Nenda kwa yaliyomo

Febe (Biblia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani inayoonyesha mahali pa Kenkre.

Febe (au Foibe kutoka Kigiriki Φοίβη) alikuwa mwanamke wa karne ya 1 aliyeishi Kenkre, moja kati ya bandari mbili za Korintho, Ugiriki[1].

Mtume Paulo katika Waraka kwa Warumi 16:1-2 alimsifu kwa kuhudumia watu wengi, yeye akiwa mmojawao[2][3]. Kwa lugha ya Biblia neno huduma linaweza kudokeza pia mamlaka fulani ndani ya Kanisa[4][5].

Madhehebu mbalimbali yanamheshimu kama mtakatifu, ila katika tarehe tofautitofauti[6]. Kwa Wakatoliki wa Kanisa la Kilatini sikukuu yake ni tarehe 3 Septemba[7].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/68850
  2. Campbell, Joan Cecelia. Phoebe: Patron and Emissary, Liturgical Press. 2015 ISBN 9780814684023
  3. Borg, Marcus and John Dominic Crossan (2009) The First Paul: Reclaiming the radical visionary behind the church's conservative icon. London: SPCK (51)
  4. Phoebe: Helper or Leader? Arise, di Allison Quient, 14 Mar 2013 in Christians for Biblical Equality
  5. Macy, Gary. "John Nobili, SJ, Chair of Theology, Santa Clara University". National Catholic Reporter. Iliwekwa mnamo Mei 17, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. https://www.heiligenlexikon.de/BiographienP/Phoebe_Phoibe.html
  7. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana 2001 ISBN 978-88-209-7210-3), p. 278
  • Marcus Borg - John Dominic Crossan, The First Paul: Reclaiming the radical visionary behind the church's conservative icon, London 2009
  • Elisabeth Schussler Fiorenza, In memoria di lei, Claudiana Editrice, Torino, 1990
  • Josef Kurzinger, Das Neue Testament, Aschaffenburg, Pattloch, 1956

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Febe (Biblia) kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.