Iceman (komiki)
Mandhari
Iceman (Mtu-Barafu) | |
---|---|
Maelezo ya chapisho | |
Mchapishaji | Marvel Comics |
Kujitokeza kwanza | The X-Men #1 (Sep. 1963) |
Waumbaji |
Stan Lee Jack Kirby |
Maelezo | |
Jina halisi | Robert "Bobby" Louis Drake |
Spishi | Mutanti |
Ushirikiano | X-Men X-Factor Defenders Champions X-Terminators The Twelve Cataclysm Keys Secret Defenders |
Lakabu mashuhuri | Drake Roberts, Mister Friese, Frosty |
Uwezo | Mamlaka ya barafu / kriokinesi |
Iceman (Kiswahili: Mtu-Barafu, Robert "Bobby" Louis Drake) ni supa-shujaa wa ulimwengu wa Marvel Comics na alikuwa mwanachama wa pili wa X-Men. Iceman ana uwezo wa kriokinesi yaani uwezo wa kuganda kitu chochote na uwezo wa kuwa barafu vilevile.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Iceman (komiki) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |