Kibanjar
Mandhari
Kibanjar ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabanjar kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibanjar nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu milipni tatu na nusu. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Malaysia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibanjar iko katika kundi la Kimalayiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibanjar kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibanjar Archived 28 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibanjar katika Glottolog
- lugha ya Kibanjar kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibanjar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |