Kisiamou
Mandhari
Kisiamou (pia Kiseme) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wasiamou. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kisiamou nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 20,000. Pia kuna wasemaji 20,000 tena nchini Cote d'Ivoire na Mali. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisiamou iko katika kundi la Kikru.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kisiamou kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisiamou
- lugha ya Kisiamou katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/sif
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisiamou kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |