Nenda kwa yaliyomo

Howie Seago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Howie Seago

Howie Seago (Disemba 15, 1953 [1]) ni mwigizaji na mkurugenzi wa Marekani.

Maisha ya awali, familia na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Seago, ambaye ni kiziwi, alizaliwa Tacoma, Washington. Baba yake alikuwa na shida ya kusikia, pamoja na familia yake kuwa na historia ya kutokusikia(viziwi).[2]

  1. Slovick, Matt. "Out of Deafness", June 9, 1998. 
  2. Slovick, Matt. "Out of Deafness", June 9, 1988. Retrieved on January 8, 2014. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Howie Seago kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

]