Kimaithili
Mandhari
Kimaithili ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Nepal inayozungumzwa na Wamaithili. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimaithili nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu milioni 30. Pia kuna wasemaji 3,890,000 nchini Nepal (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimaithili iko katika kundi la Kiaryan.
Kimaithili ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimaithili kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimaithili Archived 10 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimaithili katika Glottolog
- lugha ya Kimaithili kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimaithili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |