Nenda kwa yaliyomo

Kikhetrani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikhetrani ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wakhetrani. Idadi ya wasemaji wa Kikhetrani imehesabiwa kuwa watu 4000 (mwaka wa uhesabu haujulikani). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhetrani iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikhetrani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.