Nenda kwa yaliyomo

Deanne Bray

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Deanne Bray (Mei 14, 1971) ni mwigizaji wa Marekani. Bray alizaliwa kiziwi na anazungumza lugha mbili, lugha ya ishara ya Marekani na lugha ya ishara ya Uingereza.[1]

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Bray alizaliwa huko Canoga Park, Los Angeles, California na ameishi sehemu kubwa ya maisha yake kusini mwa California akiwa amelelewa na baba yake, ingawa aliishi Seattle kwa miaka michache na mama yake akihudhuria shule ya jimbo la Washington kwa viziwi kwa darasa la 8.

  1. Bob Ayers (Desemba 2004). Deaf Diaspora, The Third Wave of Deaf Ministry (kwa English). Lincoln, NE, USA. uk. 57. ISBN 0-595-33541-1.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: location missing publisher (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Deanne Bray kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.