Masis
Mandhari
Masis (Kirmenia: Մասիս) zamani uliutwa Narimanlu, Zangibasar, Ulukhanlu, Razdan, na Hrazdan) ni mji uliopo kwenye Mkoa wa Ararat. Upo upande wa kushoto mwa ukingo wa Mto Hrazdan , takriban kilomita 14 kutoka kusini mwa mji wa Yerevan. Idadi ya wakazi wa hapa wamefikia kiasi cha watu 21,376 (kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2001).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Masis kwenye GEOnet Names Server
- Kiesling, Rediscoving Armenia, p. 25, available online at the US embassy to Armenia's website Archived 26 Juni 2008 at the Wayback Machine.
- Taarifa ya matokeo ya sensa ya wakazi kwa 2001 nchini Armenia
Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Masis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |