Kitauya
Mandhari
Kitauya ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Watauya. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kitauya imehesabiwa kuwa watu 350. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitauya iko katika kundi la Kimadang.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kitauya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitauya
- lugha ya Kitauya katika Glottolog
- lugha ya Kitauya kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitauya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |