Nenda kwa yaliyomo

Matvei Safonov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Safonov mnamo 2022

Matvei Yevgenyevich Safonov (alizaliwa 25 Februari 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Urusi, ambaye anacheza kama golikipa katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa na timu ya taifa ya Urusi.

  1. "Alexsandro Ribeiro | LOSC". www.losc.fr. Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matvei Safonov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.