
- http://boxofficemojo.com/movies/?id=passionofthechrist.htm
- http://money.cnn.com/2004/06/17/news/newsmakers/forbes_stars/index.htm
- http://www.wargs.com/other/gibson.html
- http://en.wikipedia.org/wiki/The_Irish_Times
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Mel Gibson kwenye Internet Movie Database
- Time Magazine: Apocalpto Now
- Mel Gibson katika Open Directory Project
- Roles turned down by Mel Gibson Archived 2 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mel Gibson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |