ISO 3166-2:KE
ISO 3166-2:KE ni mchakato wa uingiaji wa nchi ya Kenya katika ISO 3166-1, sehemu ya kiwango cha ISO 3166 kilichochapishwa na Shirika la Kimataifa la Usanifishaji (ISO), ambacho kinafafanua kanuni kwa majina ya wilaya (kwa mfano, majimbo au mataifa) ya nchi zote zilizojumuishwa kwenye ISO 3166-1
Kwa sasa nchini Kenya, kanuni za ISO 3166-2 zimeelezwa kwa kaunti 47.
Kila kanuni iko na sehemu mbili, zilizotengwa na kistariungio (-). Sehemu ya kwanza ni KE, kanuni ya ISO 3166-1 alpha-2 ya Kenya. Sehemu ya pili iko na nambari tatu.
Kanuni za sasa
[hariri | hariri chanzo]Majina ya wilaya kama yalivyoorodheshwa kwenye kanuni za ISO 3166-2 na ISO 3166 Maintenance Agency (ISO 3166/MA)
Kanuni za ISO 639-1 hutumiwa kuwakilisha wilaya kwa Lugha rasmi za:
- (en): Kiingereza
- (sw): Kiswahili
Kaunti
[hariri | hariri chanzo]Bonyeza kitufe kilicho kwenye kichwa cha jedwali ili kupanga mfuatano wa kila safu.
Kanuni | Jina la wilaya (sw) |
---|---|
KE-01 | Baringo |
KE-02 | Bomet |
KE-03 | Bungoma |
KE-04 | Busia |
KE-05 | Elgeyo/Marakwet |
KE-06 | Embu |
KE-07 | Garissa |
KE-08 | Homa Bay |
KE-09 | Isiolo |
KE-10 | Kajiado |
KE-11 | Kakamega |
KE-12 | Kericho |
KE-13 | Kiambu |
KE-14 | Kilifi |
KE-15 | Kirinyaga |
KE-16 | Kisii |
KE-17 | Kisumu |
KE-18 | Kitui |
KE-19 | Kwale |
KE-20 | Laikipia |
KE-21 | Lamu |
KE-22 | Machakos |
KE-23 | Makueni |
KE-24 | Mandera |
KE-25 | Marsabit |
KE-26 | Meru |
KE-27 | Migori |
KE-28 | Mombasa |
KE-29 | Murang'a |
KE-30 | Nairobi City |
KE-31 | Nakuru |
KE-32 | Nandi |
KE-33 | Narok |
KE-34 | Nyamira |
KE-35 | Nyandarua |
KE-36 | Nyeri |
KE-37 | Samburu |
KE-38 | Siaya |
KE-39 | Taita/Taveta |
KE-40 | Tana River |
KE-41 | Tharaka-Nithi |
KE-42 | Trans Nzoia |
KE-43 | Turkana |
KE-44 | Uasin Gishu |
KE-45 | Vihiga |
KE-46 | Wajir |
KE-47 | West Pokot |
Mabadiliko
[hariri | hariri chanzo]Mabadiliko yafuatayo ya uingiaji wa nchi ya Kenya katika ISO yametangazwa na ISO 3166 / MA tangu uchapishaji wa kwanza wa ISO 3166-2 mwaka wa 1998. ISO iliwacha kutoa jarida hizo mnamo 2013.
Toleo/Jarida | Tarehe ya kutolewa | Maelezo ya mabadiliko ya jarida | Kanuni/Mabadiliko ya wilaya |
---|---|---|---|
ISO 3166-2:2007 | 2007-12-13 | Toeo la pili la ISO 3166-2 (badiliko hili halikutangazwa kwenye jarida) | Kanuni:
Western: KE-900 → KE-800 |
Newsletter II-2 | 2010-06-30 | Sasishi ya orodha ya chanzo | |
Online Browsing
Platform (OBP) |
2014-10-30 | Mikoa iliyotolewa; add 47 counties; update List Source | Kanuni zilizotolewa:
KE-110, KE-200, KE-300, KE-400, KE-500, KE-600, KE-700, KE-800 Kanuni zilizoongezwa KE-01 through KE-47 |
2016-11-15 | Update Code Source |
Kanuni za awali
[hariri | hariri chanzo]Kabla ya mwaka wa 2014, kanuni za ISO 3166-2 zimedumishwa kwa Mikoa 8 ya awali ya Kenya.
Bonyeza kitufe kilicho kwenye kichwa cha jedwali ili kupanga mfuatano wa kila safu.
Kanuni za awali | Jina la wilaya (en) | Jina la wilaya (sw) |
---|---|---|
KE-110 | Nairobi | Nairobi |
KE-200 | Central | Kati |
KE-300 | Coast | Pwani |
KE-400 | Eastern | Mashariki |
KE-500 | North-Eastern | Kaskazini Mashariki |
KE-600 | Nyanza | Nyanza |
KE-700 | Rift Valley | Bonde la Ufa |
KE-800 | Western | Magharibi |
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Virejeshi
[hariri | hariri chanzo]- "Statoid Newsletter January 2008"". Statoids.com.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- ISO Online Browsing Platform: KE
- Provinces of Kenya Statoids.com